PostGE2025 Jaji Chande: Katiba Mpya inahitaji utulivu, tusiandike Katiba ya hasira, iundwe kamati kusikiliza maoni ya wananchi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,354
Reaction score
18,628
Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema ni maoni ya Tume kwamba ni muhimu Katiba Mpya ipatikane ifikapo mwaka 2028 ili iweze kutumika katika uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa mwaka 2029 pamoja na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2030.

"Maoni ya Tume kwamba ni muhimu Katiba Mpya ipatikane ifikapo 2028 ili itumike katika uchaguzi ujao wa serikali za mitaa mwaka 2029 na uchaguzi mkuu mwaka 2030. Ili kufikia lengo la kupata katiba hiyo kabla ya 2029, serikali tunapendekeza iunde kamati ya wataalamu wa katiba ambayo itakuwa na jukumu la kupitia katiba iliyopo, rasimu ya katiba ya tume ya mabadiliko ya katiba, katiba pendekezo ya mwaka 2014, ripoti ya tume na ripoti za tume mbalimbali na kamati na vikosi kazi mbalimbali.

Baada ya kufanya mapitio hayo ya nyaraka ambayo itafanywa na hii kamati ya uandaaji wa katiba, kamati ya wataalamu ipate maoni na michango ya wananchi. Tumebaini kuanzia 2014 mpaka hii leo, kuna Watanzania zaidi ya 16,000,000, milioni 16 hawakushiriki katika mchakato wa mwaka 2014 kwa sababu walikuwa chini ya miaka 18. Kwa hiyo ndio umuhimu wa hii kamati ya wataalamu kupata wadau, lakini kupata wadau au vijana kwenye kuchangia kwenye katiba na kuandaa rasimu ya katiba itakayopigiwa kura na wananchi referenda."

"Kabla 2029, serikali tunaiipendekeza iunde kamati ya wataalamu wa katiba ambayo itakuwa na jukumu la kupitia katiba iliyopo, rasimu ya katiba ya tume ya mabadiliko ya katiba, katiba inayopendekezwa ya mwaka 2014, ripoti ya tume mbalimbali na kamati na vikosi kazi mbalimbali.

Baada ya kufanya mapitio hayo ya nyaraka ambayo yatafanywa na hiyo kamati ya waandaji wa katiba, kamati ya wataalamu ipate maoni na michango ya wananchi. Tumebaini kuanzia 2014 mpaka hii leo kuna watanzania zaidi ya milioni kumi na sita hawakushiriki katika mchakato wa mwaka 2014 kwa sababu walikuwa chini ya miaka 18. Kwa hiyo, ndiyo umuhimu wa hii kamati ya wataalamu kupata wadau, lakini kupata wadau hao vijana kwenye kuchangia kwenye katiba na kuandaa rasimu ya katiba itakayopigiwa kura na wananchi, referundum.

Ushauri mmoja uliotolewa na kiongozi wa dini ni kwamba katiba mpya inahitaji utulivu. Tusindike katiba mpya kwa hasira. Huo ndio ushauri wa kiongozi mkuu." - Jaji Chande
 
Attachments

  • 2026-04-23 13-29-45.mp4
    30.4 MB
"Kabla 2029, serikali tunaiipendekeza iunde kamati ya wataalamu wa katiba ambayo itakuwa na jukumu la kupitia katiba iliyopo, rasimu ya katiba ya tume ya mabadiliko ya katiba, katiba inayopendekezwa ya mwaka 2014, ripoti ya tume mbalimbali na kamati na vikosi kazi mbalimbali.

Baada ya kufanya mapitio hayo ya nyaraka ambayo yatafanywa na hiyo kamati ya waandaji wa katiba, kamati ya wataalamu ipate maoni na michango ya wananchi. Tumebaini kuanzia 2014 mpaka hii leo kuna watanzania zaidi ya milioni kumi na sita hawakushiriki katika mchakato wa mwaka 2014 kwa sababu walikuwa chini ya miaka 18. Kwa hiyo, ndiyo umuhimu wa hii kamati ya wataalamu kupata wadau, lakini kupata wadau hao vijana kwenye kuchangia kwenye katiba na kuandaa rasimu ya katiba itakayopigiwa kura na wananchi, referundum.

Ushauri mmoja uliotolewa na kiongozi wa dini ni kwamba katiba mpya inahitaji utulivu. Tusindike katiba mpya kwa hasira. Huo ndio ushauri wa kiongozi mkuu." - Jaji Warioba alishazikiliza matakwa ya wananchi
 
Anajipigia debe aundiwe tume ingine

Kwani zimeshaundwa tume ngapi kuhusu katiba mpya? Nini kimefanyika?
 
Kwa nini Katiba ipatikane 2028, mwaka mmoja tu kabla ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa?
 
Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema ni maoni ya Tume kwamba ni muhimu Katiba Mpya ipatikane ifikapo mwaka 2028 ili iweze kutumika katika uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa mwaka 2029 pamoja na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2030.

"Maoni ya Tume kwamba ni muhimu Katiba Mpya ipatikane ifikapo 2028 ili itumike katika uchaguzi ujao wa serikali za mitaa mwaka 2029 na uchaguzi mkuu mwaka 2030. Ili kufikia lengo la kupata katiba hiyo kabla ya 2029, serikali tunapendekeza iunde kamati ya wataalamu wa katiba ambayo itakuwa na jukumu la kupitia katiba iliyopo, rasimu ya katiba ya tume ya mabadiliko ya katiba, katiba pendekezo ya mwaka 2014, ripoti ya tume na ripoti za tume mbalimbali na kamati na vikosi kazi mbalimbali.

Baada ya kufanya mapitio hayo ya nyaraka ambayo itafanywa na hii kamati ya uandaaji wa katiba, kamati ya wataalamu ipate maoni na michango ya wananchi. Tumebaini kuanzia 2014 mpaka hii leo, kuna Watanzania zaidi ya 16,000,000, milioni 16 hawakushiriki katika mchakato wa mwaka 2014 kwa sababu walikuwa chini ya miaka 18. Kwa hiyo ndio umuhimu wa hii kamati ya wataalamu kupata wadau, lakini kupata wadau au vijana kwenye kuchangia kwenye katiba na kuandaa rasimu ya katiba itakayopigiwa kura na wananchi
Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema ni maoni ya Tume kwamba ni muhimu Katiba Mpya ipatikane ifikapo mwaka 2028 ili iweze kutumika katika uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa mwaka 2029 pamoja na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2030.

"Maoni ya Tume kwamba ni muhimu Katiba Mpya ipatikane ifikapo 2028 ili itumike katika uchaguzi ujao wa serikali za mitaa mwaka 2029 na uchaguzi mkuu mwaka 2030. Ili kufikia lengo la kupata katiba hiyo kabla ya 2029, serikali tunapendekeza iunde kamati ya wataalamu wa katiba ambayo itakuwa na jukumu la kupitia katiba iliyopo, rasimu ya katiba ya tume ya mabadiliko ya katiba, katiba pendekezo ya mwaka 2014, ripoti ya tume na ripoti za tume mbalimbali na kamati na vikosi kazi mbalimbali.

Baada ya kufanya mapitio hayo ya nyaraka ambayo itafanywa na hii kamati ya uandaaji wa katiba, kamati ya wataalamu ipate maoni na michango ya wananchi. Tumebaini kuanzia 2014 mpaka hii leo, kuna Watanzania zaidi ya 16,000,000, milioni 16 hawakushiriki katika mchakato wa mwaka 2014 kwa sababu walikuwa chini ya miaka 18. Kwa hiyo ndio umuhimu wa hii kamati ya wataalamu kupata wadau, lakini kupata wadau au vijana kwenye kuchangia kwenye katiba na kuandaa rasimu ya katiba itakayopigiwa kura na wananchi referenda."

Waufukweni, asante kwa kuleta hii hapa. Umeigusa hoja ya thread hii moja kwa moja, na kwa kweli umeimarisha zaidi kuliko unavyoweza kufikiri.
Angalia mapendekezo ya Tume kwa makini. Kamati ya Wataalamu inatakiwa kwanza ipitie nyaraka zilizopo, kisha ipate maoni na michango ya wananchi, na hatimaye iandae rasimu itakayopigiwa kura ya maoni. Maana yake ni moja: kutakuwa na meza, na juu ya meza kutakuwa na maandiko. Swali langu ni hili, maandiko ya nani?
Kama tutasubiri hadi Kamati iundwe ndipo tuanze kufikiri, tutafika mezani mikono mitupu na tutajadili tu yale waliyoyaandika wengine. Rasimu iliyoko katibampya.com ni jaribio la kuhakikisha kuna maandiko ya mwananchi tayari yamekaa mezani kabla siku hiyo haijafika.
Kuna jambo lingine ndani ya wasilisho lile lenye uzito mkubwa. Tume imebaini Watanzania zaidi ya milioni 16 hawakushiriki mchakato wa 2014 kwa mantiki walikuwa chini ya umri wa miaka 18. Hilo ni kundi kubwa linaloingia kwenye mjadala huu mara ya kwanza. Kundi hilo linahitaji kitu halisi cha kusoma na kupinga au kuunga mkono, si dhana tu. Rasimu kamili yenye Sura 14 na Ibara 321 inatoa hicho.
Na kuhusu muda, 2028 si mbali. Kazi ya kufikiri haianzi siku Kamati inapoteuliwa; huanza sasa, na majukwaa kama hili ndipo huanzia.
Nakukaribisha uisome kisha uje unipinge palipo dhaifu: www.katibampya.com
 
Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema ni maoni ya Tume kwamba ni muhimu Katiba Mpya ipatikane ifikapo mwaka 2028 ili iweze kutumika katika uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa mwaka 2029 pamoja na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2030.

"Maoni ya Tume kwamba ni muhimu Katiba Mpya ipatikane ifikapo 2028 ili itumike katika uchaguzi ujao wa serikali za mitaa mwaka 2029 na uchaguzi mkuu mwaka 2030. Ili kufikia lengo la kupata katiba hiyo kabla ya 2029, serikali tunapendekeza iunde kamati ya wataalamu wa katiba ambayo itakuwa na jukumu la kupitia katiba iliyopo, rasimu ya katiba ya tume ya mabadiliko ya katiba, katiba pendekezo ya mwaka 2014, ripoti ya tume na ripoti za tume mbalimbali na kamati na vikosi kazi mbalimbali.

Baada ya kufanya mapitio hayo ya nyaraka ambayo itafanywa na hii kamati ya uandaaji wa katiba, kamati ya wataalamu ipate maoni na michango ya wananchi. Tumebaini kuanzia 2014 mpaka hii leo, kuna Watanzania zaidi ya 16,000,000, milioni 16 hawakushiriki katika mchakato wa mwaka 2014 kwa sababu walikuwa chini ya miaka 18. Kwa hiyo ndio umuhimu wa hii kamati ya wataalamu kupata wadau, lakini kupata wadau au vijana kwenye kuchangia kwenye katiba na kuandaa rasimu ya katiba itakayopigiwa kura na wananchi referenda."

Kwani Time ya Warioba haikumaliza
 
Back
Top Bottom