Mwanachama Mpya

Hapana Ragnar Rothbrok hakutokea kwenye jamii ya Spartans ila kwenye jamii ya Vikings

mke wangu ni kweli ulisemalo ila niliwahi kufika hadi huku Sparta so wakanipa cheo kutokana na ujasiri wangu wa kuexplore dunia. najua hili hulijui kwa sbabu mimi ni msiri sana.
nina vyeo vingi mama
 
mke wangu ni kweli ulisemalo ila niliwahi kufika hadi huku Sparta so wakanipa cheo kutokana na ujasiri wangu wa kuexplore dunia. najua hili hulijui kwa sbabu mimi ni msiri sana.
nina vyeo vingi mama
Lakini Spartans walitoweka miaka 1000 kabla ya Vikings, wewe Ragnar uliwaona wapi wakati hata Roma Empire tu hukuikuta šŸ¤ 
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom