mpya

  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Orodha mpya ya vilabu bora ishirini Afrika kwa mujibu wa CAF

    1. Al Ahly 🇪🇬 2. Wydad Casablanca 🇲🇦 3. Petro de Luanda 🇦🇴 4. CR Belouizdad 🇩🇿 5. Raja Casablanca 🇲🇦 6. Mamelodi Sundowns 🇿🇦 7. Pyramids FC 🇪🇬 8. ES Setif 🇹🇳 9. Zamalek SC 🇪🇬 10. JS Saoura 🇩🇿 11. RSB Berkane 🇲🇦 12. Simba SC 🇹🇿 13. Orlando Pirates 🇿🇦 14. Al Hilal 🇸🇩 15. Esperance 🇹🇳 16. TP...
  2. J

    JamiiForums Tanzania RC Kafulila: Rais Samia ni shujaa mpya wa Afrika anayechomoza kwa kasi ya ajabu

    Akiwa katika maadhimisho ya Siku ya Mashujaa, Rc Kafulila ameifananisha kasi ya maendeleo inayopigwa na Rais Samia inafanana kabisa na ile ya mashujaa wetu, " Kumbukumbu ya Mashujaa inatukumbusha historia yetu, inatukumbusha historia ya wazee wetu na mchango wao wa damu kumkabili mkoloni...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Tunduma Frank Mwakajoka akizungumzia mchakato wa katiba mpya

    July 2022 Songwe, Tunduma MBUNGE WA WANANCHI WA TUNDUMA MHE FRANK MWAKAJOKA AKIZUNGUMZIA MCHAKATO WA KATIBA MPYA
  4. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba ameongoza nchi pamoja na mwalimu Nyerere, kwa zaidi ya miaka 30, mbona hakushauri katiba mpya na serikali tatu? Kasubiri amezeeka!

    Baadhi ya watu hujiuliza kwa nini nchi za kiafrika haziendelei, fikiria, Warioba alikuwa mwandani wa Mzee Nyerere, mbona hakuwahi kumshauri katiba mpya, serikali tatu mpaka Nyerere kastaafu?. Ameona yeye ameshazeeka na kuchoka ndio kaona awavurugie wenzake? Mbona hakujiuzuru vyeo vyake ? Au...
  5. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Yanga FC yaingia mkataba mpya na SportsPesa wa miaka 3 wenye thamani ya Tsh Bilioni 12

    Yanga leo inakwenda kuweka historia nyingene, Futilia live hapa Ni mKataba wenye thamani ya tshs bilioni 12 na Milioni 300 kwa miaka 3, Kila Mwaka Yanga itakuwa inapata bilioni nne, pia yanga akichukuwa ligi milioni 150, na ikifika Fainali FA itapata Tshs Milioni 75. --- Mabingwa wa...
  6. Kumar Singh

    JamiiForums Tanzania Kwa budget ya 350k naweza pata simu aina gani mpya?

    Habari zenu wakuu Kwa budget ya 350K naweza pata simu aina gani mpya madukani?. Pia naomba kujuzwa specifications zake kama RAM, storage, battery life, pamoja na anroid version.
  7. emmarki

    JamiiForums Tanzania Aina mpya ya ushirikina

  8. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Tunisia: Katiba Mpya yapitishwa kwa asilimia 96.4

    Rasimu ya Katiba Mpya inayomuongezea madaraka Rais Kais Saied imeungwa mkono kwa asilimia 94.6% ya waliopiga kura huku, Wapinzani ambao walisusa kupiga kura wameshutumu Tume ya Uchaguzi nchini humo kwa udanganyifu na kusema hawatatambua Katiba hiyo - Katiba hiyo inadaiwa kumpa Rais mamlaka...
  9. Dr Count Capone

    JamiiForums Tanzania Wananchi Tunisia washerehekea katiba mpya

    Masaa kadhaa yaliyopita Wananchi wamejitokeza mitaank kusherekea kupatikana kwa katiba mpya nchini Tunisia. Katiba hiyo imepatikana baada ya ile ya zamani kuondolewa na Rais wa sasa Mhe. Kais Saeid hali iliyomfanya kuendesha nchi kwa amri yake kwa muda wa mwaka mmoja. Wakosoaji wanaeleza kuwa...
  10. John120

    JamiiForums Tanzania Wizi mpya waibuka

    Habari za leo wakuu. Naomba niende moja kwa moja kwenye lengo husika. Kuna wizi mkubwa sana unaendelea kasi kubwa sana hasa kwenye mtandao wa Facebook Kuna jamaa wanatumia trick ya kupost laptop computers wakidai wanauza. Hawa jamaa wanauza computer kwa bei ndogo sana ukilinganisha na bidhaa...
  11. Richard

    JamiiForums Tanzania Ushauri- Raisi Samia usiogope tangaza kura ya maoni tupate katiba mpya, kisha uchaguzi wa 2025 ukishinda utaleta mapinduzi ya kiuchumi

    Miezi nane ijayo Raisi Samia atakuwa madarakani kwa mwaka wa pili tangu amrithi hayati John Magufuli na hadi sasa atakuwa amejifunza mengi na sasa unaonyesha kusimama ingawa bado, kuna figisu za hapa na pale. Kuongoza nchi ni kazi ngumu ambayo pia yahitaji maamuzi magumu pale unopoona pahitaji...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mfumo mpya wa malipo serikalini (MUSE) ndio unaoua morali za watumishi na kuchelewesha maendeleo nchini

    Habari! Huu mfumo si mpya sana maana una miaka zaidi ya miaka 2 hivi hapa nchini tangu uanze kutumika. Ni mfumo wa Kidijitali wa pamoja wa malipo ya kiserikali. Mfumo huu ni mwiba kwa wahasibu wezi na watumishi mafisadi. Ulianzishwa na serikali ya Magufuli. Uliweza kufuta matumizi ya check...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutofikia lengo la 70%, WHO waja na mbinu mpya ya kusambaza chanjo za COVID-19

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kuwa linakuja na mpango mbadala wa kutoa chanjo ya kujikinga na COVID-19 kwa kuamua kuweka kipaumbele katika Nchi au maeneo hatarishi ya watu kuambukizwa Ugonjwa huo. Hatua hiyo imefikiwa baada ya kushindwa kufikia lengo la chanjo kusambaa kwa 70% katika...
  14. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Nimefanya mapenzi na boss wangu, sijatosheka kabisa

    Usiku wa kuamkia leo, mfanyakazi mwenzetu alijitwalia jiko, kama katibu wa kamati ya maandalizi, nilihakikisha natoa ushirikiano kwa wajumbe ili tukio lifane. Kweli bwana tukio lilipendeza, watu walikula na kunywa, watu waliburudika wakasahau shida zao kwa muda. Miongoni mwa walio hudhuria ni...
  15. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi msije hamishia hasira za mshahara mpya wa mchongo kuharibu Sensa 2022

    najua wafanyakaz wengi mtakuwa mmepata nafasi ya kisimamia sensa 2022 chonde chonde sensa ni kwa ajili ya kupanga maendeleo yetu wenyewe ni kama jicho la serikali kujua wapi wapeleke nini najua kumetokea kanjanja kubwa kwenye mishahara mipya ila isiwakatishe moyo mkaharibu hili zoezi! kuna...
  16. JF Member

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Serikali imeondoa Posho za Safari Mpya kimyakimya?

    Barua ya Tanroad wakikataa Posho za Safari hii hapa. Mambo yanazidi kugeuka? Yamekuwa Makumu?
  17. Jitume Biashara

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza Mashine aina mbalimbali, tupo Dar es salaam

    MASHINE YA KUPUKUCHUA MAHINDI BEI: 450,000/= Je, huna cha kufanya? Unatafuta kazi hupati? Sisi ni wasambazaji wa mashine tofauti kutoka china, mashine zipo kwa oda malipo ukikabidhiwa mzigo wako kwa wa dar, wamikoani kuna utaratibu wengine MNAKARIBISHWA! KWA Mashine hii unaweza kutumia kwa...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku chache kabla ya kuachia madaraka, Kenyatta amteua Mkuu mpya wa Jeshi la Ardhini

    Peter Mbogo Njiru Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amemteua msaidizi wake wa zamani (aide-de-camp - ADC) Peter Mbogo Njiru kuwa Mkuu wa Majeshi wa Kenya, ikiwa ni wiki chache kabla ya kuondoka madarakani. Njiru amepandishwa cheo kutoka kuwa Meja Jenerali na kuwa Luteni Jenerali nafasi ambayo...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Bila U-Sri Lanka ama kuchapana kamwe Katiba Mpya iliyo bora haitapatikana

    Katiba bora ni ile inayotoa fursa sawa kwa vyama vya siasa na raia wake kwa ujumla na yenye kumuwajibisha kila anayeikiuka. Hapa nchini kuna vuguvugu la kutaka kuandikwa kwa katiba mpya. Lakini katiba itakayoandikwa kwa mazingira na mwenendo tulionao sasa itakuwa siyo bora. Itakuwa siyo bora...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, asema kuna mabadiliko makubwa zaidi yanafuata, ameanza na Jeshi la Polisi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi wateule wafuatao: 1. Inspekta Jenerali CAMILLUS MWONGOSO WAMBURA, kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) 2. Aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (GP) SIMON NYAKORO SIRRO, kuwa Balozi Wa Tanzania Nchini Zimbabwe 3. Balozi...
Back
Top Bottom