Mexico: Wananchi waandamana kupinga Mabadiliko ya Tume ya Uchaguzi

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,323
7,963
_128760351_mexico_protest_getty.jpg
JF SUMMARY

Maandamano hayo yanafuatia hatua ya Bunge kupitisha Sheria inayopunguza Bajeti ya Mhimili huo, Kufunga Baadhi ya Ofisi pamoja na kupunguza idadi ya Wafanyakazi wake.

Rais Andrés Manuel López Obrador ameishutumu Taasisi ya Taifa ya Uchaguzi (INE) kwa kutokuwa na Uzalendo na Kutowajibika kwenye katika masuala ya Uangalizi wa Chaguzi.

Wapinzani wameelezea uamuzi wa Bunge kama shambulio dhidi ya Demokrasia yenyewe huku wakiishinikiza Mahakama ya Juu kuubatilisha kwa kuwa ni kinyume cha Katiba.

=============

Huge rallies have been held in several Mexican cities against what protesters say are government attempts to undermine the electoral authorities. The biggest was in Mexico City, where organisers say 500,000 people marched on the city's main plaza. The local government put the number at 90,000.

Lawmakers last week voted to slash the budget of the National Electoral Institute (INE) and cut its staffing. President Andrés Manuel López Obrador accuses the INE of being partisan.

But opponents describe the recent vote as an attack on democracy itself, pressing the Supreme Court to overturn them as unconstitutional.

On Sunday, massive crowds gathered in Mexico City's historic Zocalo Square. The demonstrators spilled out into adjoining streets in the city centre. "We're fighting to defend our democracy," protester Veronica Echevarria was quoted as saying by Reuters. She was wearing a cap emblazoned with the words "Hands off the INE". Many demonstrators carried cards with a similar slogan.

Smaller peaceful demonstrations were staged in several other cities.

Mexico's Senate approved the reforms on Wednesday, following a similar vote in the lower chamber of parliament. The reforms will come into force once they are signed by President López Obrador. The BBC's Mexico correspondent, Will Grant, says it is perhaps the most polemic political issue in Mexico at present.

Mr López Obrador, who was elected in July 2018 after two previous failed attempts, has long been critical of the INE, whose staff oversee elections. Last month, he accusing the independent body of cheating, and said its staff turned a blind eye to "the stuffing of ballot boxes, falsification of [election] records and vote buying".

In his first attempt at becoming president, in 2006, he lost to his conservative rival Felipe Calderón by less than one percentage point. For months, Mr López Obrador refused to recognise the result, which he denounced as fraudulent.

He also challenged the result of the 2012 election, when he lost to Enrique Peña Nieto.

Since his win in 2018, Mr López Obrador has been pushing for a reform of the INE, which he says will save taxpayers $150m (£125m) a year by drastically reducing the agency's staff.

BBC
 
Mustakabali wowote mpya katika nchi ni mwendelezo ule ule wa kudai katiba mpya.

Safari ya kudai mustakabali mpya haina mwisho kwani ni kawaida kwa wabinafsi walio madarakani kujaribu kuwakandamiza wengine.

Kupata mustakabali wa kukubalika hakuwezi kuwa lelemama.

Screenshot_20230227-063131.jpg


Pichani ni Mexico huko, nyomi limemwagika mtaani.

Mexico protests: Huge crowds rally against electoral reform

Screenshot_20230227-062737.jpg


Kenya, Ruto tayari yuko kwenye notice na keshaanza kulia lia.

Ruto seeks Western sanctions against Raila over mass action

Nyomi litoke kwenye maonyesho liingie kwenye kudai katiba mpya.

Katiba mpya ipo. Katiba mpya inanukia.
 
Samia tangu aseme ataanzisha mchakato wake mpaka leo kimya, kelele zipigwe ili asikie popote alipo.
 
Samia tangu aseme ataanzisha mchakato wake mpaka leo kimya, kelele zipigwe ili asikie popote alipo.

Ni kawaida kwa wabinafsi walio madarakani kuona starehe kuwakandamiza wengine. Bila kugutushwa kikamilifu huwa wanaona ndiyo haki yao.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom