Rais Samia Suluhu Hassan amesema “Kuhusu Katiba Mpya tunaanza na Elimu Watanzania waijue, unaanzaje kumwambia Mtu akupe maoni yake kitu hakijui. Viongozi wa Kisiasa tunadhani tuna Haki ya kuburuza Watu, tunachokisema sisi Watu wote wafuate, tunageuza Watu makasuku”.
Kamati ya Warioba ilizunguka nchi nzima kutoa elimu ya Katiba na baadae kukusanya maoni yao, hiyo haikuwa elimu tosha au kuna elimu nyingine anayoitaka Rais Samia ambayo sisi wananchi, Kikwete na Warioba hatuijui?
Kati ya Kikwete, Warioba na yeye nani anawageuza watu mazuzu.