brave Mwafrika
JF-Expert Member
- May 2, 2019
- 248
- 143
Mbona hujiaminiHilo ni swali la kumi na moja .Necta 2017
Aliyelipata hilo swali aliandika hizi hapa inequalities
View attachment 2411018
Sh. 150 ya machungwa na sh. 200 za maembe hazina inequality so unazineglect. Hiyo hapo ni solution ya aliyelipata hilo swali sio solution yangu.