Kocha wa Yanga, Prof Nabi asaini mkataba mpya Yanga

mawaridi

Member
Aug 30, 2015
47
123
Mabingwa wa soka wa Tanzania Bara, Dar es Salaam Young Africans (Yanga) usiku huu imetangaza kumsainisha mkataba mpya Kocha wao Nasredeen Nabi

Prof Nabi amesaini mkataba wa miaka miwili utakaomuweka Yanga mpaka mwaka 2024

Nabi kusaini mkataba huo mpya anamaliza uvumi uliokuwa unaenea kuwa kocha huyo anaondoka Yanga na kwenda timu ya Wydad AC ya Morocco
 
Night ya kuamkia Leo baada ya Yanga kutangaza kwa Mbwembwe zote kuwa bado hawajamaliza Basi wananchi wakawa shocked, nikaijiwa night ile na wadau eti Manzoki katua yanga mara Kuna mwanaume alikuwa anakipiga raja Casablanca tumemnunua fedha ya kutosha , kwa msisito ety yanga wanamtangaza saa 00:01 am, nkasema heeh !

Sasa muda wa kutangazwa ulipofika, sikuona chura akirukaruka kunifuata, najiuliza kulikon? Ikabid niingie online, kucheck, ety Nabi kasaini mkataba mpya na kwamba bado yupo yupo, niliangua kicheko kikuu .

Tumeamka naona simwoni Mwananchi yeyote akinisumbuasumbua!

Uto sometimes muwe na akili kidogo, mahaba yanawapa uchizi
 
Unawaelezea wale wasio na akili isipokuwa wawili?
 
Klabu kubwa Afrika mashariki na kati.
IMG-20220805-WA0001.jpg
 
Mabingwa wa soka wa Tanzania Bara, Dar es Salaam Young Africans (Yanga) usiku huu imetangaza kumsainisha mkataba mpya Kocha wao Nasredeen Nabi...
Sasa hivi wanatafuta kingine cha kuongea maana wamepigwa kote kote, walianza na mayele kasajiliwa kaiser chief na wale wahandish wao wa mchongo kina Nuhu adam, micky wakapigwa za uso, wakahamia kwa Aziz ki kuwa awezi kusajiliwa yanga wakachpwa KO, wakaona mambo yamebuma wakahamia kwa Nabi napo wamegonga mwamba, Sasa sijui wanaandaa script gani nyingine
 
Night ya kuamkia Leo baada ya Yanga kutangaza kwa Mbwembwe zote kuwa bado hawajamaliza Basi wananchi wakawa shocked, nikaijiwa night ile na wadau eti Manzoki katua yanga mara Kuna mwanaume alikuwa anakipiga raja Casablanca tumemnunua fedha ya kutosha , kwa msisito ety yanga wanamtangaza saa 00:01 am, nkasema heeh !

Sasa muda wa kutangazwa ulipofika, sikuona chura akirukaruka kunifuata, najiuliza kulikon? Ikabid niingie online, kucheck, ety Nabi kasaini mkataba mpya na kwamba bado yupo yupo, niliangua kicheko kikuu .

Tumeamka naona simwoni Mwananchi yeyote akinisumbuasumbua!

Uto sometimes muwe na akili kidogo, mahaba yanawapa uchizi
Hujalala kwa kihoro, Kuna mdogo wangu naye ni kolo mwenzio, hakulala sababu ya kihoro.
 
Night ya kuamkia Leo baada ya Yanga kutangaza kwa Mbwembwe zote kuwa bado hawajamaliza Basi wananchi wakawa shocked, nikaijiwa night ile na wadau eti Manzoki katua yanga mara Kuna mwanaume alikuwa anakipiga raja Casablanca tumemnunua fedha ya kutosha , kwa msisito ety yanga wanamtangaza saa 00:01 am, nkasema heeh !

Sasa muda wa kutangazwa ulipofika, sikuona chura akirukaruka kunifuata, najiuliza kulikon? Ikabid niingie online, kucheck, ety Nabi kasaini mkataba mpya na kwamba bado yupo yupo, niliangua kicheko kikuu .

Tumeamka naona simwoni Mwananchi yeyote akinisumbuasumbua!

Uto sometimes muwe na akili kidogo, mahaba yanawapa uchizi
Mwaka huu mtavaa vyupi kichwani mlisema hatuna hela za kumlipa sasa hivi mmegeuza wimbo anyway August 13 tuna anzia tulipo ishia
 
Night ya kuamkia Leo baada ya Yanga kutangaza kwa Mbwembwe zote kuwa bado hawajamaliza Basi wananchi wakawa shocked...
Wenye akili wamuuzia hisa 49% kwa 20bil huku mdhamini akitoa 26.1 bil kwa miaka tano.

Hii issues ni swala la muda ila kikinuka ndio tutajua mbichi na mbivu,manake kwa duniani hii imetokea Simba pekee yake.
 
Night ya kuamkia Leo baada ya Yanga kutangaza kwa Mbwembwe zote kuwa bado hawajamaliza Basi wananchi wakawa shocked, nikaijiwa night ile na wadau eti Manzoki katua yanga mara Kuna mwanaume alikuwa anakipiga raja Casablanca tumemnunua fedha ya kutosha , kwa msisito ety yanga wanamtangaza saa 00:01 am, nkasema heeh !

Sasa muda wa kutangazwa ulipofika, sikuona chura akirukaruka kunifuata, najiuliza kulikon? Ikabid niingie online, kucheck, ety Nabi kasaini mkataba mpya na kwamba bado yupo yupo, niliangua kicheko kikuu .

Tumeamka naona simwoni Mwananchi yeyote akinisumbuasumbua!

Uto sometimes muwe na akili kidogo, mahaba yanawapa uchizi
.
Screenshot_20220805-083314.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom