mpya

  1. JamiiForums Tanzania iSIM ni teknolojia mpya ambayo itaondoa mfumo wa eSIM

    Teknolojia inazidi kukimbia na kila siku teknolojia mpya inatokea na kubadilika. Wiki hii katika kongamano la Mobile World Congress (MWC) 2023; teknolojia mpya ya iSIM ilitambulishwa rasmi na kuonyesha ni teknolojia ambayo itakwenda kufuata baada ya eSIM. Ni teknolojia mpya ambayo itakwenda...
  2. J

    JamiiForums Tanzania DC aliyetumbuliwa atoa waraka mzito kwa Naibu Waziri mpya wa TAMISEMI

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Basilla Mwanukuzi ameandika waraka mzito kuhusu utendaji dhaifu wa watumishi wa Halmashauri ambao wanahujumu miradi huku wakiendelea kukingiwa kifua na mamlaka husika. Na basillamwanukuzi Hongera sana @dndejembi kwa kuamniniwa na Rais kua Naibu Waziri...
  3. JamiiForums Tanzania Profesa Wajackoyah aishauri CHADEMA kuwa makini na Katiba Mpya

    Aliyekuwa Mgombea Urais nchini Kenya Profesa George Wajackoyah amewatahadharisha Chadema kuwa makini na mchakato wa katiba mpya Ili kuhakikisha wanapata katiba bora. Wajackoyah amesema suala la Katiba mpya linahitaji muda na maandalizi mazuri na Chadema wasifanye makosa kama walivyofanya wao...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanachama Mpya

    Hello wana Jamii Forum, nafurahi kujumuika nanyi kwa pamoja tuendeleze forum yetu ifike mbali zaidi🙏
  5. JamiiForums Tanzania Mafuta yapanda Bei, EWURA imetangaza Bei Mpya za Machi 2023

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 1 Machi 2023. Pamoja na kutambua bei hizo, ni muhimu kuzingatia yafuatayo:- (a Kwa Machi 2023, bei za rejareja za mafuta...
  6. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Nigeria 2023. Bola Tinubu atangazwa mshindi, upinzani wakacha kuhudhuria sherehe za utangazaji matokeo

    Wajuzi wa masuala ya kimataifa. Nigeria wanachagua Rais tarehe 25 mwezi huu wa pili. Nini kinaendelea huko? Nani anauwezekano mkubwa wa kushinda? ======= Siku ya Jumamosi, tarehe 25 Februari 2023, nchi yenye watu wengi zaidi barani Afrika itapiga kura kumchagua rais wao ajaye, Makamu wa Rais...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa ahutubia mkutano wa CHADEMA. Asema sasa imekomaa kuongoza nchi

    Je, amerejea CHADEMA? Tusubiri tuone Aliyewahi kuwa Katibu wa CHADEMA Taifa na baadaye Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dkt. Wilbrod Slaa kwa mara ya kwanza jana Jumapili amehudhuria mkutano wa Chadema Wilaya ya Karatu na kuahidi atashirikiana na chama hicho kudai Katiba mpya. Dkt. Slaa...
  8. E

    JamiiForums Tanzania MPYA! Wamiliki Gari za Uber na Bolt Usipuuzie...!

    Unajua asilimia 90% ya madereva wa Uber na Bolt husababisha hasara na uharibifu wa magari.... •Je Dereva wako msumbufu kwenye kuleta hesabu? •Je hauna muda wa kusimamia service ya Gari yako? •Je unahisi kuchoshwa na kukataa tamaa na bishara ya usafirishaji? •Je unatamani kupata dereva...
  9. JamiiForums Tanzania Mexico: Wananchi waandamana kupinga Mabadiliko ya Tume ya Uchaguzi

    JF SUMMARY Maandamano hayo yanafuatia hatua ya Bunge kupitisha Sheria inayopunguza Bajeti ya Mhimili huo, Kufunga Baadhi ya Ofisi pamoja na kupunguza idadi ya Wafanyakazi wake. Rais Andrés Manuel López Obrador ameishutumu Taasisi ya Taifa ya Uchaguzi (INE) kwa kutokuwa na Uzalendo na...
  10. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba mpya ya kisasa ina vyumba vinne inauzwa Goba, Dar

    Nyumba ipo Goba kwa Robert, * Ni nyumba mpya anakaa mlinzi tuu. *Ina vyumba vinne vikubwa ,kila chumba kina choo chake . *Ina Spanish tiles. *madirisha ni pvc *ina fence *ina vyoo (toilets) 5 . *umeme na maji yapo. *uwanja wake una ukubwa wa sqm 880 Bei yake tshs. 168 million negotiable Dalali...
  11. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Sumbawanga pigo jingine kwa wale Wengine

    Mwenye macho haambiwi tazama: Kwani hata ipo siri? Inatakiwa Katiba Mpya hapo. Ni wazi kuwa hata ule upande mwingine, salamu zitakuwa zimewafikia. Mungu Ibariki CHADEMA.
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri: Ameniacha anataka tuwe dada na kaka

    Habar wakuu, Mimi ni Kijana wa 23 nipo chuo kikuu kimoja hapa Tanzania. Nilikuwa na mahusiano na binti mmoja kiukweli nilimpenda sana, ilikuwa ngumu kwa yeye kunikubali lakini baadaye alikubali, tumekaa kwenye mahusiano kwa miezi sita tu lakini kwangu ilikuwa ni uchungu kwani nilitumia nguvu...
  13. JamiiForums Tanzania Urusi kujaribu silaha mpya za nyuklia muda wowote Marekani akifanya hivyo

    Rais wa Urusi Vladimir Putin amekuwa akilihutubia Bunge la la nchi hiyo. Ametumia mwanzo wa hotuba yake kurudia nadharia ambazo amekuwa akitumia mwaka mzima uliopita: anadai kuwa ni Washington ambayo "ilianzisha vita" na mapema mwaka 2022 iliitaka Ukraine kushambulia Crimea na Sevastopol...
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali kuhusu utaratibu wa kutumia kadi ya kieletroniki Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli

    Tangu jana tarehe 20 Februari 2023 serikali imeweka utartibu mpya kwenye kituo cha mabasi cha Kimataifa cha Magufuli Bus Terminal pale Mbezi; ambao kimantiki ni utaratibu mujarabu unaoleta tija kwa jamii. Utaratibu wa kutumia kadi ya kieletronic ya N-Card kwa wananchi wanaoingia ndani. Mantiki...
  15. JamiiForums Tanzania Familia yaridhia Sony Music Africa waachie album mpya ya AKA

    Timu ya Rapa #AKA kwa kushirikiana na Kampuni za Kusimamia Kazi za Sanaa Sony Music Entertainment na The T Effect zimepata baraka za familia ya #JarrydForbes kuachia albam kama alivyopanga mwenyewe. Mkurugenzi Mtendaji wa #SonyMusicAfrica, Sean Watson amesema “Mioyo yetu imevunjika, tumepoteza...
  16. D

    JamiiForums Tanzania MAPENDEKEZO: Katiba Mpya iruhusu Marais Wastaafu kugombea wakitakiwa na wananchi

    Ni pendekezo tu lakini kuna hoja jadilifi ndani yake. Katiba ya sasa inasema, "Rais ataongoza Kwa miaka mitano tu (5). Lakini kama chama chake kitaamua kumpendekeza Kwa mara ya pili basi ataongoza kwa vipindi viwili yaani miaka 10" na huu ndio imekuwa "utamaduni wa CCM". Hata hivyo, kama...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Kama mkoa wa Morogoro ukigawanywa napendekeza mkoa mpya uitwe Kilombero wenye Wilaya hizi...

    Jamaa yangu kati ya mwaka 2011 au 2012 aliwahi kuniambia kuwa kigogo mmoja (kwa sasa ni mstaafu) alisema laiti hoja ya kugawa nchi kimajimbo ingeletwa na mwanaccm yumkini serikali ingelichukua wazo hilo na kufikiri namna ya utekelezaji wake, lakini kwa sababu wazo lilitoka upinzani wala hawana...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya seeks divine help to end crippling, ongoing drought

    With the prospect of a sixth consecutive failed rainy season in the east and Horn of Africa, Kenya's president is hoping the heavens will finally open with the help of a national day of mass prayer on Tuesday. William Ruto announced the plans for the country's first ever day of prayer on Sunday...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson ndiyo tishio la Katiba Mpya, awe makini!

    Dkt. Tulia Ackson ambaye ni spika wetu ndiyo kwa sasa tishio kubwa sana kwa katiba mpya na mwenendo wa sheria na maendeleo kwa nchi yetu. Huyu spika ambaye aliingizwa baada ya kutetea sana Uraisi wa kifalme kwenye vikao vya katiba kiasi kwamba akapewa ubunge na Rais wetu ambaye alitaka kugeuza...
  20. JamiiForums Tanzania Hizi simu mpya za zamani Ni refurbished au

    Za muda huu wakuu Nimekuwa nikiona simu mpya brand Kama iPhone , mfano iPhone 8 mpya full box mtu kapewa zawadi ..nilijaribu Google naona Ni simu ya muda Sana Je Ni refurbished hizo simu au zilitengenezwa nyingi Sana au vp iweje Hadi leo mtu anapata iPhone 7 mpya Vipi kuhusu ubora wake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…