mpya

  1. JamiiForums Tanzania LATRA kujadili Shinikizo la Wamiliki wa Mabasi linalotaka nauli mpya za Daladala, Mabasi

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhi (LATRA) imekusudia kuitisha mkutano wa wadau wa sekta ya usafiri nchini kupokea maoni kuhusu marejeo ya nauli za mabasi ya mikoani na daladala. Aprili 2022, LATRA ilitangaza kupanda kwa viwango vya nauli kwa daladala ilikuwa kuanzia kilomita 0 hadi 10 ilipanda...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kelvin Kiptum ashika rekodi mpya ya dunia katika marathon huko Chicago (2:00:35). Kipchoge kwisha habari yake!

    Leo Jumapili October 8, tumemuona KELVIN KIPTUM akivunja record ya dunia ya Marathon hapo Chicago nchini Marekani kwa muda wa saa 2 na sekunde 35, akiizidi record ya KIPCHOGE aliyoweka Berlin Marathon (saa 2:01:09). Hivyo bingwa mpya wa marathon ni KELVIN KIPTUM.
  3. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimefika Mwanza nimekutana na stand Mpya ya Nyegezi. Hayati Magufuli CCM ilipoteza Rais!

    Ninarudia kusema CCM kumpoteza Magufuli ili pata hasara ya Karne moja. Nyegezi kulikuwa Bondeni na eneo lisilofaa leo nimekuta kifaa kama airport. Magufuli Ulifanya kazi nzuri tutakukumbuka. Bado ninasikia kuna stand nyingine Huku Mwanza imejengwa na Magufuli Ndio ninaelekea huko kuangalia...
  4. JamiiForums Tanzania Msemaji Mpya wa Serikali Mobhare Matinyi naomba uanze na Mfupa huu Kiufafanuzi

    Je, kwa sasa jina la Bodi ya Mikopo kwa Elimu ya Juu limebadilka kutoka lile tulilolizoea la HESLB ( Higher Education Student Loan Board ) na sasa limebatizwa Jipya la Samia Suluhu Higher Education Student Loan? Haya Poti wangu (mwana Mkoa wa Mara Mwenzangu) Mobhare Matinyi naomba uanze na huu...
  5. JamiiForums Tanzania Tujifunze na Kuanza Utamaduni Huu Mpya wa Ufugaji Samaki

    Ni kawaida sana kuona watu wakifuga kuku, ng'ombe, mbuzi, nguruwe, n.k. Lakini ni nadra sana kuona watu wakifuga samaki licha ya kuwa mazingira yetu yanafaa sana kwa shughuli za ufugaji samaki kutokana na kuwepo kwa maeneo yenye maji ya kutosha na hali nzuri ya hewa. Baadhi ya mataifa kama China...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa aagiza Fedha za Kujikimu za Ajira Mpya zilipwe kabla 30 Oktoba, 2023

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed O. Mchengerwa (Mb) amewaelekeza Wakurugenzi wote wa Mamlaka za Serikali za Mitaa kuhakikisha wanalipa fedha za kujikimu kwa Watumishi wa ajira mpya za Ualimu na Afya walioripoti kwenye vituo vya kazi kuanzia mwezi...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Sababu za ukwamishaji wa katiba mpya wivu wa kikwete kwa Samia upo!

    Nimekuwa nafakari sana ni kwanini Raisi Samia anasita sana kwenye maswala ya katiba na kwa mtanzamo wangu haya ni mambo ambayo yanasitisha mchakato huu 1. Kikwete na wapambe wake wanaogopa mafanikio ya katiba mpya yataonyesha Samia ni bora kuliko Kikwete kitu ambacho anajali sana Kikiwete na...
  8. JamiiForums Tanzania Mobhare Matinyi - Mpiganaji mpya wa Rais Samia kwenye ulingo wa habari na mawasiliano

    Na Kevin Lameck Kama ipo sehemu ambayo Rais Samia Suluhu Hassan amepatia katika teuzi zake za karibuni, bhasi miongoni mwake ni uteuzi wa sasa wa kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Gerson Msigwa. Bwana Mobhare Matinyi, Mkuu wa wilaya ya Temeke ameteuliwa kuwa Msemaji mkuu wa serikali na...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujua Sheria mpya, Far Rabat imetolewa champions Ligue haitashiriki shirikisho

    Nimesikia katika online TV moja kuwa timu ya Far Rabat ikinolewa na nabi kipara former kocha wa yanga , haitashiriki shirikisho kulingana na Sheria mpya , sote tunajua awali ilikuwa ilikuwa ukitolewa hatua hii unaangukia shirikisho kama ilivyokuwa Kwa yanga mwaka Jana. Kwa anayejua atusaidie...
  10. JamiiForums Tanzania Nauza laptop yenye kasi sana: HP Elite

    Imenunuliwa Picha post #2
  11. K

    JamiiForums Tanzania Simu mpya za iphone zagundulika kuwa na changamoto kubwa

    Simu za iPhone 15 & iPhone 15 pro ambazo zimeingizwa sokoni hivi karibuni zimelalamikiwa na baadhi ya watumiaji wake kuwa na msululu wa matatizo Watumiaji wengi wa simu hizo toka kampuni kinara Duniani kwa utengenezaji wa simujanja wameeleza kuwa simu hizo mpya zina changamoto ya kutoa joto...
  12. JamiiForums Tanzania Ali Kiba atuambie anaachia Ngoma Mpya lini! Kiki zilishapitwa na Wakati.

  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia ampa miezi 6 Mkurugenzi mpya wa TANESCO kuondoa kero ya kukatika Umeme

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo September 26,2023 amewaapisha Viongozi mbalimbali Wateule Ikulu jijini Dar es salaam ambapo pamoja na mambo mengine amempa miezi sita ya matazamio Mkurugenzi Mkuu mpya wa TANESCO, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga na kumwagiza kuwa baada ya hiyo miezi...
  14. JamiiForums Tanzania Mawazo binafsi: Kwanini Tanzania tusiahirishe Uchaguzi Mkuu wa 2025 hadi mwaka 2026 ili kupata Katiba mpya?

    Serikali imepanga kutoa elimu ya katiba. Inaonyesha hadi mwaka 2025 katiba Mpya itakuwa haijapatikana kwa sababu elimu itakuwa inaendelea kutolewa. Sasa, kwanini Uchaguzi Mkuu usiahirishwe Ili ufanyike mwaka 2026 tukiwa na katiba Mpya?
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia, wananchi wa Kakonko tunaomba barabara mpya ya Kakonko (Kigoma) kwenda Mambali (Uyui)

    Rais Samia Suluhu Hassan na Makamu Philip Isdory Mpango Nawasalimu sana katika jina la JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA! Baada ya Salaam hizi nachukuwa wasaa huu kuwaombea afya ya siha bora Wewe, Rais wetu kipenzi Samia Suluhu, Waziri Mkuu Majaliwa Majaliwa Kassim na viongozi wote wa nchi hii...
  16. JamiiForums Tanzania Maharage Chande aondolewa TANESCO, apelekwa TTCL. Gerson Msigwa awa Katibu Mkuu Wizara ya Michezo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na utenguzi wa Viongozi mbalimbali kama ifuatavyo: Amemteua Ndugu Said Othman Yakubu kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huu, Ndugu Yakubu alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo. Amemteua...
  17. JamiiForums Tanzania Jay Dee wacha nikwambie ukweli dada angu. Wimbo wako mpya " mambo matano" sio mzuri

    Achana na watu wanao komenti kwa kukuogopa kwenye page yako huko instagram. Ukweli ni kwamba wimbo wako sio mzuri na hauendani na nyakati zilizopo. Nakushauri ufanye tena research yako vizuri. Kisha nenda upya studio uje na wimbo mpya. Ni hayo tu dadake
  18. JamiiForums Tanzania Taarifa mpya ya NHIF kuhusu Toto Afya Kadi

    Ujue ukweli kuhusu Toto Afya Kadi.
  19. JamiiForums Tanzania Mjadala wa kuandika katiba mpya Tanzania katika Jukwaa la Katiba ya Watu, uliojadiliwa na wadau 553

    Mapitio ya Awali: Katiba ni waraka muhimu katika kusimamia utawala na kuelekeza maendeleo ya nchi. Tanzania, kama nchi nyingine, imekutana na mjadala wa kuandika katiba mpya, na hoja mbalimbali zimejitokeza kutoka kwa wadau wa mchakato huo. Taarifa hii inatoa tathmini ya kitaalam juu ya mjadala...
  20. JamiiForums Tanzania Mbunge Bahati Ndingo - Ni Heshima Kubwa Kuchaguliwa Kuwa Mbunge Wenu Mpya

    MBUNGE BAHATI NDINGO - NI HESHIMA KUBWA KUCHAGULIWA NANYI KUWA MBUNGE WENU MPYA Anaandika Mbunge Mpya wa Jimbo la Mbarali, Mhe. Bahati Keneth Ndingo. Wapendwa wenzangu wa Jimbo la Mbarali! Ningependa kuwashukuru kwa dhati, ni heshima kubwa kuchaguliwa nanyi kuwa Mbunge wenu mpya. Ninaipokea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…