Habari za saa wanachama wenza wa Jamiiforums natumai ni wazima.
Nilikuwa na jambo linalo nitatiza na lenye kuhitaji majawabu kutoka kwenu wanachama na jambo lenyewe lina husu katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Kwa miaka ya hivi karibuni mpaka sasa hapa taifani kumekuwa na mijadala...
MWAMKO MPYA KUHUSU HISTORIA YA BI. TITI
Mwaka jana 2021 kuanzia mwezi October hadi kufika mwezi kama huu na siku kama hizi nilipokea wageni wengi nyumbani kwangu kutoka vyombo vya habari pamoja na CCM wakitafuta historia ya Bi. Titi.
Hakika haya ndiyo maajabu ya Allah kuwa atakapo jambo lake...
RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA 10 UWT JIJINI DODOMA.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan azungumza na Viongozi, wageni mbalimbali pamoja na Wajumbe wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) akifungua Mkutano Mkuu...
Nasikia Kiingilio ni Bure na Bia nazo ni bure kwa idadi uitakayo halafu Wanawake wote wanatakiwa Kuvaa Madela ila ndani wawe Watupu tu
Vile vile Watumbuizaji wakuu ni Christian Bella na Mboso na hivi sasa Saa 6 na dakika 57 hii Mvua ikiwa inanyesha Mboso ndiyo anaanza Kupanda Stejini.
Mimi...
Nani asiyejua umuhimu wa katiba mpya? Nani anaweza kuthubutu kujipa jukumu hilo peke yake na kuwasusa wengine kwa sababu zozote zilizokwisha pita?
Misahafu inasema ni furaha kuu mbinguni kwa mwenye dhambi mmoja akitubu.
Hivi hata ya waungwana hatuyasikii?
Nini tofauti ya ya chawa uchwara...
Kampuni tanzu kampuni ya Eurowagon kutoka uturuki iliyopewa tenda hayat John Pombe Magufuli kutengeneza reli na mabewa iliondolewa na kuletwa kampuni kutoka China Korea kusini ambazo zimeleta izi bewa na na lijua Aya yatatokea bewa zilizo wasili pale bandarin hakuna mtanzania aliependa hata za...
Lazima Waziri Mkuu mpya atoke Kanda ya Ziwa
Ili kuinusuru CCM lazima Waziri Mkuu anayefuata baada ya Majaliwa atoke Kanda ya Ziwa.
Sijasema Majaliwa atafukuzwa hapana me nasema baada ya Majaliwa Waziri mkuu ajaye anatakiwa kutoka Kanda ya Ziwa nafikiri nimeeleweka!
Asalam aleykum!
Jamani haya maisha yanachekesha sana na ukiyafikiria sana unaweza kupasuka kichwa, basi juzi kuamkia jana bwana kama kawaida katika ndoto niko sehemu kama nimesimama hivi. Nilikuwa kama kuna mtu amenisimamisha anataka kuniambia jambo fulani, kwa mbalii nikawa kama nasikia...
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame M. Mbarawa ametangaza mkakati wa ujenzi wa barabara mpya kwa kushirikiana na sekta binafsi kutoka Dar es Salaam – Chalinde hadi Morogoro yenye urefu wa Kilometa 215 itakayojulikana kwa jina la Express way.
Barabara hiyo itakuwa ni ya kulipia pindi mtu...
Jina: Chlouha Zakaria
Utaifa: Morocco
Kwa mujibu wa taarifa ambazo hazijathibitishwa na Uongozi wa Simba SC, kocha Chlouha Zakaria anaweza pia kuhudumu kama kocha wa viungo.
=====
Kocha huyo ni Chlouha Zakaria ambaye ametambulishwa leo Jumanne Novemba 15, 2022 ambapo anaungana na Juma Mgunda...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema mabadiliko makubwa kwenye elimu yanakuja.
Alisema Rais Samia alitaka Wizara ya Elimu kufanya mapitio ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 ambayo ilitungwa wakati wa Serikali ya Awamu ya Nne.
“Sera iliyopo haijatekelezwa...
Hanari wakuu, mimi si mtaalam sana wa computer ndo najifunza baazi ya mambo. Natumia dell optiplex 5040 yenye RAM 4gb ddr3 hivyo nikaamua kuongeza RAM 8gb ila ni campuni tofauti na RAM iliyo kwenye desktop
Shida ni kwamba kila nikijaribu kuiweka hii ram mpya mashine haiwaki nakosea wapi wakuu...
Nauza mashine ya kusafishia carpet a.k.a Vacuum Cleaner. Mashine hii ni mpya kabisa na haijawahi kutumika hata mara moja.
Bei: 250,000
Location: Arusha
Mawasiliano: 0768444224
Kumiliki vitendea kazi muhimu, ni rahisi kuacha kazi na kwenda kujiajiri. Wengi tunashindwa kufikia hayo malengo, kwa sababu mishahara yetu tunatumia kwenye vitu vinavyokula hela na havizalishi.
Utakuta mtu anachukua mkopo mkubwa au anatumia fedha alizopata kwenye ajira kwa kujengea nyumba...
Kocha gani Wewe muda Wote tu ni Kukenua Kenua Mimeno huku Timu yako ikiwa inabadilika mara kwa mara Kimfumo?
Wenye Simba SC yetu na Mafia wa Soka la Bongo (Tanzania) tunajua ni Juhudi gani zilifanyika ili Kocha Mgunda alipotua Simba SC akawa anashinda mfululizo mpaka Mechi za Kimataifa.
Hivyo...
Wana JF
Watu wengi wamekalia lawama nyingi sana na kuhukumu kila kukicha nafasi ya kondeboy Harmonize katika mikakati ya kuangushwa na mpenzi wake na mtu mzima Kajala.
Pengine ufagio mpya alioutumia unaonekana kuwakera wengi tu lakini kwa jicho jipya ni kwamba kisafisha nyumba na kuweka vitu...
Bila hustle mingi!
Si yule mrembo kanitafuta tena na namba mpya! Nikamuuliza vipi, mbona namba mpya? Oooh! Nikikupigia na yangu ya kawaida haushiki simu. Eeeh bwana eh, mwenzenu sijala nyama tangu mwezi wa kumi na mbili, mwaka uliopita!
Mtanisamehe kwa kweli, hapa napita mpaka na mifupa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.