msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtindo huu wa nywele unaitwaje?

    Je, mtindo huu wa kuweka nywele hivi (kwenye picha) unaitwaje ama unawekwaje na kama kuna mafuta ama dawa naombeni jina (majina) yake.
  2. Msaada IP address calculations!

    Ukifanya nitachukua na kumpa majibu huyu mwanafunzi!
  3. M

    Ukraine inalazimisha kupewa silaha utafikiri ni deni: Msaada ukikawia inatukana!! Hawa ni manazi wa uhakika!

    Ukraine imeikashifu sana ujerumani. Kisa ni kwamba ukraine iliiomba ujerumani msaada wa silaha nzito za kurusha makombora lakini mpaka sasa ujerumani haijatekeleza japo milikubali. Sasa ukraine wanaikejeli ujerumani kuwa wanapeleka makombora ukraine kwa usafiri kama wa konokono!! Ujerumani...
  4. M

    Msaada namna ya kuondoa lock katika line ya airtel

    Hello, naomba msaada namna ya kuondoa lock, nilizima simu nlikuwa naicharge ,then mtoto kaiwasha akaanza kubashiri wrong password ili acheze game. Now inanitaka ni input 8digits .Sina ata kumbukumbu wapi niliweks puk naomba za line. Naomba mwenye uelewa anisaifie please
  5. Msaada ngozi yangu inaharibika na sijui kwanini

    Msaada ngozi yangu inaharibika na sijui kwanini
  6. Msaada kuhusu Bulk SMS

    Hello naomba msaada kwa mwenye ufahamu Kuhusu Bulk sms. kama wanavyotuma hawa watu wa michezo ya kubahatisha hizo namba zetu wanazipata wapi, Mimi nahitaji kujua namna ya kupata hizo namba ili na mm pia niweze kuzitumia kwenye BULK SMS kwa ajili ya baishara yangu. NB: Tayari nimeshapata sender...
  7. Gharama vifaa vya umeme kwa Dar es Salaam

    Habari zenu wana jamii naomba mnisaidie bei za hivi vifaa vya umeme kwa Daresalaam. Na kama naweza kuelekezwa duka specific linalouza jumla.
  8. Mliosoma Uchumi na Kilimo nawaomba kupata kitabu hiki

    Naomba msaada wa kitabu Cha macro economics pamoja na agricultural production economics Cha dolly and orazem pamoja na kitabu chochote kinachohusiana na social research #natanguliza shukran
  9. R

    Msaada: Anayejua darasa zuri la Kichina jijini Arusha

    Habari wakuu, Naomba msaada kwa anayejua lilipo darasa la lugha ya Kichina Arusha na mawasiliano ya simu ikiwezekana. Nataka nimpeleke mdogo wangu kwa miezi michache wakati anasubiri matokeo ya kidato cha sita. Natanguliza shukrani.
  10. Msaada jinsi ya kubadilisha Operating System ya simu

    Mimi nina simu hizi za gougle lakini nataka kubadilisha operating system iwe ya android maana hii gougle ipo limited sana kuliko android. Nimejaribu ku root na pc ya samsung lakini bado. Je, naweza kuroot hiyo operating system
  11. Msaada: Ipi nzuri kati ya ky jelly na kly jelly?

    Eti hivi kuna tofauti ipi kati ya vilainishi hivi, Ky Jelly na Kly jelly. Sina uzoefu navyo msaada jamani na ipi nzuri maana hata majina hayafanani, moja ni ky, nyingine kly
  12. Msaada wa rangi kwenye tunda la pilipili mwendokasi

    Naomba msaada mimea yangu ya pilipili mwendokasi, matunda ambayo hayajaiva yanaonyesha hali ya rangi kama ubluu hivi (nimeambatanisha picha ) hilo ni kawaida au ni ukosefu wa nini. Natakiwa nifanyeje kwa hali hiyo. Mimi ndio nimeanzisha hiki kilimo. Niko Dodoma.
  13. M

    Mimi ni mwalimu, nawezaje kujiendeleza kielimu?

    Jamani mimi ni mwalimu katika shule X iliopo mkoa Y. Ninahitaji kujiendeleza kielimu kuchukua diploma lakini naingia kwenye mfumo wa Wizara ya elimu "tcm.moe.go.tz" siwaelewi. Kwanza wameweka limitation ya mwaka mimi niliajiriwa kitambo kidogo na wenyewe wanataka mtu awe amemaliza...
  14. Wataalamu wa photoshop na digital painting msaada wenu tafadhali.

    Wakuu habari ya nyie kuna hii picha hapa nahitaji kujua namna kuedit kama hivyo, mimi naishia kuweka strokes tu, lakini sijawahi fikia hii level ya hizi cartoon, labda mnipe muongozo ni technique gani hii jina lake ili nifatilie youtube make ukitafuta kwa cartoon za kawaida haiji.
  15. Msaada: Tatizo la kihisia muda wa tendo!

    Habarini wana Jamiiforum! Ningependa kufafanua moja kwa moja tatizo lenyewe!; Nimekuwa na tatizo la kutohisi Chochote wakati wa kujamiiana!..hamu ya kufanya inakuwepo, uume inasimama vizuri! Kimbembe ni muda wote wa kujamiiana hakuna Raha yoyote nayoipata isipokuwa mwishoni muda wa kupiga bao...
  16. Msaada: Usajili wa domain (Tanzania)

    Habari wanaJamiiForums Nina mpango wa kusajili website yangu itakayohusu masuala ya kitaaluma, na nilitamani iwe na kikoa cha DOT ACADEMY (.academy) ukizingatia kwamba kwa . TZ sijaona domain yenye mantiki ya kielimu mbali na kuwa taasisi. Wasiwasi wangu upo kisheria, na hapa ndipo ulipo...
  17. Msaada kwenye Online application

    Wakuu kila ninapojaza naletewa ujumbe huu
  18. Msaada wa notes za Electrical Engineering ngazi ya Diploma DIT

    Habari zenu wana Jamii Forums. Nilikuwa nina uhitaji wa notes za course ya electrical engineering first year pale DIT ngazi ya diploma. Wakuu wa DIT, naomba msaada.
  19. Msaada Passo Racy kukosa nguvu

    Habari wandugu na wataalamu, Nina passo racy ambayo hizi siku za karibuni imeniletea ugonjwa ambao nahitaji msaada wenu kama ulishawahi kukutokea na ukaisove vip? Gari ni kwamba ukitembea kama km 8 inakuwa kama inakosa nguvu mpka uizime ikae baada ya kama dakika 10 then ukiiendesha inaenda...
  20. Disk langu limekuwa hivi msaada plizi

    Hard disk langu lilikuwa 3Tb sijui wakati wa kuformat nimebonyeza wapi limebaki 746Gb . Naombeni mwenye ujuzi anisaidie jinsi ya kuurudisha volume yake halisi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…