Kama kichwa kinavyojieleza wakuu uyu jamaa uwa namkubal sana sasa nahtaj kujua ni vipi ntapata channel ambayo anatangaza yeye.
Namkubali sana peter druly hasa ile misemo yake. Nmejaribu kumfatilia supersport ila naona kombe la dunia hili hasikiki uko dstv
Duniani kuna magonjwa mengi mengine ni psychological made. Anyway, mimi nmepokea mgeni ambaye amekuja likizo maalum. Jamaa yangu wa kitambo sana.
Ilikuja tu tokea akawa amemaliza chuo kaajiriwa sehemu akafundishwa kunywa pombe...akaja kuwa komba. Wamehangaika naye sana. Mpaka mke amechoka...
Poleni na majukumu wakuu, naombeni mawazo yenu binafsi nimefanikiwa kujenga nyumba ya room 3 zote master, sitting room kubwa, dinning, jiko, stoo na public toilet na kwa sasa nimeshaipaua nategemea kuingia kwenye hatua ya finishing. Baada ya kufika hatua hii likaja wazo kuwa huko mbeleni nije...
Roho za huruma huangusha wengi, japo kwa imani tunaamini tenda wema malipo yaja. Nimewahi msaidia mtu, nikabaki kupigwa majungu na niliye msaidia.
Hiko hivi ni jamaa tunayejuana naye, siku alipohitajika na wakubwa kazini sikuwa karibu yake kwa kuonyesha kujali ikabidi niwaulize watu kadhaa kea...
Wadau wa jukwa hili naombeni kujua ni vifaa gani muhimu vinahitajika kuanzisha sever kwa ajili ya hosting ? Ukitoa kuwa na Generator la automatic ambalo ni muhimu kuwepo na Internet ya nguvu either na solar power kwa kujilinda ikitokea tatizo lolote kwenye vyanzo vya umeme.
Je ni vitu gani...
Jamani nimerudi tena itabidi munizoee tu . Eti ukikata rufaa bodi ya mikopo kama umepata kidogo . Ule wa mwanzo wanaweza kuuchukua na unaweza kukosa kabisa. Au wanakuachia?.
Habari ndugu wana sheria! Ningependa kujua jambo moja kuhusu urithi wa mali za marehemu kwenye scenario hii! Kuna mzee mmoja alioa kwa ndoa na kupata watoto wa kwenye ndoa na mmoja nje ya ndoa. Mzee huyo na mkewe baadae wakawa hawaishi pamoja kwa zaidi ya miaka 20 ingawa hawakupeana taraka. Mzee...
Habari za weekend wataalamu
Nimenunua TV aina ya star X naomba kujua namna ya kuunganisha na simu yangu kwa wireless ili niweze kushare music na video. Kabla ya hii nilikuwa na TCL ilikuwa rahisi tu
Serikali imeanza kusambaza mahindi ya msaada kwenye maeneo yenye njaa kwa bei ya unafuu! wakati huo huo malori yaliyobeba shehena ya mahindi kutoka Rukwa, Katavi, Mbeya na Ruvuma yanavuka mipaka ya Holili na Silali, kwenda Kenya, lakini hakuna mahindi au mchele unaotoka Kenya, Uganda, Rwanda...
Za asubuhi wakuu
Naulizia kwa hapa bongo wapi nitapata battery ya simu tajwa
Naipenda huwa kanatunza chaji Sana toka 2019 mwanzoni Hadi Sasa . Week ya pili Sasa nasikia harufu Kama ya lithium battery karibu na port ya kuchajia simu na naona Kama self discharge Ni kubwa Sana ..an average of...
Habari zenu wakuu,
Niende moja kwa moja kwenye mada naomba maelezo kuhusu kununua gari hiyo pichani yaani rav4 1995-2000 mkononi (used)uliyotumika hapa Tanzania ni vitu vipi vya kuzingatia, Budget ni mil 7
Wakuu habari zenu na poleni na harakati za kupambana na maisha,
Naombeni msaada wenu kwa wale wazoefu katika sekta ya ujenzi kuhusu mabati ya Kiboko. Jana nimeenda kwa wakala nimekuta yanauzwa 27,000 bati moja la msouth 30G na Alaf wanauza 37,000pc 30G difference ya Tshs. 10,000 nikahoji...
Rejea kichwa Cha habari hapo juu.
Msaada wa jinsi ya kulipia (payment methods) ambayo nitamtumia Mpesa au mobile money YouTube ili nipromote contents zangu Kwa eneo ninalolilenga.
Jameni maskini Urusi, waliokua wanampa msaada wote wanajitetea na kumkimbia, juzi Iran alijitetea sana jinsi hajamsaidia, naona Korea Kaskazini naye kachomoa.....
North Korea said on Tuesday it has never had arms dealings with Russia and has no plans to do so, its state media reported, after...
Habari wana JF
Mimi Ni kijana mwenye umri wa miaka 29, Nina elimu ya BSc CIVIL ENGINEERING, ninatafuta kazi yoyote katika sekta ya ujenzi au sekta yoyote ile ipatikanayo, nimekua nikifanya kazi Kama saidia fundi(kibarua) katika kampuni mbalimbali huku nikisubiri kupangiwa kufanya SEAP...