mpya

  1. Q

    JamiiForums Tanzania Balozi Tsere ataka Rais Samia kukaa na Wapinzani kama Kikwete ili kujadili Katiba Mpya

    Balozi mstaafu, Patrick Tsere amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan kukutana na kufanya mazungumzo na wadau wanaotaka Katiba mpya ili kupata mwafaka wa kitaifa. Kauli ya Tsere, aliyewahi kuwa balozi wa Tanzania nchini Malawi imekuja wakati kukiwa na harakati mbalimbali za madai ya Katiba, huku...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kuingia kwa majukwaa ya uuzaji wa mtandaoni ya China barani Afrika ni fursa mpya kwa biashara na uchumi

    Na Ronald Mutie Mwaka 2020 mwezi Mei, takriban tani 1.5 za kahawa ya Rwanda ziliuzwa ndani ya dakika moja tu wakati wa tukio la uuzaji wa moja kwa moja mtandaoni lililolenga kutangaza kahawa ya Rwanda kwenye soko na wateja wa China. Uuzaji huo ulikuwa umeandaliwa na kampuni kubwa zaidi...
  3. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Serikali isitishe ununuzi wa ndege mpya kwa sasa

    Kutokana na janga la korona, uendeshaji wa ndege ni kati ya biashara ngumu sana ulimwengni kwa sasa kwani mashirika mengi tena yenye nguvu yamekuwa yakipata hasara ya mabilioni ya Pesa Kutokana na hii changamoto, nafikiri ni wakati sasa wa Bunge kuishauri serikali isitishe maramoja ununuzi wa...
  4. 2019

    JamiiForums Tanzania Asante serikali kwa kuwapanga wamachinga, lakini je umejipanga kukabiliana na uhalifu mpya mtaani?

    Kwanza nampongeza serikali kwa uamuzi iliofanya wa kuweka miji safi na kuona mbele. Ni jambo jema sana ila kwenye kuondoa vibanda pia nimeona hakuna fair kabisa. Baada ya mpango huo je wale watakaorudi mtaani serikali itachukua hatua gani kama uhalifu ukiongezeka? Je imejipanga kukabiliana...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mnaotaka Katiba Mpya nawapa hoja

    Katiba mpya ni dai linalotokana na utashi wa kisiasa kwa kiwango kikubwa lakini pia ni zao la mwamko mkubwa wa wananchi kuchoshwa na namna wanavyoongozwa. Na mara nyingi kuchoshwa huku lazima kutokane na kukata tamaa ya maisha kwa walio wengi lakini pia kupata mwamko mkubwa wa elimu ya...
  6. C

    JamiiForums Tanzania kitenge agoma kureport kocha mpya wa sima

    Lile jamaaa kwa kweli Mungu alisamehe tu, limeweka mgomo bana linatafutaa angle mbaya ili liweze kutweet hapo roohoo inaliuma vibaya mnoooo Kamtafute ZUZU MSUKULE mpeane ideas jinsi ya kureport kama mnayokaaaga na kukubaliana ukireport habari za simba uwe unamuita Mo dewji BWANYENYE unaboa...
  7. President of China

    JamiiForums Tanzania CV ya kocha mpya wa Simba Pablo

    Soka la Tanzania linakuwa kwa kasi sana. Inabidi sasa mambo ya ndumba na kutegemea wagaga wakienyeji tuachane nayo. Hii hapa ni website ya kocha wetu mpya wa Simba https://en.pablofrancomartin.com/ Wenzetu ulaya kila kitu kinawekwa wazi. CV yake hii hapa chini kwa ufupi tu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Kocha mpya Simba SC Pablo Franco unalipa Mshahara wa Nabi, Kazi, Zahera, Manara na Bumbuli huku Chenji ikibaki pia

    Awali alitaka Mshahara wa Tsh Milioni 350 kwa Mwezi ila baada ya Majadiliano na Klabu aliyoipenda ya Simba baada ya Kusimuliwa na Timu ya Sevilla ya Hispania iliyokuja Tanzania kucheza na Simba SC sasa amekubali kupokea Mshahara wa Tsh Milioni 250 kwa Mwezi na mpaka sasa ameshalipwa tayari...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Embu tuzungumzie kidogo hii album mpya ya Harmonize

    Ebana mimi binafsi sio shabiki wa msanii yeyote isipokua mziki mzuri. Naamini kuwa Harmonize ni msanii mwenye kipaji kikubwa sana cha uimbaji ila sasa baada ya kusikiliza hii album yake mpya nimesikitika sana. Inaonesha wazi kuwa fikra na malengo yake kupitia album hii ni mazuri lakini...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Chanjo za COVID-19 hazisababishi kuibuka kwa aina (variants) mpya za Coronavirus

    Kumekuwa na taarifa nyingi za kupotosha kuhusu chanjo za COVID-19. Mojawapo ni uvumi kuwa chanjo za COVID-19 zinasababisaha kuibuka aina (variants) nyingine za coronavirus. Lakini je, ni kweli? Kwa mujibu wa Kituo cha Kudhibiti Magonjwa Nchini Marekani (CDC), Chanjo za COVID-19 hazitengenezi au...
  11. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Mbosso: Nasema sitoi wimbo mpya niueni

    Mbosso ni mmoja wa wasanii ambao umesainiwa chini ya lebo ya WCB inayomilikiwa na staa wa bongo Diamond Platnumz. Alisainiwa baada ya kuondoka kwenye bendi maarufu ya Yamoto ambayo walikuwa bendi ya wanachama wanne. Na Kumfanya awe msanii pekee aliyesainiwa chini ya lebo ya Wasafi. Mbosso ni...
  12. I wish i have

    JamiiForums Tanzania Lini Kampuni ya Azam Marine itaanza Safari Zake za Boti Mpya ziwa Victoria?

    Uzoefu wake kwa kweli kwa sasa inabidi aongeze mipaka!? Watu wale maisha ya kisasa.. Tunamkaribisha KANDA YA ZIWA VICTORIA... UTAJILI WA MTU MMOJA UNA MAANA KUBWA DUNIANI
  13. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya isiyoitoa CCM ni kama kijarida tu

    Kwa uchache sana ili nisiwachoshe. 1. CCM ni chama cha hovyo, hakizingatii Katiba ya nchi wala sheria. Mambo yanafanywa kwa utashi zaidi. Utasikia Rais katoa bilioni 2. Inatia uchungu sana. 2. CCM ni chama cha hovyo hata mambo yaliyopo kwenye katiba hii mtumba hawataki kuzingatia. Mtu anapiga...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Kulikoni Makamanda na ndugu Wananchi Kusita Sita?

    Tukubali kuziweka siasa pembeni. Kama ilivyo kwa mwenda kuoga, tukubali kuyavulia maji nguo, tuukabili ukweli usiosemeka: 1. Ridhaa ya kuongoza nchi hupatikana kutoka kwa wananchi. 2. Haiwezekani popote kuwa ridhaa hiyo ikatolewa kwa mtu ambaye agenda zake hakuna kuheshimu usawa, uhuru wala...
  15. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio hesabu za Ney wa Mitego kwenye wimbo wake mpya uitwao " Baba"

    Kwa maoni yangu wimbo wa " Baba" by Ney wa Mitego ni " commercial" Na sio wimbo wa kisiasa kama watu wengi wanavyo weza kuutafsiri Msanii Ney wa Mitego amemtumia Hayati Magufuli kama " point of contact" kufikisha ujumbe wenye lengo la kupush agenda yake ktk biashara ya muziki wake Lengo Hasa...
  16. Rutunga M

    JamiiForums Tanzania Wadau badilisheni mbinu ya kudai Katiba Mpya

    Habari zenu, Nimesikiliza na kufuatilia mijadala katika club house ya CHADEMA,mijadala ya humu JF na Twitter space hakika inaonesha wadau hasa wapinzani wamegotea katika mbinu za kudai katiba mpya na wanaona hakuna mbadala mwingine wa kufanya siasa na kuendesha maisha yao mpaka katiba mpya...
  17. Omusolopogasi

    JamiiForums Tanzania "Katiba, Katiba, Katiba...", msikilize Jaji Warioba kuhusu Katiba mpya

    Wanajukwaa, Sina maneno mengi. Wanasema kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza. Nchi hii inahitaji wazee wa aina hii ili kupona. Mimi sina cha kuongeza. Sikiliza mwenyewe hapa:
  18. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Kwanini ninahitaji Katiba mpya?

    Kuna watu hasa viongozi wachache ambao kwa makusudi na maslahi yao binafsi wanayoyajua wao wamekua wakitumia mwanya wa ujinga wa wananchi na shida zao kuwaambia maneno ya Kitapeli eti katiba mpya haiwezi kuwapa maji,afya wala Barabara,eti wanaotaka katiba mpya ni wenye uchu wa madaraka. Huu...
  19. bafetimbi

    JamiiForums Tanzania Wazee wa DRAFTI kete tatu mpya ndio zikoje? Maana nazisikia tu, kama unazijua hebu tupia pattern yake hapa

    Wanadrafi wenzangu ni kwa muda kidogo nazisikia hizi wanasema ooooh kuna kete tatu mpya, hivi zinategwa vipi? Tupeane hizo pattern kama unazijua. Ahsante
  20. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Naomba nimlete Michael Jackson mpya kwenu nimemwokota mtaani huko

    Naomba nimlete Michael Jackson mpya kwenu nimemwokota mtaani huko.
Back
Top Bottom