Maafisa Habari waliajiriwa kwa ajili ya kuunga daraja la mawasiliano kati ya serikali na wananchi. Inafikia miaka mitano mtandao rasmi hauna habari yoyote mpya.
Nadhani Sasa wawekewe malengo ya habari zisizopungua 15 kwa mwezi kwa Kila halmashauri au Ofisi ya RAS.
Kila Mkoa una maafisa hawa...
Mtazamo mpya wa NATO ni kwamba, ili amani irejee katika huu mzozo, ni lazima Putin akatishwe tamaa kabisa kwamba hataweza kuidhibiti Ukraine kabisa, kwa kumuongezea Ukraine msaada zaidi wa silaha.
Katibu wa NATO anaamini hiyo ndio njia bora ya kumshawishi Putin aone anachokihitaji ni kama mlima...
To be launched January 2023.
SPILL
========
A group of former Twitter employees has announced that they are making their own social media platform, just weeks after being laid off by Elon Musk.
On October 27, Elon Musk revealed that he had officially become the owner of Twitter after months...
Merry Christmas and happy new year,
Hao watu niliowa mention hapo juu Pascal Mayala, Lumumbashi na Gaganiga nawatakia heri ya fanaka katika sikukuuu hizi za mwisho wa mwaka naomba mungu awaendelee kuwapigania muendelee kupata mafanikio zaidi kwa mwaka ujao.
Naomba mungu mwakani bwana pascal...
Heri ya X Mass.
Tunamshukuru Mungu kwa siku kuu ya leo,na kwa namna ya kipekee kabisa nawapongeza waKristo wote Tanzania na Duniani.
Wakati bado tunaendelea kusheherekea siku hii muhimu naomba tuwarejeshe katika mjadala wa mchakato wa KATIBA MPYA.
Ni hakika KATIBA ya sasa ina mapungufu mengi...
Mko poa? Kama ndio jambo jema na Nafurahi kwa ajili yenu wote kuwa na afya.
Imekuwa ni kawaida kama sheria kwa familia nyingi za hapa kwetu Tanzania ikiwa ni siku za sikukuu chaula ni pilau, ndizi, biriani nataka kubadilika jamani,
Naomba mnisaidie chakula kingine kitamu cha kufanya siku ya...
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limechukua hatua hiyo iliyowekwa kwa Majeshi ya Serikali ya DRC kutonunua Silaha mpya hadi wapate kibali kutoka Kamati ya Vikwazo ya UN.
Wajumbe wa Baraza hilo wamesema wanatambua Hali Mbaya ya Usalama nchini humo na hivyo kuondoa vikwazo hivyo ni katika...
Elon Musk kasema kuanzia Sasa maamuzi makubwa ya Twitter yataamuliwa na wanatwita wenyewe.
Ambapo wamuomba kuachia ngazi na katika hali ya kushangaza mpaka Sasa mida hii watu milioni 8 wamemtaka rapa Snoop kuingoza kampuni hiyo kubwa.
Bila shaka boss Mello analiona hili suala.
Ili kudhibiti wanaotaka kupingana na maamuzi ya Chama kilichokupa dhamana ya uongozi. Katiba mpya iseme wazi kuwa KAMATI KUU ndio kiwe chombo cha juu kabisa cha kudhibiti wakaidi
Uzi huu tuutumie kutakiana heri ya xmass na mwaka mpya wa 2023 wenye heri na fanaka tele. Uzi huu sio wa kidini wala hauna lengo la kuleta mijadala ya kidini just wishing happy new year and marry xmass au Noel.
Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini (Latra CCC) limependekeza nauli za abiria kwa treni ya mwendokasi (SGR) kutoka mkoa ya Dar es Salaam hadi Dodoma Sh19, 000 kwa watu wazima na wadogo Sh 9,000 kwa daraja la kawaida.
Wakati huo nuali ya kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro...
Habari wakuu, naomba kujua kwa hapa bongo ni dealer yupi anauza au kupitia yeye naweza kupata gari mpya kabisa yaani 0 kilometer.Gari hizi ni Kama,
1. Mercedes Benz S class (2022)
2. Audi A8(2022)
3. Lexus LS (2022)
4. BMW 7 SERIES (2022)
5. Volvo s90 (2022)
6. Volkswagen Atlas (2022)
7...
Huko Zanzibar mambo ndiyo kama hivi:
Ya nini kufanya uchaguzi bila katiba mpya? Si heri kuwaacha CCM kama ndivyo waendelee tu kulamba asali kwa raha zao?
“Insanity is doing the same thing over and over and expecting different results.”
Asema Einstein.
NB: Tume Huru bila Katiba Mpya ni...
Habari zenu wadau.
Habari njema kwenu nyote wana teknolojia, Karibu ozone ujiptie SSD, RAM na Vioo vya laptop kwa bei rahisi na nafuu. SSD, RAM na Vioo vyetu ni vipya kabisa kwa maana ya kwamba wewe ndiwe utakuwa mtumiaji wa kwanza. Pia kukuhakikishia ubora wa bidhaa zetu, Kwa SSD tunakupa...
Rais Joe Biden amewaomba Marais wa Afrika ushirikiano wa muda mrefu na unaokita mizizi katika utawala bora huku pamoja na kuzipenyeza biashara za Marekanikuendelea kuingiza mabilioni ya dola kwenye uwekezaji wa teknolojia kwa bara ambalo China imekuwa mdau namba moja kwa sasa.
Akihutubia katika...
Sasa unaweza kujipatia logo kari sana kama hizi kwa bei nzuli kabisa na kwa muda lafiki karibu sana
MLB (Mnyilinga logo bank ) 😁😁
Kwa mahitaji ya logo nichek DM tuongee kwa bei nzuri sana na kwa muda lafiki wa kufanya kazi yako .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.