Habari zenu wakuu natumaini mu wazima. Moja kwamoja kwenye mada...
Wakuu mimi ni kijana jinsia "me" nasumbuliwa na tatizo la FANGUS kwa muda mrefu. Nimetumia dawa mbalimbali za kunywa "fluconazol" yawezekana nimekosea kuandika Ila jina lake linaendana na hilo, pia nimetumia dawa za kupaka...