mradi

  1. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha: Ongezeko kubwa la omba omba mjini, je ni mradi wa watu?

    Siku za hivi karibuni kumekuwa na Ongezeko kubwa la omba omba katikati ya jiji la Arusha, kulinganisha na miaka miwili iliyopita. Miongoni mwa omba omba hao ni wazee, vipofu, viziwi walemvu wa miguu na mikono Watoto, na baadhi yao wanaojifanyisha ni walemavu. Hali hiyo imekuwa kero sehemu...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa mjadala wa utekelezaji wa mradi wa uimarishaji ya miliki ya ardhi(land tenure improvement program)

    MKUTANO WA MJADALA WA UTEKELEZAJI WA MRADI WA UHIMALISHAJI YA MILIKI YA ARDHI (LAND TENURE IMPROVEMENT PROGRAM) Tumefungua mkutano wa mjadala wa Utekelezaji wa Mradi wa uhimalishaji Salama ya Miliki za Ardhi yaani Land Tenure Improvement Program. Mradi huu unakwenda kupima, na kutambua Vipande...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa nauli za mwendokasi: Mkakati wa kuboresha sekta ya usafirishaji wa umma utakaoleta matokeo mazuri katika usimamizi na uendeshaji wa mradi

    Kufuatia Wakala wa Mabasi yaendayo Haraka (DART) kumtangaza bei mpya za nauli, nimeona mtazamo wa baadhi ya watu ukiwa kulekule vitu vinapanda bei sana. Kufuatia mtazamo wa namna hiyo nami nitachangia machache juu ya faida za kupanda kwa nauli za usafiri huo husasani katika suala zima la...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Bomba la Maji la Mugango-Kiabakari-Butiama wakaguliwa na Kamati ya Bunge - Jimbo la Musoma Vijijini

    Jumamosi, 14.1.2023, Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji ilikagua Mradi wa ujenzi wa miundombinu ya Bomba la Maji la Mugango-Kiabakari- Butiama. Gharama ya Mradi huu ni kubwa: ~ Tsh bilioni 70.5 kutoka Serikali ya Saudi Arabia (49.12%), BADEA (31.40%) na Serikali ya Tanzania...
  5. hp4510

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ziinglie kati Uendeshwaji wa Mradi wa (BRT) Mabasi Mwendokasi

    Ukiangalia the way huu mradi unavyoenda hasa kwenye kutoa huduma utagundua kuwa waafrica bila kusimamiwa na wazungu ni ngumu sana kujisimamia wenyewe. Nimetoka hapo kituo cha kivukoni now, abiria ni wengi sana, folen imezunguka kama mara tatu au 4. Ila cha ajabu hakuna magari yanayopakia, na...
  6. Rashidi Jololo

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM imetutapeli Wavuvi pesa za mradi wa IFAD, mabilioni ya Samia YAYEYUKA

    Wanabodi, kama ilivyokuwa katika awamu ya mwisho ya Kikwete, vilianzishwa vikundi na vyama vya ushirika na kukopeshwa mamilioni ya shilingi bila riba. Baada ya utawala wa Magufuli kuingia, vikundi na vyama hivyo vya ushirika vikafutiliwa mbali na kutokomea na kodi zetu. Mchezo huo ni kama...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Aweso aridhishwa na utekelezaji wa mradi wa zaidi ya bilioni 23 Morogoro vijijini

    Waziri wa Maji Mheshimiwa Jumaa Aweso (Mb), ameridhishwa na utekelwzaji wa Mradi wa Maji wa Morong’anya unatekelezwa na RUWASA Morogoro Vijijini. Mradi wa Maji Morong’anya ni miongoni mwa miradi mikubwa 2 ya maji iliyosanifiwa na watumishi wa RUWASA na inayoendelea kutekelezwa na ofisi ya...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Hassan kufufua Mradi Mkubwa wa Kilimo Umwagiliaji wa Bugwema, Mkoani Mara

    SERIKALI YARIDHIA KUFUFUA MRADI MKUBWA WA KILIMO CHA UMWAGILIAJI BONDE LA BUGWEMA *Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikusudia kuanzisha kilimo kikubwa cha umwagiliaji ndani ya Bonde la Bugwema. Hii ilikuwa mwanzoni mwa miaka ya 70. *Bonde la Bugwena ni kubwa mno. Eneo...
  9. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Watu aliowasema Rais Samia kuhujumu Bwawa la Nyerere ni kina nani?

    RAIS Samia Suluhu Hassan amesema katika awamu ya 5 chini ya Hayati Dk John Pombe Magufuli waliamua liwalo na liwe ila Bwawa la Nyerere lijengwe licha ya hujuma kubwa zilizofanyika na baadhi ya watu ili mradi huo usitekelezwe. “Awamu ya tano tukasema liwalo na liwe lakini azma hii ya Mwalimu...
  10. V

    JamiiForums Tanzania Kukithiri Kwa vitendo vya rushwa mradi wa bwawa la mwalimu Nyerere (Julius Nyerere hydro power project)

    Habari zenu Wana jukwaa la JamiiForums Kwanza napenda kuipongeza serikali kusimamia utekerezaji wa ujenzi wa bwawa hili kubwa nchini la kufua umeme na kutoa fursa za ajira Kwa vijana wengi wa kitanzania Lakini mradi unapoelekea kumalizika kumetokea tatizo kubwa sana la urasimu upande kupata...
  11. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Taarifa hizi za Mradi wa JNHPP zimefichwa kumlinda nani?

    Taarifa muhimu kuhusu Mradi wa JNHPP zimeshindwa kuwekwa wazi licha ya kutambua kuwa Mradi huu ni wa watanzania na wala sio mali binafsi ya familia ya 'Watu wazuri hawafi" Ni sababu zipi zilizosababisha watanzania washindwe kuambiwa Mradi utakamilika lini? Ni sababu zipi zilisosababisha...
  12. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Mliofuatilia tukio la JNHPP wamesema mradi unakamilika lini?

    Kwa mliofanikiwa kufuatilia tukio la jana Disemba 22, 2022 la kuanza kujaza maji Bwawa la JNHPP wamesema mradi utakamilika lini. bahati mbaya mimi umeme ulikuwa umekatika sikuweza kufuatilia kwenye TV. Hadi kufikia jana Naibu Waziri wa Nishati alisema Bunge lililopita la Novemba kuwa mradi...
  13. thetallest

    JamiiForums Tanzania Kwanini January Makamba unakataa kutambua nguvu na juhudi za hayati Magufuli kwenye JNPP?

    Ukweli lazima usemwe, kuna tatizo gani kutambua juhudi za hayati Magufuli kwenye mradi huu wa umeme (JNHP), hasa kwenye hotuba zenu? Wazo lilikuwa la Mwalimu Nyerere akashindwa, awamu zilizofuata kuanzia ya pili mpaka ya NNE, hawakuwa na habari na mradi huo, waliupa kisogo. Hayati Magufuli kwa...
  14. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Mwendokasi Gongolamboto - City centre waanza kwa kishindo

    Awamu zote zikikamilika tutapiga hatua kubwa kwenye usafiri wa Umma. Big Jakaya Kikwete.
  15. Fursakibao

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mwekezaji aliyeikamata ndege yetu alijitoa kwenye mradi mwaka 2015 Mwigulu Nchemba ukataka kumrudisha ikashindikana. Sasa hayo madai ni ya nini?

    Agro Eco Energy alijiondoa kwenye mradi wa sukari wa Bagamoyo 2015, huyu aliyeikamata ndege yetu ni nani? Mwigulu Nchemba tunahitaji majibu hapa. Kwa mujibu wa gazeti la The Guardian la tarehe 21 October 2015 kampuni ya The Swedish international Agency ilijitoa kwenye uwekezaji wa mradi wa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Kinondoni hamtendi haki katika Ujenzi wa Stendi ya Mwenge, mnabomoa miundombinu mali ya Kanisa

    Katika Hali isiyo ya kawaida Manispaa ya Kinondoni imeonesha ubaguzi wa Hali ya juu, hii imetokea katika Mradi wa ujenzi wa Stand Mpya inayojengwa eneo la Mwenge Dar es Salaam, ambapo katika eneo hilo taasisi Mbili za kiislam na kikristo zinamiliki maeneo ya Ibada. Picha na video ni matukio ya...
  17. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Tanesco Kama mnaandaa hoja za kupiga dili kupitia mradi wa dharula wa kuzalisha umeme nazani mlishapata. Choteni mahela mtutoe kwenye mgao huu mkali.

    Kwanza hii nchi inawasomi wa kutosha. Inamaana hawakujiandaa kabisa kwa chochote kuhusu umeme maji yakipungua? Kwa uzoefu mgao ukiwa mkali hivi ujue Kuna Jambo linatafutwa. Mikataba ya haraka haraka ya Bei juu iliyojaa utata inataka kupitishwa ili watu wapige mahela. Kila kitu kimekamilika...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Maji Kigamboni waendela kuleta ahueni

    Mradi wa Maji Kigamboni waendela kuleta ahueni. Tangu kuzinduliwa kwa mradi wa maji Kigamboni maeneo mablimbali ambayo hapo awali yalitegemea maji kwa mgawo tangu kutokea ukame mwezi Oktoba,2022 yameanza kupata maji. Wanufaika wa kwanza walikuwa wakazinwa Kigamboni Ferry, Navy, maeneo ya...
  19. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Napendekeza uanzishwaji wa mradi wa Kinyerezi V hadi X

    Tanzania kwa sasa inamiliki bomba kubwa la kusafirisha gesi asilia toka Mtwara hadi Kinyerezi Dar es salaam ambalo lilijengwa kwa mkopo wa zaidi ya Dollar bilioni 1 toka China. Kwa taarifa nilizowahi kupata, ni kwamba hadi sasa Bomba hilo tunalitumia kwa chini ya asilimia 6 tu, hivyo bado kuna...
  20. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kilichochelewesha mradi wetu wa LNG ni siasa nyingi, mimi naumia sana Msumbiji kututangulia kusafirisha LNG

    Nimeanza kufuatilia mwenendo wa sekta yetu ya gesi tangu mwaka 2011. Toka kipindi hicho mpaka leo yamezungumzwa mengi sana kuhusu sekta yetu ya gesi. Sekta yetu inakasoro nyingi sana zinazokwamisha maendeleo ya miradi yetu. Siasa iliyokua ikitumika ndio imechelewesha sisi kuanza mradi wa LNG...
Back
Top Bottom