msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Je, naweza kusoma Software Engineering kama nilisoma EGM?

    Je ninaweza kusoma software engineering Kama advance nlisoma EGM
  2. JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji Bima ya Afya ya NHIF

    Nahitaji Bima ya NHIF mimi na watoto wangu wawili pamoja na Mama Mzazi. Hiyo Bima iwe nation wide (nchi nzima) Mimi sio mtumishi wa Umma Wala sekta binafsi nimejiajiri. Wakuu Jambo la Pili nahiitaji ..Kupata mchanganuo wa gharama kwa mwaka Ahsante na Mchana mwema. Muhaya original
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mtoto ana Umri wa Wiki Moja na ana Mafua makali Msaada

    Habari, Mtoto wa Umri wa Wiki Moja ana Mafua makali na anakohoa mara mojamoja... Naomba Ushauri wa kitaalam na namna ya kumsaidia kupata na dawa. Asante
  4. JamiiForums Tanzania Msaada wa kujua suluhisho la kukabiliana na kuvimba na kubanduka kwa rangi katika kuta za ndani ya nyumba

    Nipo maeneo ya Zanzibar nahitaji sana msaada kwa anaefahamu jinsi ya kukabiliana na hili tatizo la kuvimba na baadae kubanduka kwa rangi katika kuta za ndani ya nyumba
  5. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa programme ya kupima eneo la ardhi please

    Kuna progrmammes ambazo unaweza kusi download kwenye simu ambazo unaweza kupima eneo lako (area, perimeter etc) na accuracy ya juu. Please mwenye kujua programe hiyo anisaidie inaitwaje.
  6. JamiiForums Tanzania Msaada: Mbwa akilishwa Sumu huduma ya kwanza ni kufanya nini?

    Jirani yangu Mbwa wake Vibaka wamemuwekea sumu, amekufa anamuangalia hajui afanyeje! Nahofia na mimi hawa wa kwangu, maana wananisaidia sana na Hawa panya road wa kitaa.
  7. JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye utaalamu wa biashara ya juice fresh za matunda?

    Habari wakuuu. Nimekuja mbele yenu kutaka msaada kwa mwenye ujuzi wa biashara ya juice za matunda fresh location ni Dar. Je, ni zipi changamoto za biashara hii. Je, soko lake likoje na ni kwa namna gani naweza kuingia katika soko la ushindani. Je, mtaji ambao unaweza kuendesha biashara hii...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada: Mwanamke niliyezaa naye alienda kwao baada tu ya kujifungua, hataki nimuone mtoto

    Wakuu Salaam, Moja kwa moja kwenye mada. Mwaka juzi nilipata mtoto na mwanamke mmoja nilikuwa nikiishi naye wakati huo. Kipindi chote cha ujauzito alikuwa akiishi kwangu mara baada ya kujifungua akaenda nyumbani kwao kupata msaada wa karibu. Alijifungua vizuri mtoto wa kike na baada ya miezi 2...
  9. B

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Kuhusu medical attendants course

    Wakuu habari za leo, naomba kuuliza je kwa sasa kozi ya medical attenants imeruhusiwa kutolewa na serikali? Maana nimeona kuna baadhi ya vyuo vya afya vinatangaza kupokea wanafunzi wa hiyo kozi. Hivyo naomba kujuzwa pia na vigezo vya wanafunzi anatakiwa awe na ufaulu gani. 🙏🙏🙏
  10. JamiiForums Tanzania Mtindo huu wa nywele unaitwaje?

    Je, mtindo huu wa kuweka nywele hivi (kwenye picha) unaitwaje ama unawekwaje na kama kuna mafuta ama dawa naombeni jina (majina) yake.
  11. JamiiForums Tanzania Msaada IP address calculations!

    Ukifanya nitachukua na kumpa majibu huyu mwanafunzi!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ukraine inalazimisha kupewa silaha utafikiri ni deni: Msaada ukikawia inatukana!! Hawa ni manazi wa uhakika!

    Ukraine imeikashifu sana ujerumani. Kisa ni kwamba ukraine iliiomba ujerumani msaada wa silaha nzito za kurusha makombora lakini mpaka sasa ujerumani haijatekeleza japo milikubali. Sasa ukraine wanaikejeli ujerumani kuwa wanapeleka makombora ukraine kwa usafiri kama wa konokono!! Ujerumani...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kuondoa lock katika line ya airtel

    Hello, naomba msaada namna ya kuondoa lock, nilizima simu nlikuwa naicharge ,then mtoto kaiwasha akaanza kubashiri wrong password ili acheze game. Now inanitaka ni input 8digits .Sina ata kumbukumbu wapi niliweks puk naomba za line. Naomba mwenye uelewa anisaifie please
  14. JamiiForums Tanzania Msaada ngozi yangu inaharibika na sijui kwanini

    Msaada ngozi yangu inaharibika na sijui kwanini
  15. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Bulk SMS

    Hello naomba msaada kwa mwenye ufahamu Kuhusu Bulk sms. kama wanavyotuma hawa watu wa michezo ya kubahatisha hizo namba zetu wanazipata wapi, Mimi nahitaji kujua namna ya kupata hizo namba ili na mm pia niweze kuzitumia kwenye BULK SMS kwa ajili ya baishara yangu. NB: Tayari nimeshapata sender...
  16. JamiiForums Tanzania Gharama vifaa vya umeme kwa Dar es Salaam

    Habari zenu wana jamii naomba mnisaidie bei za hivi vifaa vya umeme kwa Daresalaam. Na kama naweza kuelekezwa duka specific linalouza jumla.
  17. JamiiForums Tanzania Mliosoma Uchumi na Kilimo nawaomba kupata kitabu hiki

    Naomba msaada wa kitabu Cha macro economics pamoja na agricultural production economics Cha dolly and orazem pamoja na kitabu chochote kinachohusiana na social research #natanguliza shukran
  18. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayejua darasa zuri la Kichina jijini Arusha

    Habari wakuu, Naomba msaada kwa anayejua lilipo darasa la lugha ya Kichina Arusha na mawasiliano ya simu ikiwezekana. Nataka nimpeleke mdogo wangu kwa miezi michache wakati anasubiri matokeo ya kidato cha sita. Natanguliza shukrani.
  19. JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kubadilisha Operating System ya simu

    Mimi nina simu hizi za gougle lakini nataka kubadilisha operating system iwe ya android maana hii gougle ipo limited sana kuliko android. Nimejaribu ku root na pc ya samsung lakini bado. Je, naweza kuroot hiyo operating system
  20. JamiiForums Tanzania Msaada: Ipi nzuri kati ya ky jelly na kly jelly?

    Eti hivi kuna tofauti ipi kati ya vilainishi hivi, Ky Jelly na Kly jelly. Sina uzoefu navyo msaada jamani na ipi nzuri maana hata majina hayafanani, moja ni ky, nyingine kly
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…