mpya

  1. JamiiForums Tanzania Kuelekea siku 30 za kuishinikiza Serikali kuachana na mkataba wa DPW na kudai katiba Mpya, tunaomba assurance kutoka kwa mawakili

    Kiukweli binafsi naamini ndiyo siku ambayo itakuwa ya kihistoria katika Taifa langu la Tanganyika. Naamini pia mabadiliko makubwa yatatokea. Sasa Kuna inshu lazima kuwaonea hofu wananchi ambao watajitolea kupambania haki zetu kutoka kwa mafisadi wa nchi hii. Kama tunavyoelewa asilimia kubwa ya...
  2. JamiiForums Tanzania Msanii Lina Sanga asikilize kwa umakini wimbo mpya wa Lady Jaydee "Mambo Matano" kuna kitu atahisi na kuchefukwa

    Niende kwenye mada Lady Jaydee katoa wimbo mpya unaitwa "Mambo Matano". Kwa anaemjua Lina Sanga na nyimbo zake, kama anaujua mziki hasa melodies, na mengineyo nadhani itakuwa topic of the town. Kuna wimbo fulani wa Lina Sanga, Lady Jaydee kapita na desa la melody by 90+% kama sio💯% Ukiujua...
  3. B

    JamiiForums Tanzania TAZARA yapigiwa chapuo ifanyiwe ukarabati mkubwa na uendeshaji mpya

    Beijing, China RAIS HICHILEMA AIPIGIA CHAPUO TAZARA IKARABATIWE HARAKA https://m.youtube.com/watch?v=T2pHN2eVLJg Shirika la Reli la Tanzania na Zambia TAZARA lawa agenda kubwa mezani wakati wa ziara ya rais wa Zambia. Ambapo mbali ya kusaini mikataba kadhaa ya makubaliano ya MoU, suala la...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nilitegemea uhitaji wa katiba mpya uwe kipaumbele cha kila mwana-CCM ili madhila ya Awamu ya Tano yasijirudie

    Watu mlio karibu na rais Samia msijisahau sana na wala msione mmepata na hivyo kuamua kupuuza uundwaji wa katiba mpya. Tunataka katiba itakayompunguzia rais mamlaka na itakayoweka mipaka ya uongozi wake. Lkn cha muhimu zaidi rais awajibishwe pale atakapobainika kakosea. Katiba hii ni mbovu...
  5. L

    JamiiForums Tanzania “Vita mpya ya Baridi” ya Marekani dhidi ya China itakuwa na madhara kwa Marekani yenyewe

    Uhusiano wa pande mbili kati ya China na Marekani ni moja ya mahusiano muhimu sana duniani, na mwelekeo wa uhusiano huu unafuatiliwa sana na jamii ya kimataifa. Lakini pamoja na hayo, Marekani inaendelea na juhudi zake za kuikandamiza zaidi China katika maeneo mbalimbali kama vile siasa na...
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: UKAWA Mpya kuzaliwa, hakutakuwa na ACT

    Chama cha demokrasia na Maendeleo CHADEMA wanakusudia kuanzisha umoja utakao unganisha vyama vya siasa vya upinzani na jumuiya mbali mbali za kidini kudai katiba mpya sasa. ACT wametengwa kwa kuwa msimamo wao na ushiriki wao kwenye Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar unawafunga mikono. Baadhi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Cheyo: Inaonekana Serikali haina nia ya dhati kwenye suala la Katiba Mpya

    Akiongea kwenye kikao cha wadau wa masuala ya siasa nchini. Amesema kuwa hoja za serikali za kutaka watanzania wapewe elimu kwanza ndo tuanze kujadili habari za katiba ni chenga ya kutotaka wananchi wapate katiba mpya 1. Kahoji ni elimu gani ya katiba inayohitajika ambayo haikutolewa na Jaji...
  8. JamiiForums Tanzania Katiba mpya tunaitaka, lakini sio kuliko maji, chakula na afya

    NI kweli Katiba hii ya mwaka 1977 ni nzuri sana kwa kiongozi na chama kilichoko madarakani. Hata CCM ikianguka leo chini ya katiba hii na sheria hizi za uchaguzi na jeshi la polisi haitarudi tena madarakani milele. Hata CHADEMA kama ikiingia Ikulu leo chini ya Katiba hii na sheria hizi za...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Makulumbembe gani humtisha kila rais anayetaka kuandika katiba mpya na kumfanya aonekane hayawani?

    Hili la Samia kurukaruka kama maharage ya Mbeya kuhusu kuandika katiba mpya, kinyume kabisa na dhamira yake ya awali, siyo jambo geni kutokea. Likitokea pia chini ya utawala wa Kikwete mwaka 2014. Rais Kikwete alikuwa na nia ya dhati kabisa ya kuwaachia watanzania katiba mpya. Akaanzisha...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Kwa mantiki hiyo Rais Samia anasema, Kikwete aliwaburuza wananchi alipoanzisha mchakato wa Katiba mpya bila kuwapa elimu ya Katiba

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema “Kuhusu Katiba Mpya tunaanza na Elimu Watanzania waijue, unaanzaje kumwambia Mtu akupe maoni yake kitu hakijui. Viongozi wa Kisiasa tunadhani tuna Haki ya kuburuza Watu, tunachokisema sisi Watu wote wafuate, tunageuza Watu makasuku”. Kamati ya Warioba ilizunguka...
  11. JamiiForums Tanzania Mimi sio muumini wa katiba mpya bali utekelezaji

    Mimi sikubaliani na wanasiasa wanaotaka kutuyumbisha kwa kutaka kutengeneza katiba mpya huu ni usanii, upuuzi na ufujaji wa mapato. Tujikite kwenye katiba iliyopo tuboreshe maisha ya Watanzania. Watanzania wanataka maji,elimu,afya na fedha mfukoni ...baasi haya mingine ni indoctrination ya...
  12. JamiiForums Tanzania Katiba mpya ni tishio kwa CCM, hawatakubali ipatikane kwa hiari labda walazimishwe

    Huo ndio ukweli. survival ya Ccm inategemea katiba mbovu waliojifungia wenyewe wakaiandika. Leo wamekiri wenyewe kupitia mwenyekiti wao kuwa watu hatuijui katika ya sasa (japo twaijua). CCM hawana uhakika katiba mpya itawasaidia vipi kuendelea kubaki madarakani, wana hofu, wamejawa na baridi ya...
  13. JamiiForums Tanzania Majizzo atambulisha Studio mpya za EFM, ina Microphone 11 On air

  14. JamiiForums Tanzania Zitto mpigania haki ndie huyu anayefurahia kuuzwa bandari za Tanganyika,kukaa kimya juu ya Katiba Mpya na wanayofanyiwa Wamasai Ngorongoro!?

    Mungu huwa anatufunulia wale ambao tusingeweza kuwatambua kwa macho na fahamu zetu,Mungu uwa analeta dhoruba kwenye kujiokoa watu wanavua ngozi zao za kondoo na kuwa mbwa mwitu. Huwezi amini kwamba huyu ni Zitto aliyetufundisha siasa za uzalendo na kipigamia haki.leo hii amekuwa kimya katika...
  15. JamiiForums Tanzania Mfahamu David Kihenzile, Naibu Waziri Mpya wa Uchukuzi

    Na; Thadei Ole Mushi. Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri na Manaibu Waziri yaliyofanywa siku sita zilizopita yanatoa somo kwenye mambo mawili makubwa. 1. Rais Samia Suluhu Hassan anaendelea kuachana na Mawaziri na Manaibu Mawaziri ambao aliwarithi toka kwenye awamu zilizopita. Maingizo ya watu...
  16. JamiiForums Tanzania Serengeti: Tundu Lissu akumbuka shambulio dhidi yake, amtaka Rais mpya na IGP mpya kuwakamata Wahusika

    Akizungumza mbele ya maelfu ya wananchi kwenye mkutano Mkubwa wa hadhara , Makamu Mwenyekiti wa Chadema , amesema kwamba , Tangu aliposhambuliwa kwa Risasi hakuna yeyote aliyekamatwa wala hakuna uchunguzi uliofanyika hadi sasa . Amedai kwamba hapo awali , alidhani haukufanyika uchunguzi kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Vwawa: Sugu aendelea kuwasha moto wa Katiba mpya Majukwaani

    Tofauti ya Chadema na vyama vingine vya kisiasa ni hii , Yaani huku Chadema mtu yeyote mwanachama akipewa kibali na chama chake anaweza kuitisha Mkutano wa hadhara na akajaza Umati. Kwa mfano, Mimi Erythrocyte naweza kutangaza usiku huu kwamba nitafanya Mkutano wa hadhara Kyela kesho , labda...
  18. JamiiForums Tanzania Je, kama hakuna Katiba Mpya wala Tume Huru kuna haja ya uchaguzi?

    Habari za humu ndani naamini ninyi ni wazima Mimi nauliza tu Maana kila moja anajua kitu gani kinakwenda kufanywa na ccm. Kwanini isianzishwe mikutano ya kudai mchakato wa katiba na tume ya Uchaguzi nchi nzima Maana mda umeisha sana mwakani ni Uchaguzi wa serikali za mitaa na 2025 uchaguzi...
  19. JamiiForums Tanzania Vuguvugu la elimu Katiba Mpya, wazee waweka ngumu

  20. JamiiForums Tanzania EWURA yatangaza kupanda kwa bei ya mafuta leo Septemba 6, 2023

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kupanda kwa bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano September 06, 2023 saa 6:01 usiku ambapo kwa mwezi September 2023, bei za rejareja za mafuta katika Mkoa wa Dar es Salaam petrol...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…