Naomba kufahamu kuhusu biashara ya kuuza mpunga kutoka Morogoro

2011

Senior Member
Dec 6, 2022
136
112
Habari zenu wapendwa ,,

Naomba msaada wenu kwa walioko kilombero morogoro kuhusu biashara ya kununua mpunga na kukoboa Kisha kuuza na sio kuweka stock.

Ni mtaji Gani unafaa kuanzia ili kupata mzunguko mzuri kidogo.

Changamoto na ushindani pia ukoje kwenye biashara hii.

Pia ningependa kujua vijiji vinavozalisha Kwa wingi mpunga na Bei kwa gunia Moja ni sh ngapi.?

Je Kuna uwezekano kununua hata gunia 50 Kwa wiki angalau.

Usafiri upi unatumika kufikisha mzigo mashineni ,

Tahadhari za kuchukua na mazingira kiujumla.

 NB: Ningependa kupata maelezo Toka Kwa wanaofanya / waliowahi kufanya hii biashara maeneo ya kilombero au popote kwenye mpunga morogoro.

Lengo ni msimu ujao kuanzia mwezi wa 5 ,

Nawasilisha Kwa dhati.

. .
 
Tafuta nyuzi humu zipo nyingi kwa uzoefu wa kutosha, ukikwama tembelea store za kuuza Mchele Dar pia fika kilombero kafanye utafiti mwenyewe Mdogo mdogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom