msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    Msaada wa kimawazo nimalize Deni la sh. 9M

    Habari wana JF , nina Deni la 9M linanisumbua sana ili niweze kilimaliza nna hitaji kila mwezi nipate 900k lasivyo litazidi ongezeka . Wana JF hapa mfukoni nna 2.2 M nifanye shughuli gani inisaidie kulimaliza maana linaongezeka na mimi kibanda changu cha M pesa /tigo/airtel na halo pesa kina...
  2. Wakati Turkey ikiwapa "msaada" wa drones 4 Ukraine Iran inatarajiwa kutoa mamia ya drones kwa Russia

    The United States said Monday that it has intelligence indicating Iran may soon supply Russia with hundreds of unmanned aerial vehicles, including “weapons-capable” drones, to use in its war with Ukraine, a move that would underscore the growing cooperation between two American adversaries...
  3. Msaada kwa wanao hitaji kuandika Proposals, research, essay na Business plan

    Tunatoa maelekezo na msaada kwa wanachuo na wasio wanachuo ambao wanahitaji kuandika Proposals, business plan, Research na Esay. Haijalishi ni ya conpetition au ya submission ambapo hakuna competition. Wasiliana nasi twitter @trade_ip_const au kwa email: tradeandintellectualpropertyc@gmail.com...
  4. Msaada wa kupata Recent GIS Shapeline za Tanzania

    Wadau kwema, Naomba msaada ni wapi kupata recent GIS Shapeline ya Tanzania inayoonyesha kata, wilaya, na mikoa ya Tanzania. Nimejaribu katika website ya NBS Tanzania lakini naona kuna shape za 2015. Msaada naomba mwenye ufahamu wa hii taaluma.
  5. Msaada juu ya hizi faculty za business

    Wadau salama? Kuna course tatu hapa naombeni kidogo tuzichambue kwa faida ya wadogo zetu wanaotarajia kuingia chuo mwaka huu. Faculty zenyewe ni kama zifuatazo. Bachelor of science in Economics & Finance Bachelor of Banking & Finance Bachelor of commerce in Finance. Utofauti wa hizi course ni...
  6. Msaada: Unaagizaje dawa kutoka nje ya nchi?

    Hello wakuu, naomba kuuliza Kwa mtu anaetaka kuagiza Dawa ambazo hazipatikani Tanzania Kuna utaratibu Gani? Mfano mtu anataka kuagiza DMT,Steroids,whey protein au drysol . Mimi nataka kuagiza drysol,Ni antiperspirant kama deodorant za Nivea. Mwenye kujua utaratibu anisaidie
  7. G

    Nikifanya kazi za kuzoa taka halmashauri sitapata hasara

    Kuna hizi kazi za tenda wanatangaza sana halmashauri, ya kufanya usafi na kuzoa taka ngumu na kwenda kutupa dampo. Kazi hii kiuhalisia sio ngumu lakini ugumu unakuja kwenye malipo yaani wanataka pia ukusanye ushuru wa taka na 30% ulipe halmashauri inayobaki ya kwako, issue ngumu hapa ni kudeli...
  8. Msaada wanapouza vitu vya jumla

    Natanguliza Salaam kwenu ndugu zangu mimi ni kijana mwenzenu nahitaji kujiajiri sasa changamoto ipo sehemu wanapouza bidhaa kwa jumla hasa hizi consuming product kama pipi, biskuti miswaki nk So kwa anaefahamu anaweza niambia ni wap semehu nzuri inauzwa hizo bidhaa kwa bei ya chini maana mi...
  9. Msaada: Chuo kizuri dar cha bussiness marketing and computer networking!

    wapenzi wa kuondoa ujinga na kuongeza maarifa mnisaidie napata wap chuo chenye cheti cha kuthaminika kwa kozi nimetaja! mhusika wangu amehitim f4 mwaka 2021. nisaidien wide range of choices. uzazi kazi!
  10. Msaada kuhusu Dell Latitude 7480 kupoteza chaji ghafla

    Wakuu habari ya muda huu? Mwezi March nilinunua laptop aina ya Dell 7480 ikiwa mpya kabisa. Laptop yenyewe ina ram ya 8gb na processor ya iCore 7 na SSD ya 526gb. Nimekuwa nikiitumia kwa shighuli zangu za research na kuangalia muvi kidogo bila matatizo mpaka siku 5 zilizopita. Awali laptop...
  11. Nina Tatizo la "myofascial pain -Trigger point " naombeni msaada madoctor

    Nikianza na Taarifa zangu za awali. Age: 24 Jinsia: mwanaume Kuoa: Sijaoa Urefu: 5.9ft Uzito: kwa Sasa 76kg kwakawaida ni 89kg Ulemavu: Sina ulemavu Kilevi: Situmii kilevi Wala sijawai kutumia. Upande wa familia: Akuna mwenye shidaiyo au alishawai kuanao Kiujumla Hakuna. Ninapoishi kwa Sasa...
  12. Msaada kuhusu kozi ya kusoma

    Wakuu mdogo wangu kapata division 1 ya 9 (PCB). Kozi zipi anaweza eligible kuomba?
  13. Msaada wa mawazo tafadhari

    Habari zenu wakuu , tafadhari naombeni msaada wa mawazo katika hili tatizo lilomkuta mdogo wangu. Moja kwa moja kwenye maada . Hapa nyumbani ninapoishi ninaishi na mdogo wangu wa kiume . Lengo la kuishi naye ni ili aweze kunisaidia katika biashara yangu ya duka nililolifungua hapa nyumbani ...
  14. Msaada kuhusu refund App ya HESLB

    Nimeomba kurudishiwa kiasi cha pesa ambacho loan board walikata kimakosa, nimefuata hatua zote, baada ya kuconferm nimegundua account namba nimeikosea na hakuna option ya kuedit, Nimejaribu kupiga namba zao hazipatikani, nimejaribu ku click kwenye ile option ya online help lakini pia...
  15. D

    Msaada wa kusolve tatizo la youtube adsense

    Naomba msaada wa mtu anayeweza kusolve ilo tatizo kila nikijiunga inakataa wanajibu hivyo kama nilivyotuma. Asanteni
  16. Msaada au ushauri wa haraka kwa mtoto wa miaka 8 unaitajika kwa haraka

    Naenda moja kwa moja ktk hili jambo kuna mtoto wajirani yangu huyu mtoto ana miaka 8 sasa nahisi ana tatizo la kiafya au kimaumbile . Kuna matukio anayoyafanya hata wazazi wake wanashindwa kuelewa kadharika kwa majirani . 1 dogo ana tuhuma za kusimamisha uume pale anapoona hata paja la...
  17. N

    Binti yangu yupo darasa la 6 tu lakini maziwa yameshalala na yanaendelea kukua kwa kasi ya ajabu!

    Mada hapo juu yahusika. Ni binti mwenye miaka 12 tu lakini hii kasi ya ukuaji wake inanistua mno. Nilizungumza na mama yake ili amchunguze kama ameshaanza haya mambo, mama yake amemchunguza vya kutosha tu na amejiridhisha pasipo na shaka kuwa hata hajaanza. Sikumuamini mama yake, nikamtuma kwa...
  18. Dawa ya Minyoo kwa watu wazima, ipi bora?

    Naombeni msaada wa kujua dawa ya minyoo, Nimeshatumia aina mbalimbali lakini naona Bado siijafanikiwa, Mpaka sasa nikienda haja kubwa nahisi minyoo inataka kutoka lakini hawatoki wanarudi tena tumboni. Naomba msaada wenu.
  19. Msaada wa kupata viza ya Mexico

    Habari zenu wakuu, Nina jamaa yangu amekuwa invited na washikaji zake Mexico, anataka afahamu utaratibu wa kupata visa ya Mexico upoje kama ni mgumu kama wa Marekani au namna gani.
  20. Msaada kupangisha nyumba za Magomeni Kota

    Wakuu igweeee Naomba kujuzwa au kujua utaratibu wa kupanga kwenye zile nyumba za Magomeni Kota zile mpya Kama kuna mtu anakaa hapo anipe Raman alipataje nyumba pale Na mambo ya rent yako vipi? Nawasilisha
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…