Manara atabiri jezi mpya ya Simba itakavyokuwa

hiram

JF-Expert Member
Aug 1, 2013
266
393
KOLO.jpg
 
Uzi kama Hizi ndio zinaleta tension kwa wabunifu wetu wa Simba SC ili waandae jezi mbaya. Naona Yanga mnatumia njama za kizamani sana kutufanya tuje na jezi mbaya.
 
Hapo mwanzo Simba tunaperform Manara akawa kutwa kuisema Yanga mwisho wa siku akawafanya nao kuonekana. But sasa Simba tutaperfom na promo ya Manara tutakua nayo.
Hii kutusema sema itasaidia sana hata kwenye Simba day.
 
It's always the ones with the dirty hands pointing the fingers to others
 
Nashukuru Mungu kwamba Manara amejiunga a wapiga soga wenzake, wao hucheza sana mpira kwa mdomo, Simba tunafanya kwa vitendo, Hatufuati mkumbo!
Ni Yanga hawa msimu uliopita waliajiapiza ni lazima watatwaa kombe baada ya kusajili akina Balinya na Molinga! Wakaenda mbali zaidi hata mdhamini wao GSM kuwaapia mashabiki kuwa Yanga isipotwaa ubingwa 2020/2021 wasiwalaum wachezaji bali wailaum GSM, leo yako wapi???
Ni Yaga hao wametoka hapa majuzijuzi kwa tamo kiao kuwa waaeda Moroco kusaka makali, lakii ghafla wamerudi ogo na kuanza kudai eti kami ya Moroco haikuwasaidia kiufundi! ajiuliza hivi benchi la ufundi la timu hiyo si ndio walipendekeza timu iende huko??? Sasa msimu ujao wanashiriki ligi ya mabingwa je maneno maneno haya ni kweli yatawavusha? Natoa wito kwa Yanga kubadilika, vinginevyo watavuna aibu, mpira sio maneno, mpira ni vitendo!
 
Angalizo kwenu utopolo FC:

Mmetumia 75% ya siku zenu za kufurahi,ligi kuu inakaribia kuanza,pia ligi ya mabingwa inakaribia kuanza..nafasi yenu ya huzuni na kulialia msimu mzima inakaribia muda si mrefu

Kwa kifupi mmebakiwa na 15% za kucheka na kufurahi..kuanzia tarehe 29/9/2021 ni siku za kulalamikia marefa,CAF wanawahujumu huko mabingwa ,TFF wanawahujumubligi kuu na manara anawahujumu katumwa na Simba km mamluki
 
Back
Top Bottom