MPYA! Wamiliki Gari za Uber na Bolt Usipuuzie...!

eddie255

Senior Member
Oct 30, 2017
104
53
Unajua asilimia 90% ya madereva wa Uber na Bolt husababisha hasara na uharibifu wa magari....

•Je Dereva wako msumbufu kwenye kuleta hesabu?

•Je hauna muda wa kusimamia service ya Gari yako?

•Je unahisi kuchoshwa na kukataa tamaa na bishara ya usafirishaji?

•Je unatamani kupata dereva mwaminifu wa Chombo Chako?

Kama jibu la maswali hayo ni... NDIYO
Najua jinsi Inavyokatisha tamaa lakin....
Suluhisho limepatikana ambalo....
Chills logistics Company watakupa dereva mwenye vigezo na mwenye uzoefu lakin pia
Watakusaidia kusimamia Gari yako kuanzia Hesabu mpka Service ya Gari yako na kukuhakikishia unapata faida maradufu na kuweza kukuza biashara yako
Pia tunatoa Ushauri wa kujiunga na Uber na Bolt na Vyote kuhusu Biashara hii BURE
Wasiliana nasi 0744773776
CHILLS LOGISTICS COMPANY
ASANTE
 
Madereva mnawatoa sayari gani?

Dereva wa uber, bajaji na bodaboda baba yao mmoja na mama yao mmoja.
Madereva sio wote wasumbufu na kikubwa kinachohitajika kuweza kuifanya biashara hii ni uwezo wa kucontrol drivers wako ukihitaji Ushauri wa kucontrol drivers Wasiliana nasi 0744773776 BURE
 
Alichofanya ni kukazia tuu kwenye ule msemo kuwa unapoitwa kwenye fursa tambua wewe ndo fursa yenyewe
Nafikiri hakuna sehem inahusisha pesa kwenye huu uzi. Nahisi tunaweza comment kitu bora Zaid ya hiki au hata kuuliza swali kwa manufaa yako na wote asante
 
Unajua asilimia 90% ya madereva wa Uber na Bolt husababisha hasara na uharibifu wa magari....

•Je Dereva wako msumbufu kwenye kuleta hesabu?

•Je hauna muda wa kusimamia service ya Gari yako?

•Je unahisi kuchoshwa na kukataa tamaa na bishara ya usafirishaji?

•Je unatamani kupata dereva mwaminifu wa Chombo Chako?

Kama jibu la maswali hayo ni... NDIYO
Najua jinsi Inavyokatisha tamaa lakin....
Suluhisho limepatikana ambalo....
Chills logistics Company watakupa dereva mwenye vigezo na mwenye uzoefu lakin pia
Watakusaidia kusimamia Gari yako kuanzia Hesabu mpka Service ya Gari yako na kukuhakikishia unapata faida maradufu na kuweza kukuza biashara yako
Pia tunatoa Ushauri wa kujiunga na Uber na Bolt na Vyote kuhusu Biashara hii BURE
Wasiliana nasi 0744773776
CHILLS LOGISTICS COMPANY
ASANTE
Hebu acha uchawi huko kwa binadamu wenzako ambao wanatafuta kipato bila ya kuja kukugongea hodi,wewe pia unataka kuwanyonya hao madereva pia ambao wapo chini yako,kwa taarifa tu hakuna binadamu alie nyooka kila mmoja ana mapungufu yake,hakuna kazi isiyokuwa na changamoto,jee niambie dereva wako atachukua hatua gani ikiwa kazi barabarani hakuna,jee atafanyaje ili hesabu ya boss ifike kwa wakati, wenzako wana roga kimya kimya wewe unaroga kwa kujitokeza hivyo hadharani.

Nunua gari za kutosha uwape hao madereva ulio wa ajiri.
 
Wewe unafaidika vp hapo na mchakato mzima
Our company Ina offer huduma nyingi so kwasasa hii huduma mpya kutatua changamoto na mchakato ni mwepesi utaoweka appointment ya kuonana ofisini utatupa vigezo vya dereva unaemtaka tutakupa files za madereva utachugua unaemtaka kulingana na vigezo vyako tutaanza kazi Bila kusahau tutakusaidia kusimamia Gari yako
 
Madereva sio wote wasumbufu na kikubwa kinachohitajika kuweza kuifanya biashara hii ni uwezo wa kucontrol drivers wako ukihitaji Ushauri wa kucontrol drivers Wasiliana nasi 0744773776 BURE
Kama mkifanikiwa kupata dawa ya madereva wabovu mtapiga sana hela. Watu wengi wameacha hii biashara ya usafiri sababu ya madereva wajinga wajinga. Nawatakia mafanikio
 
Hebu acha uchawi huko kwa binadamu wenzako ambao wanatafuta kipato bila ya kuja kukugongea hodi,wewe pia unataka kuwanyonya hao madereva pia ambao wapo chini yako,kwa taarifa tu hakuna binadamu alie nyooka kila mmoja ana mapungufu yake,hakuna kazi isiyokuwa na changamoto,jee niambie dereva wako atachukua hatua gani ikiwa kazi barabarani hakuna,jee atafanyaje ili hesabu ya boss ifike kwa wakati, wenzako wana roga kimya kimya wewe unaroga kwa kujitokeza hivyo hadharani.

Nunua gari za kutosha uwape hao madereva ulio wa ajiri.
Sioni sababu ya wewe kututukana sisi kwasababu sisi pia tunapambania watu ambao wanashida na kazi sio kwa ubaya pia kama itakupendeza unaweza kuhudhuria training zetu tuweze kujikwamua kwa pamoja hakuna sababu ya kurushiana maneno asante
 
Kama mkifanikiwa kupata dawa ya madereva wabovu mtapiga sana hela. Watu wengi wameacha hii biashara ya usafiri sababu ya madereva wajinga wajinga. Nawatakia mafanikio
Asante sana karibu pia ofisini kwa Ushauri wowote wa biashara ya usafirishaji 0744773776
 
Mbona mnaleta uchawi kwa wenzenu mnataka kuwanyima ugali wao!
Hapana hatuleti uchawi ila sidhani kama kuna kipengele kimoja kilicho tajwa ila vipo vingi so hata wewe dereva ambae upo unafanya kazi unaweza kupatiwa msaada wa elimu ya kujiwekeza na kujikwamua halka dhalika tukijaaliwa tutaanza kutoa mikopo kwa madereva wote tuishi kwa upendo asante
 
Hebu acha uchawi huko kwa binadamu wenzako ambao wanatafuta kipato bila ya kuja kukugongea hodi,wewe pia unataka kuwanyonya hao madereva pia ambao wapo chini yako,kwa taarifa tu hakuna binadamu alie nyooka kila mmoja ana mapungufu yake,hakuna kazi isiyokuwa na changamoto,jee niambie dereva wako atachukua hatua gani ikiwa kazi barabarani hakuna,jee atafanyaje ili hesabu ya boss ifike kwa wakati, wenzako wana roga kimya kimya wewe unaroga kwa kujitokeza hivyo hadharani.

Nunua gari za kutosha uwape hao madereva ulio wa ajiri.
Kitu cha kuongezea madereva hawaja ajiriwa hata wewe unaweza Kuja kujiunga nasi na tukakutftia nafasi ya kazi sio Uber na Bolt ila kuweza kuwaendeleza madereva tunasimama kama chombo cha kusimamia registered drivers ili kutoa hofu kwa wamiliki na kuongeza wawekezaji kwenye hii biashara maana wawekezaji wanaikacha hii biashara Asante.
 
Unajua asilimia 90% ya madereva wa Uber na Bolt husababisha hasara na uharibifu wa magari....

•Je Dereva wako msumbufu kwenye kuleta hesabu?

•Je hauna muda wa kusimamia service ya Gari yako?

•Je unahisi kuchoshwa na kukataa tamaa na bishara ya usafirishaji?

•Je unatamani kupata dereva mwaminifu wa Chombo Chako?

Kama jibu la maswali hayo ni... NDIYO
Najua jinsi Inavyokatisha tamaa lakin....
Suluhisho limepatikana ambalo....
Chills logistics Company watakupa dereva mwenye vigezo na mwenye uzoefu lakin pia
Watakusaidia kusimamia Gari yako kuanzia Hesabu mpka Service ya Gari yako na kukuhakikishia unapata faida maradufu na kuweza kukuza biashara yako
Pia tunatoa Ushauri wa kujiunga na Uber na Bolt na Vyote kuhusu Biashara hii BURE
Wasiliana nasi 0744773776
CHILLS LOGISTICS COMPANY
ASANTE

Upuuzi
 
Madereva mnawatoa sayari gani?

Dereva wa uber, bajaji na bodaboda baba yao mmoja na mama yao mmoja.
Hasa hasa ile ya kumpa sijui mtoto wa ba mdogo, ba mkubwa aisee biashara na ndugu asiye na nidhamu na kuheshimu biashara yangu hapana!!
 
Dereva ambae unatafuta kazi pia usisite kutuma maombi ya kujisajili whatsapp 0744773776
 
Back
Top Bottom