Msaada accout yangu ya facebook imefungiwa

Kine Master

Senior Member
Aug 4, 2022
151
67
Habari za muda huu wana JF natumai mnaendelea vizuri kama kuna mgonjwa ugua pole, moja kwa moja niende kwenye mada yangu naombeni msaada wenu akaunti yangu ya Facebook imefungiwa bila sababu siku chache zilizopita japokuwa email address na password nimetumia kurejesha but sina access yoyote...

 NAWASILISHA
 
Back
Top Bottom