Hiki ndicho kilicho nyuma ya Kauli Mbiu mpya ya Simba SC isemayo We are Unstoppable

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,738
109,177
Ni kwamba baada ya kuwa na tabia ya Kuhonga Marefa na Wachezaji wa Timu Pinzani na kuwa Bingwa wa Ligi Kuu kwa miaka Minne mfululizo na Yanga SC nao Kuiga Mbinu hiyo waliyopewa na Haji Manara ( aliyekuwa Simba SC) na Wao kuwa Mabingwa Msimu ulioisha ni kwamba Simba SC wameamua kuurudia huo Utamaduni na tayari Bajeti Maalum ya Kazi hiyo Chafu imeshatengwa na ndiyo maana hivi sasa mnaambiwa We are Unstoppable (Hatuzuiliki na Hatushikiki ) na kwamba Msimu huu Ujao vyote vilivyopotea Simba SC vitarudi.

Nami GENTAMYCINE kupitia huu huu Uzi wangu NAWAONYA Simba SC kuwa kama kuna Mtu ambaye nje tu ya Kusajili vizuri Msimu huu ila AMEKASIRIKA na anautaka Ubingwa kwa GHARAMA yoyote ile ni Yusuf Bakhressa na Azam FC yake.

Wakati Simba SC wakitenga Bajeti ya Tsh Bilioni 2 ya Kazi Chafu ( Kuhonga Marefa na Timu hasa Makocha na Wachezaji ) ili Warejeshe vyote Vilivyopotea Wenzao wa Yanga SC wametenga Tsh Bilioni 3 ila Yusuf wa Azam FC ametenga Tsh Bilioni 8 kwa Kazi hiyo na anasema ni Aibu kwa Azam Kudhamini Ligi kwa 'Mipesa' mingi halafu Ubingwa habebi hivyo sasa Tajiri kaamua kuingia 'Front' Mwenyewe.

Kwa Kufuru ambayo Dogo Yusuf Bakhressa anaenda Kuifanya naomba GENTAMYCINE niwe wa Kwanza Kuwapongeza Azam FC kwa kuwa Mabingwa wapya wa NBC Premier League ( 2022 / 2023 ) na Kuzitaka Yanga SC na Simba SC zipambane tu Kugombea Nafasi za Pili na Tatu ila Ubingwa Wasahau.

Mmenikera sana leo kwa Kutudanganya wana Simba SC juu ya Usajili wa Mshambuliaji ninayemhitaji zaidi Simba SC Manzoki na Kunifanya Nikeshe kama Popo had Alfajiri ( Asubuhi ) hii. Mtanitambua.....!!!!!
 
Mh Makubwa. Lakini kuhusu Manzoki nasikia kuna mzungu katua badala yake.
20220806_070954.jpg
 
Mh Makubwa. Lakini kuhusu Manzoki nasikia kuna mzungu katua badala yake.View attachment 2315797
Kocha Zoran Maki anamtaka huyu Mserbia hapa Pichani ila Sisi wana Simba SC tunaojua Mpira hasa huu wa Tanzania na Afrika tunamtaka Ceaser Lobi Manzoki.

Manzoki asiposajiliwa naacha Kuishabikia Simba SC Milele kwani ndiyo Mshambuliaji Suluhisho katika Safu ya Ushambuliaji ya Simba SC iliyokuwa na matatizo Msimu ulioisha.
 
Ni kwamba baada ya kuwa na tabia ya Kuhonga Marefa na Wachezaji wa Timu Pinzani na kuwa Bingwa wa Ligi Kuu kwa miaka Minne mfululizo na Yanga SC nao Kuiga Mbinu hiyo waliyopewa na Haji Manara ( aliyekuwa Simba SC ) na Wao kuwa Mabingwa Msimu ulioisha ni kwamba Simba SC wameamua kuurudia huo Utamaduni na tayari Bajeti Maalum ya Kazi hiyo Chafu imeshatengwa na ndiyo maana hivi sasa mnaambiwa We are Unstoppable ( Hatuzuiliki na Hatushikiki ) na kwamba Msimu huu Ujao vyote vilivyopotea Simba SC vitarudi.

Nami GENTAMYCINE kupitia huu huu Uzi wangu NAWAONYA Simba SC kuwa kama kuna Mtu ambaye nje tu ya Kusajili vizuri Msimu huu ila AMEKASIRIKA na anautaka Ubingwa kwa GHARAMA yoyote ile ni Yusuf Bakhressa na Azam FC yake.

Wakati Simba SC wakitenga Bajeti ya Tsh Bilioni 2 ya Kazi Chafu ( Kuhonga Marefa na Timu hasa Makocha na Wachezaji ) ili Warejeshe vyote Vilivyopotea Wenzao wa Yanga SC wametenga Tsh Bilioni 3 ila Yusuf wa Azam FC ametenga Tsh Bilioni 8 kwa Kazi hiyo na anasema ni Aibu kwa Azam Kudhamini Ligi kwa 'Mipesa' mingi halafu Ubingwa habebi hivyo sasa Tajiri kaamua kuingia 'Front' Mwenyewe.

Kwa Kufuru ambayo Dogo Yusuf Bakhressa anaenda Kuifanya naomba GENTAMYCINE niwe wa Kwanza Kuwapongeza Azam FC kwa kuwa Mabingwa wapya wa NBC Premier League ( 2022 / 2023 ) na Kuzitaka Yanga SC na Simba SC zipambane tu Kugombea Nafasi za Pili na Tatu ila Ubingwa Wasahau.

Mmenikera sana leo kwa Kutudanganya wana Simba SC juu ya Usajili wa Mshambuliaji ninayemhitaji zaidi Simba SC Manzoki na Kunifanya Nikeshe kama Popo had Alfajiri ( Asubuhi ) hii. Mtanitambua.....!!!!!
Dume Zima kuropoka ropoka kama jike haipendezi Mambo mengine kaa kimyaa
 
Bilioni 8 za kuhonga ili uwe bingwa wa Milioni 600...sema we jamaa kwa kuchangamsha genge ni noma sana.
Idiot mbona Yanga SC Msimu huu wametumia Tsh Bilioni 1.5 ili kupata Ubingwa wa Tsh Milioni 500 na wala hujashangaa?

Hamna mkijuacho kaeni tu Kimya Ok?
 
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana
Ni kwamba baada ya kuwa na tabia ya Kuhonga Marefa na Wachezaji wa Timu Pinzani na kuwa Bingwa wa Ligi Kuu kwa miaka Minne mfululizo na Yanga SC nao Kuiga Mbinu hiyo waliyopewa na Haji Manara ( aliyekuwa Simba SC ) na Wao kuwa Mabingwa Msimu ulioisha ni kwamba Simba SC wameamua kuurudia huo Utamaduni na tayari Bajeti Maalum ya Kazi hiyo Chafu imeshatengwa na ndiyo maana hivi sasa mnaambiwa We are Unstoppable ( Hatuzuiliki na Hatushikiki ) na kwamba Msimu huu Ujao vyote vilivyopotea Simba SC vitarudi.

Nami GENTAMYCINE kupitia huu huu Uzi wangu NAWAONYA Simba SC kuwa kama kuna Mtu ambaye nje tu ya Kusajili vizuri Msimu huu ila AMEKASIRIKA na anautaka Ubingwa kwa GHARAMA yoyote ile ni Yusuf Bakhressa na Azam FC yake.

Wakati Simba SC wakitenga Bajeti ya Tsh Bilioni 2 ya Kazi Chafu ( Kuhonga Marefa na Timu hasa Makocha na Wachezaji ) ili Warejeshe vyote Vilivyopotea Wenzao wa Yanga SC wametenga Tsh Bilioni 3 ila Yusuf wa Azam FC ametenga Tsh Bilioni 8 kwa Kazi hiyo na anasema ni Aibu kwa Azam Kudhamini Ligi kwa 'Mipesa' mingi halafu Ubingwa habebi hivyo sasa Tajiri kaamua kuingia 'Front' Mwenyewe.

Kwa Kufuru ambayo Dogo Yusuf Bakhressa anaenda Kuifanya naomba GENTAMYCINE niwe wa Kwanza Kuwapongeza Azam FC kwa kuwa Mabingwa wapya wa NBC Premier League ( 2022 / 2023 ) na Kuzitaka Yanga SC na Simba SC zipambane tu Kugombea Nafasi za Pili na Tatu ila Ubingwa Wasahau.

Mmenikera sana leo kwa Kutudanganya wana Simba SC juu ya Usajili wa Mshambuliaji ninayemhitaji zaidi Simba SC Manzoki na Kunifanya Nikeshe kama Popo had Alfajiri ( Asubuhi ) hii. Mtanitambua.....!!!!!
 
Leo mpaka ifike jioni, hali ya hewa itakuwa imechafuka kweli kweli huko Mtaa wa 7.
Na imeshachafuka Mkuu kwani hivi sasa wako katika Kikao Kizito baada ya GENTAMYCINE Kukisanua na Mada zangu Sindano 4 kama so 5 leo.

Tegemea Breaking News baadae au Usiku wa Leo. Mada zangu zote hizo Board Members wa Simba SC na Uongozi wa Simba SC wameshatumiana na wanajiuliza hizi SIRI zote nimezitoa wapi?
 
Back
Top Bottom