mpya

  1. JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Cedric Kaze, Kocha mpya wa Yanga anayerudisha heshima Yanga

    Nimemtazama Kocha Cedric Kaze, nimeitazama tena Yanga ikiwa inacheza kisha nikamtazama tena yeye, nikasafiri mbali sana kupitia makabrasha yake Bwana Kaze. Kaze huyu ana leseni A ya CAF na Leseni A ya Chama cha soka Ujerumani (DFB) ndio leseni ngumu zaidi ya ukocha kupatikana duniani, kifupi...
  2. L

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI fuatilieni Wakurugenzi wa Halmashauri zote kuhusu ajira mpya za Waalimu kuna urasimu mkubwa

    Sote tunafahamu kwamba Katibu Mkuu wa TAMISEMI alitangaza majina ya waalimu wapya mwishoni mwa mwezi Novemba mwaka huu. Akatoa maelekezo kwa waajiriwa wapya kwenda kuripoti kwenye Halmashauri walizopangiwa kuanzia tarehe 1 hadi 14 Desemba. Katibu Mkuu huyu alikwenda mbali zaidi na kuwaelekeza...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Tazama VIDEO mpya ya Rosa Ree -That Gal

    The Goddess Rosa Ree has come through with another BANGER titled #ThatGal The Tanzanian female rapper does not seize to amaze us with her versatility and limitless talent. In this new joint she has fused 3 languages that is English, Swahili and the Jamaican patwaa. The command and authority...
  4. JamiiForums Tanzania Kuelekea sikukuu za xmas na mwaka mpya kwa niliowakwaza

    Mimi Doctor Pancho, Kuelekea mwishoni mwa mwaka na tunakaribia sikukuu hizi. Kwa wale niliowakwaza kwa namna moja ama nyingine, Ama hata kuwatusi maana mikwaruzano kwa binadamu ni kawaida. Hivyo ningependa niwaambie tu hicho kilikuwa kionjo, Mwaka mpya nitakuja moto zaidi ya hivyo nilivyokuwashia.
  5. JamiiForums Tanzania Tafsiri mpya ya kufeli(kushindwa)

    Hivi unajiskiaje unapoambiwa umefeli au umeshindwa? Au pale unapopata habari kwamba mtoto wako, ‘jembe lako unalolitegemea’ amefeli yaani amezungusha “O”?. Ninaanza kuhisi jinsi mapigo yako ya moyo yanavyoanza kwenda mbio bila sababu, bila kusahau kijasho chembamba kilichoanza kuchungulia...
  6. JamiiForums Tanzania Siasa za Umeme: Kwa vile Umeme wa Stigler's utatosha na ziada kuuza nje. Je, TANESCO kusaini PPA mpya 6 toka kwa 6 IPPs, sio ufisadi mpya wa kisasa?

    Wanabodi, Kwa vile hii ni mada technical, yaani ni mada ya kitaalam, naomba kuanza bandiko hili kwa elimu kidogo kwa members wenzangu ambao sio wataalam wa mambo ya power na energy. Watu wanadhani siasa ni kusimama tuu majukwaani na kupiga domo, issues yoyote yenye impact kubwa kwa taifa ni...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Safu mpya BAWACHA mbioni kufahamika

    Chadema ipo mbioni kuziba nafasi za viongozi wa jumhia mbalimbali ikiwemo ya wanawake ambazo zipo wazi baada ya viongozi kuvuliwa uanachama. Mchakato wa kupata watu wa kuziba nafasi hizo unaendelea huku baadhi ya wanavyuo wakielezwa kupewa nafasi kwa lengo lakutengeza viongozi wapya. Timu ya...
  8. JamiiForums Tanzania Hamis Kigwangwala akabidhi ofisi kwa Waziri Mpya

    Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii Mh Hamisi Kigwangalla amekamilisha mchakato wa kukabidhi ofisi kwa Waziri mpya Dkt. Damas Ndumbaro. Mchango wa wadau
  9. JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba: Sisi CUF tutajikita kudai Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya

    SISI CUF TUTAJIKITA KUDAI TUME HURU YA UCHAGUZI NA KATIBA MPYA" PROF. LIPUMBA" Mwenyekiti wa CUF, Prof. Lipumba amesema hayo leo Desemba 9,2020 wakati alipokutana na viongozi mbali mbali wa mkoa wa Dar es Salaam katika Ofisi Kuu ya chama Buguruni. Prof. Lipumba alikutana na wenyekiti wa...
  10. JamiiForums Tanzania Bila Katiba mpya, Upigaji kura hauna maana yeyote

    Ni miaka 27 tokea mfumo wa vyama vingi urudishwe tena Tanzania. Ulikuwepo kablaya Uhuru na mara tuu baada ya Uhuru waTanganyika Dec.9.1961/Zanzibar Dec.10. 1963. Lakin CCM walirudisha neno vyama vingi tuu huku wakiendelea na katiba ile ile y chama kimoja iliyorekebishwa kwenye vipengele vichache...
  11. JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Tegeta wazo hill eneo la uwanja wa panga (ulipo mnada mpya wa Tegeta Nyuki)

    NYUMBA NA ENEO LAKE LAUZWA... TSh25,000,000 Dar es Salaam Nyumba inapatikana TEGETA WAZO ENEO LA UWANJA WA PANGA... Zipo nyumba mbili katika eneo moja... Kubwa ni ya familia vyumba 3 na sebule, Ndogo ni vyumba viwili. Eneo ni takriban 20 kwa 20. Eneo kama linavyoonekana kwenye picha halipo...
  12. JamiiForums Tanzania Kazi ya kwanza ya Wizara mpya ya Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari iwe ni kuruhusu Watanzania kupokea malipo kupitia Paypal

    Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ambayo ni mpya tunatarrajia ifanye mambo makubwa ya kuongeza ajira kwa vijana mitandaoni. Tanzania kumekuwa na tatizo kubwa la ajira. Njia moja ya kuondoa hilo tatizo ni kwa watu kutafuta kazi za kufanya online, yaani mitandaoni. Kazi zipo nyingi...
  13. JamiiForums Tanzania Baraza jipya la Mawaziri: Geofrey Mwambe na Dkt. Philip Mpango turufu mpya za ukuaji wa uchumi katika awamu hii ya mwisho ya Rais John Magufuli

    BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI:MH GEOFREY MWAMBE NA DKT PHILIP MPANGO TURUFU MPYA ZA UKUAJI WA UCHUMI KATIKA AWAMU HII YA MWISHO YA RAIS JOHN MAGUFULI. Leo 13:25hrs 06/12/2020 TIC ndio mzizi uliosimikwa chini kwa Maendeleo ya Taifa la Tanzania,TIC ina wajibu wa kuifanya Tanzania kuwa sehemu bora kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi: Watu wanadhani kuweka kodi kubwa ndio pato kubwa kwa Serikali, kodi kubwa inapunguza wafanyabiashara

    Leo Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ameitisha kikao na wafanyabiashara na kuongelea changamoto zinazoikabili sekta ya biashara Zanzibar na muelekeo wa kuzitatua. Kikao hiko kimehudhuriwa na wafanyabiashara pamoja na mawaziri wa serikali ya Zanzibar Pamoja na mambo mengine, Rais wa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Tathmini yangu fupi kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri

    Baada ya wanachi wa Tanzania kuchagua maendeleo ya kijani nchi nzima, kwa kuwapigia kura za kutosha wagombea wa CCM na kuufutilia mbali upinzani wa kupinga maendeleo ya nchi yetu. Wakati napitia matokea ya sehemu mbalimbali nikapata fikra pevu za kuangalia namna baraza la mawaziri litakavyokuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula kuongoza matembezi ya hiyari kuhamasisha Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi

    ASKOFU KUONGOZA MATEMBEZI YA HIARI YA RAIA KUHAMASISHA UUNDAJI WA TUME HURU YA UCHAGUZI NA UANDIKAJI WA KATIBA MPYA NCHINI TANZANIA! Wapendwa Watanzania! Tunapenda kuwajulisha kuwa Askofu Mwamakula, anakusudia kuongoza Matembezi ya Hiari ya Raia yasiyopungua umbali wa Kilometa 15 katika Mikoa...
  17. JamiiForums Tanzania Peter Kibatala ajitoa kuwatetea Bulaya na Mdee kwenye kesi ya kuvamia Gereza la Segerea inayowakabili

    Taarifa kutoka Mahakama ya Kisutu zinaeleza kwamba Wakili msomi Peter Kibatala aliyekuwa wakili wa utetezi wa viongozi wa CHADEMA walioshitakiwa kwa Tuhuma za kufanya fujo kwenye Gereza la Segerea, amejiondoa kuwatetea baadhi ya washitakiwa kwenye kesi hiyo wakiwemo waliokuwa wanachama wa...
  18. JamiiForums Tanzania Chama Cha Wananchi (CUF) kuzindua kongamano la kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi Desemba 20, 2020

    CUF CHAMA CHA WANANCHI Desemba 20,2020 kitazindua rasmi kongamano la kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Kongamano hilo litafanyika katika ofisi kuu ya chama BUGURUNI . MWANACHI, MWANACHAMA WA CUF WOTE MNAKARIBISHWA.
  19. D

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Ukombozi la kudai Katiba mpya Tanzania

    Uzinduzi wa Kongamano la kuanzisha mchakato wa kudai katiba mpya litafanyika tar 20/12/2020
  20. JamiiForums Tanzania Kuna hii aina mpya ya upigaji chupingi inayong'ara

    Habari wadau Kuna hii aina mpya ya upigaji chupingi inayong'ara ngara inakuwaje.?? Gharama zake zipoje kwa Square meter.?? Mahitaji (materials) zinazohitajika . mwenye sample itapendeza akiweka picha tukaangalia design bora.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…