Msaada wa kisheria: Nitawezaje kujitoa kwenye chama cha wafanyakazi CWT?

izet

Member
Aug 13, 2014
15
45
Msaada wa kisheria: Nitawezaje kujitoa kwenye chama cha wafanyakaz cwt? Ikumbukwe sijawah hata kujiunga nacho ila nakatwa makato ya 2%?
 

Imma mfugale

Member
Jan 29, 2015
40
125
Andika barua ya madai kwa mwajiri wako aache kukukata makato hayo pia akurudishie makato yote aliyowahi kukata. Kakuonea sana, chama chochote kile ili uwe mwanachama ni lazima uombe uanachama

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom