mradi

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akizindua mradi wa maji Kigamboni na kugawa mitambo ya Kuchimbia visima, Leo Novemba 11, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizindua mradi wa maji Kigamboni na kugawa mitambo ya Kuchimbia visima, Leo Novemba 11, 2022 ===== Mradi wa maji wa Kigamboni umezinduliwa rasmi na Rais Samia, Rais amejafungua maji na yanatoka kwa wingi. Rais amekata utepe na...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Lita 1,000 za maji kuuzwa mpaka Tsh 60,000 mgao wa maji mradi wa ‘watu wakubwa’ Serikarini?

    Kadri siku zinavyoenda mgao wa maji unazidi kuwa mkali, na kwa sehemu kubwa maji hayatoki kabisa zaidi ya wiki mbili na wengine mpaka tatu. Bei ya maji tunayouziwa mtaani inatisha, kwa jinsi gharama za maisha zilivyopanda tutafika kweli? Dumu moja la lita 20 linauzwa 1,000 mpaka 2,000, lita...
  3. MSONGA The Consultant

    JamiiForums Tanzania Shirikisha Watu Wafuatao Kwenye Utafutaji wa Fedha Kwa Ajili ya Taasisi Yako

    Utafutaji wa fedha kwa ajili ya Taasisi yaani "Fundraising Process" ni jambo muhimu sana kwa ustawi wa Taasisi. Kupitia "fundraising process" Taasisi itaweza kupata fedha kwa ajili ya; kutekeleza miradi, kugharamia shughuli za uendeshaji n.k. Jukumu la utafutaji wa fedha kwa Taasisi nyingi za...
  4. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Bunge laazimia Serikali ianze ujenzi wa Bandari Bagamoyo je haya waliyazingatia wabunge?

    BUNGE limepitisha azimio la kuitaka Serikali iharakishe utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Bandarii ya Bagamoyo. Azimio la Bunge hili la Bunge kuhusu Mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo limeazimia na Bunge lakini mradi haujawahi kuwepo. Azimio la Bunge kuagiza mradi huu utekelezwe haraka...
  5. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Japanese imekubali kushiriki katika mradi wa nishati wa Urusi

    Tokyo inasema hatua hiyo itasaidia kudumisha upatikanaji wa nishati nchini Japan. Japan inashiriki katika mradi wa nishati wa Urusi Kampuni ya nishati ya Japan SODECO imeamua kubakiza hisa zake 30% katika shirika jipya litakalosimamia mradi wa mafuta na gesi wa Sakhalin-1 katika Mashariki ya...
  6. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Kukopa Trillion 4 ndani ya wiki 1 huku Mradi wa Bwawa la Nyerere umekwama kwa kukosa pesa si busara

    Hizo trillion 4 zinaenda wapi wakati hata pesa za miradi muhimu kabisa hakuna?! Ni kwanini tusikope fedha kukamilisha miradi strategic ambayo tumeshaianza?
  7. U

    JamiiForums Tanzania Raisi tunaomba Mradi mmoja wa ziada wa Gas Kinyerezi kabla ya 2025 hata wa MW 500

    Kiuhalisia Bila Raisi Kikwete kuleta Mradi wa Kinyrrezi 1,2 na 3 na extension one, tungekimbia nchi Kwa mgao mkali wa umeme, matumizi yameongezeka zaidi ya asilimia 50, hivyo Mzee kikwete alitusaidia sana, na Sasa tuna umeme wa gas ambao ndo huu tunagawana hawana. Ombi langu Kwa Raisi Samia, ni...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Hata 1980s tulipomaliza mradi fulani Chenji iliyobaki tulitumia kujipongeza kwa sherehe!

    Binafsi sijashangaa kabisa tukio la kuutangazia Umma matokeo ya Sensa kupitia mkutano wa hadhara Mazoezi ya Sensa hugharamiwa na UN so kama Chenji imebaki na ikaingizwa kwenye Mzunguko wa Fedha kwa njia ya Sherehe kuna ubaya gani? Ni kawaida sana J4 Ubarikiwe sana!
  9. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Nimepata mfadhili wa mradi mmoja mkubwa unaoweza kugharimu Tsh billioni 116. Ni mradi gani unaweza kugharimu hizo pesa?

    Habarini wakuu, Nina swali zito naombeni majibu yake. Nimepata mfadhili mmoja katika tafuta zangu. Ameniambia nitafute mradi mmoja wa kuwekeza unaoweza kugharimu billioni 116. Je, ni mradi gani mmoja mkubwa ambao unaweza kugharimu Tsh. billioni 116. Niliandika miradi yangu mitatu. Miwili ya...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Mradi kusimama baada ya uzinduzi

    Ndugu wana jamvi, Natafuta heading yenye taarifa inayoonyesha mradi ukisimama baada ya uzinduzi. Mfano kiongozi mkubwa (Rais, au waziri anazindua mradi wa maji, umeme au ujenzi. Halafu baada ya hapo mkandarasi anasepa na hakuna kinachoendelea hapo. Natafuta mwenye link ya story ya miradi kama...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yakwama ujenzi Mji mpya wa NSSF Dege Eco Village Kigamboni, yatangaza kuuza mradi

    Baada ya kusuasua kukamilika kwa mradi wa Dege Eco Village kwa thamani ya dola 653 milioni za Marekani (zaidi ya Sh1.3 trilioni), Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) lililokuwa linautekeleza limetangaza kuuza kwa mwekezaji mwingine atakeyevutiwa nao. Ujenzi wa mradi huo wa mji mpya wa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge yapokea taarifa ya Ujenzi wa Shule mpya kupitia mradi wa Sequip

    KAMATI YA BUNGE YAPOKEA TAARIFA YA UJENZI WA SHULE MPYA KUPITIA MRADI WA SEQUIP. OR -TAMISEMI Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala Bora na Serikali za mitaa (USEMI) ikiongozwa na Mhe. Jaffari A. Chaurembo, Mbunge wa Jimbo la Mbagala imepokea na kujadili taarifa kuhusu Utekelezaji Mradi wa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Misri wakubaliana juu ya kuendelea na mradi wa uchimbaji wa visima na mabwawa

    TANZANIA NA MISRI WAKUBALIANA JUU YA KUENDELEA NA MRADI WA UCHIMBAJI VISIMA NA MABWAWA Cairo-Misri Mapema Tarehe 16 October Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso alikutana na Waziri wa Maji nchi Misri Mhe Profesor Nabhan Sweilam Jijini Cairo na kuekeza timu alioambatana nayo kukutana haraka na...
  14. MSONGA The Consultant

    JamiiForums Tanzania Mradi Wenye Mafanikio Hutimiza Matarajio ya Mnufaika

    Katika utekelezaji wa miradi, wakati mwingine mteja (client/beneficiary) hutarajia huduma zenye ubora wa kiwango fulani/mtindo fulani tofauti na uwezo wetu katika kuzalisha. Hali hii kwa kiasi kikubwa imekuwa ikipelekea miradi mingi kutokufanya vizuri, na hii ni kwa sababu, KUMRIDHISHA MTEJA...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua mradi wa Umeme Nyakanazi, yaelezwa utasaidia kuokoa Tsh Bilioni 60 za jenereta

    Rais Samia Suluhu Hassan, Oktoba 16, 2022, amezindua mradi wa kituo cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme mkubwa wa 220kV/33kV cha Nyakanazi Mkoani Kagera ambao umekamilika. Aidha, Rais amezindua maeneo manne ya mradi huo ambayo ni; Njia ya umeme msongo wa Kilovoti 220 kutoka Geita mpaka...
  16. Nyendo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nairobi: Mradi wa Mabasi ya Mwendo kasi (BRT) umekwama kwa sababu ya ukosefu wa fedha

    Kukamilika kwa mradi wa wa BRT, Usafiri wa Haraka wa Mabasi Nairobi kunacheleshwa na kutosekana kwa ufhadhili. Mfumo wa BRT ulitazamiwa kutoa suluhisho la kudumu la msongamano wa magari katika jiji na viunga vyake, ahadi ya njia salama, bora na ya bei nafuu ya usafiri wa umma ambayo bado...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso aibua shangwe wananchi pembezoni vyanzo vya maji Mbinga; aagiza usanifu wa mradi kuanza

    AWESO AIBUA SHANGWE WANANCHI PEMBEZONI VYANZO VYA MAJI MBINGA; AAGIZA USANIFU WA MRADI KUANZA MBINGA-RUVUMA Waziri wa Maji Mhe Jumaa Hamidu Aweso amekagua na kuzindua shughuli za uhifadhi wa vyanzo cha maji vya Lupembe A, B, C, na D ambavyo ni tegemeo kwa usambazaji maji Safi kwa mji wa Mbinga...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya China yasema Bomba la Mafuta (EACOP) litajengwa kwa namna yoyote ile

    CNOOC International, kampuni ya Mafuta na Gesi ya China ambayo inamiliki hisa za uchimbaji Mafuta nchini Uganda, imesema mradi huo utatekelezwa kama ulivyopangwa, licha ya mvutano wa Tanzania, Uganda na Bunge la EU. Makamu wa Rais wa CNOOC, Dan Shao amesema walichokuwa wanahitaji ni msimamo wa...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania NHC kutumia Tsh. Bilioni 466 mradi wa Samia Housing Scheme

    Shirika la nyumba za Taifa (NHC) limelenga kutumia zaidi ya Sh460 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa nyumba 5,000 nchini, huku asilimia 50 ya nyumba hizo ikitegemewa kujengwa eneo la Tanganyika Packers jijini Dar es Salaam. Mradi huo uliopewa jina la Samia Housing Scheme unatarajiwa kuanza...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa haya kuhusu mradi wa viwanja Bagamoyo

    Habari zenu! Jana kupitia ITV niliona tangazo kutoka kwa Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Bagamoyo akitangaza uuzwaji wa viwanja katika wilaya hiyo. Kwakuwa napenda kumiliki kiwanja Bagamoyo lakini kwa sasa nipo mkoani kikazi sitaweza kufika ofisini na kufanya maulizo. Naomba mtu...
Back
Top Bottom