msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Watumiaji wa Xiaomi Redmi na yeyote anayetumia smartphone msaada wenu wakuu yamenifika

    Wakuu habari ya nyie, hopefully mko poa, Leo nimepata shida kidogo kwenye kimeo changu cha redmi 8a, kimeingiliwa maji kidogo, sasa msala ni kwamba, upo kwenye mic na spika. Mtu akipiga ina ita kama kawaida (inatia sauti vizuri) ila nkipokea sim sikii kabisa, mpaka niweke loudspeaker hapo...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada vitabu vya Mathias E. Mnyampala, tutalipana namna hii

    Mnyampala ni moja ya waandishi wa mwanzo mwanzo kabisa Tanzania. Nisaidie vitabu vyake vitatu. Kama unavyo viscan halafu nitumie. Kila kitabu 10,000. 1. Diwani ya Mnyampala 2. Kisa cha mrina asali na wenzake wawili. 3. Historia, mila na desturi za wagogo wa Tanganyika.
  3. JamiiForums Tanzania MSAADA : Direct Link Movie ya Sobibor 2018 Wakuu

    Heshima kwenu wakuu. Aisee nimejaribu kuitafuta sana hii movie, naipata lakini nashangaa nikii-download inagoma kabisa, sasa kwa mwenye direct link ambayo nitaweza kui-download kwa urahisi naomba anisaidie wakuu. Natanguliza shukran zangu kwenu wakuu. Thanks.
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri: Msaada kuhusu tabia ya wizi iliyokubuhu kwa kijana wangu

    Wakuu, Naamini kila mtu huwa anakosea, lakini linapokuja swala la kukosea mara kwa mara huwa linatia hasira sana. Huyu mtoto wangu anasoma darasa la 6 ,ni mtoto wa Kaka yangu alimleta hapa kwangu ili asome, Sasa kinachozidi kunipa wasiwasi ni tabia yake ya wizi uliokubuhu! Yaani kwa umri...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada kwa wazoefu wa kutumia Aliexpress

    Naomba kujua kama ukitumia Aliexpress kuagiza mzigo kuwa uwezekano wa kutumia agent wengine wa usafirishaji tofauti na options ambazo Aliexpress wanakuwa wameziweka... Yani kwa mfano nataka kuagiza mzigo ila nahitaji kutumia Silent Ocean kusafirisha mzigo wangu, je ni hatua gani natakiwa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali ukitaka kubadilisha kada ya utumishi baada ya kujiendeleza kielimu

    Naomba kusaidiwa hatua za kufuata kubadilisha kada kwa anayefahamu na pengine amepitia hatua hizo.
  7. JamiiForums Tanzania Msaada wataalamu wa skimming

    Nikiwa naeleke kufanya maandalizi kwa ajili ya hii kazi wajuzi naomba msaada wenu.... Fundi wa kwanza: Ameshauri itumike white cement then binder alafu rangi na kanipa makadirio yake Fundi wa pili: Yeye kashauri itumike pva then binder alafu rangi..... Fundi wa tatu: Kashauri itumie wall...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kufanya booking ya tiketi ya ndege kutoka Mpanda kwenda Dar

    Habari zenu wakuu Naomba msaada wa muongozo wa namna ya kubook online ticket ya ndege kutoka Mpanda to Dar es salaam kwa Air Tanzania Nina mpango wa kusafiri tar 18 mwezi huu na nina hitaji kubook ticket hiyo online ili nikimaliza shughuli zangu nitumie flight hiyo kurudi Dar JF Wajuaji...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada Unahitajika: CPU ina beep (+Red Light) mara nne na haionyeshi kitu

    Hi kwa wanateknolojia wa Jf.Niende moja kwa moja kwenge tatizo lililonikumba. Betri (CMOS Battery) ndogo ya CPU ya Hp iliisha nikafanya mkakati wa kuisaka lakini nikiwa kwenye mchakato nikasema ngoja niiwasbe hii Deaktop hivhivi bila yakuwa na betri. Nilifanikiwa kuitumia Desktop kwa siku...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada: Ndugu yangu (22) kaanza ubabe kwangu (31), kisa karefuka na anabeba vyuma

    copy paste fb 😂😂 JE NICHUKUE UAMUZI UPI KAMA MTU MZIMA. Ni mtoto wa ndugu yangu, mara ya mwisho kuonana nae ilikuwa kama miaka 7 iliyopita, kipindi hicho tulitokea kuwa na mazoea sana, kahamia mkoani kwangu huku kiukweli dogo kapanda hewani yupo kama futi 6 .3,,,mimi nipo 5.9 Sasa kahamia...
  11. JamiiForums Tanzania USAID kuipa Tanzania msaada wa Dola za Marekani Milioni 25

    Rais Samia amethibitisha kuwa Tanzania itapata msaada wa dola za marekani milioni 25 kutoka Shirika la Misaada la Marekani. Hiyo ni baada ya Rais Samia kufanya mazungumzo ya mtandao na Mkuu wa shirika hilo Bi. Samantha Power. Je huku ndio kuupiga mwingi?
  12. JamiiForums Tanzania Nina ndoto ya kufanya kazi NBS, nina Msc. in Statistics

    Habari wana JF. Jamani ninaomba mawazo yenu. Mimi ni mwalimu wa shule ya sekondari. Ila wakati naajiriwa nilikua tayari nimejiendeleza kwa kua na degree ya pili ya takwimi. MSc. Stat. Ndoto yangu ni kufanya kazi na idara ya taifa ya takwimu, NBS. Changamoto ni kwamba nakosa sifa za kubadili...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Israel yakataa maombi ya Ukraine juu ya msaada wa silaha vita

    Israel imekataa maombi ya kujikaririkariri ya rais wa Ukraine, Ze Comedian Zelensky, kuipatia nchi yake silaha ili kupambana na majeshi ya Russia. Rais huyo kaomba shehena ya silaha hizo alipompigia simu waziri mkuu wa Israel. Israel imesema haitaki kuhusika kupeleka msaada wa silaha kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Nini kinasababisha tatizo la nyumba kupasuka madirishani

    Habari wakuu; Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nina nyumba yangu yangu ambayo niliijenga mfululizo (non stop) hadi nahamaia, na sasa imetimia mwaka mmoja. lakini jambo la kushangaza madirishani kunatokea mipasuko hadi inaninyima raha yaani kila dirisha la nyuma yangu lina mipasuko at...
  15. JamiiForums Tanzania UN kuchangisha dola bilioni moja za msaada kwa Ukraine

    Umoja wa Mataifa (UN) unakusudia kuchangisha dola bilioni moja (Sh triloni 2.3) kwa kufadhili misaada ya kibinadamu kwa ajili ya Ukraine katika kipindi cha miezi mitatu ijayo. Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Martin Griffiths anayeshughlikia misaada ya kibinadamu, ameeleza hayo...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada: Kuhusu Biashara ya kuuza mchele jumla kutoa mikoani kuleta Dar

    Habari Ndugu zangu, Napatikana Dar es Salaam nahitaji kuanza biashara ya kununua mchele kutoa mikoani kuleta kuuza jumla DSM, hivyo naombeni msaada kwa mwenye uzoefu wowote na biashara hii ili nami kijana mwenzenu nipate kujiajiri katika biashara hii. Nina mtaji wa chini ya million 5...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Urusi na Ukraine zipo bara moja?

    Nisaidieni wadau sijawa mzuri sana kwenye jiografia ukweli ni kwamba sina majibu juu ya hayo mataifa mawili kwamba yapo bara moja au mabara tofauti?
  18. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu mshahara wa Data Officer MDH

    Heshima kwenu wadau Naomba kujuzwa MDH wanalipaje kwa nafasi ya Data Officer nikiwa na maana ya mshahara na pia kama kuna posho zozote wanazotoa mbali na mshahara Au yoyote mwenye idea ambae kashawahi kufanya nao kazi
  19. JamiiForums Tanzania Msaada wa tarehe za kuzaliwa za wazazi kwenye tovuti ya kuomba passport ya kusafiria

    habari zenu. samahani nahitaji msaada ninafanya maombi ya passport kubwa ya kusafiria lakini nilipofika kwenye page ya kuingiza taarifa za wazazi baba na mama ninapata error inayosema tarehe siyo sahihi na wakati tarehe hizo zipo sahihi naweza kufanya nini maana bila kurekebisha hapo siwezi...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo: Nakopi wazo la Q-Beans kuuza maharagwe ya kuchemsha

    Habar wakuu, Kwanza nikiri kuwa nepata wazo la kufanya hii biashara ya maharage ya kuchemsha kutoka humu humu kwa MSELA Q Beans, Ila sio dhambi, msela nimemtafuta kwa number yake ile ya watsap aliyoitoa lakini haipatikani. Nimecheki inbox hajajibu, huenda Yuko bize, najua akiwa online...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…