Hizi simu mpya za zamani Ni refurbished au

Sambinyakwe kitololo

JF-Expert Member
Nov 15, 2022
2,420
2,880
Za muda huu wakuu

Nimekuwa nikiona simu mpya brand Kama iPhone , mfano iPhone 8 mpya full box mtu kapewa zawadi ..nilijaribu Google naona Ni simu ya muda Sana

Je Ni refurbished hizo simu au zilitengenezwa nyingi Sana au vp iweje Hadi leo mtu anapata iPhone 7 mpya

Vipi kuhusu ubora wake battery na simu kwa ujumla kwa kuwa battery kukaa idle for 2yrs haijatumika hio tayari haiwezi tunza chaji Tena
 
Refub zina gred ila refub nyingi zinazo kuja bongo ni zile gredi zilizotengezwa sana au kurudiwa.
Tulinunua simu inaonekana mpya ila ndani kuna nyanya zimechomelewa utazani wanabadilisha gridi ya taifa.
 
Bongo ukiwa serious sana utaugua vidonda vya tumbo na pressure tu.
 
Mimi ni mpenzi wa samsung hasa s series tangu ujio wa s3 hadi leo kila toleo la s lazima nilichukue.mfano siku kadhaa nilikuwa natumia s20+ lakini ikawa na matatizo camera mbovu na chaji haikai.nimeamua kuiuza tangu juzi nimenunua s10 5g naiona ni simu bora sana kioo kikubwa.simu zote nanunua used
 
Back
Top Bottom