mpinzani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msanii

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ni mpinzani halisi mwenye contents. Tatizo wapinzani wanapingana

    NIlipata wasaa wa kumsikiliza Zitto kwenye mkutano wa hadhara kwanza wa ACT Wazalendo 2023 pale uwanja wa Zakhem Mbagala. Niseme kwa kukiri kwamba, kiongozi huyu ambaye ameanzia na kukulia Upinzani ana viwango vyote sahihi vya kuitwa mwanasiasa mwenye hoja. Katika kuunda hoja na kuzijengea...
  2. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Mandonga anaongelea kumpiga mpinzani wake ngumi za tumboni?

    Karim Mandonga pamoja na kujizolea umaarufu katika mchezo wa ngumi, lakini wadau mbalimbali wanaona hautendei haki au kuupa heshima mchezo huo. Jana nilikuwa naangalia clip moja akiwa Kenya katika maandalizi ya pambamo lake. Wakati anazungumza na waandishi, akasema mpinzani wake akipata ngumi...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Hakuna mpinzani mwenye uwezo wa kushindana na Rais Samia kwenye jukwaa wala ndani ya sanduku la kura

    Ndugu zangu watanzania, Huo ndio ukweli kuwa kwa Sasa Hakuna mpinzani au mtu yeyote kutoka upinzani mwenye uwezo wa kushindani na Rais Samia Jukwaani Na hata katika sanduku la kura, kwa Sasa Rais Samia ndiye kiongozi mwenye ushawishi mkubwa Sana hapa Barani Afrika na ukanda huu wa Afrika...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe adaiwa kutupiwa lawama na viongozi ACT Wazalendo kwa kushindwa kuikosoa Serikali

    Zitto ametupiwa lawama na baadhi ya viongozi wenzake ndani ya ACT Wazalendo kwa kile walichoeleza kuwa pamoja na Nchi kuingia gizani kwa ukosefu wa umeme, amekuwa kimya kuzungumza matatizo yanayowakabili wananchi kama alivyokuwa kinara kuikosoa Serikali ya awamu ya Tano.
  5. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Mbowe ni trojan Horse, siyo Mpinzani ni sehemu ya Utawala!

    Kama kuna aliyefikiria hata kwa dakika moja kwamba Mwenyekiti wa chadema ni Mpinzani wa Serikali iliyopo ajitafakari tena, Mbowe kama Tundu Lisu tu hawajawahi kuwa kuwa Wapinzani bali walikuwa hawaivi na Magufuli basi, hivyo mnapoteza muda wenu bure. Mbowe, Tundu Lisu, Yusufu & Co. wako...
  6. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Ama hakika Yanga kwa Ligi ya ndani imeshindikana, Azam ndiyo mpinzani wake kwa sasa

    Wakuu leo tumeshuhudia Yanga akitandaza soka lake akiwa imara, pale kati Fei, Bangala na Aucho. Ama hakika Yanga hii kwa ligi ya ndani imeshindikana, mengi yatasemwa ila ukweli utabaki palepal; Yanga ni bora kwasasa.
  7. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua mpinzani wa huyu mwamba kwa Bei chini ya buku sita 6000/=

    Mwamba kama mnavyomuona unaweza fika benki wakakuachia kiti umalizie kuhesabu pesa. Hana longo longo Njoo na mpinzani unayeweza kudhani atamtoa kwenye (low price high value 💪character)
  8. Poker

    JamiiForums Tanzania INSYUKA ni movie bora sana kuwahi kuigizwa na wasanii wa Tanzania haina mpinzani

    Hi movie ilitakiwa ipewe heshima yake katika ulimwengu wa sanaa kwa namna bora ya uigizaji na namna ilivyoweza kuleta muamko mkubwa ndani na nje ya tasnia ya bongo movies. Nadhani hio ndio ilikuwa turning point ya bongo movies. Sidhani kama itakuja kuwa na mpinzani labda kwa baadae sana. Kudos...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Shaka: Sasa wapigaji wote uwe CCM au Mpinzani siku zenu zinahesabika kwa vidole

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema kutokana na kasi ya kutekeleza miradi ya maendeleo nchini, Rais Samia Suluhu Hassan ni pumzi mpya kwa maendeleo ya nchi. Shaka amesema hayo leo Oktoba 15, 2022 katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na...
  10. Mgalatia123

    JamiiForums Tanzania Kuwatetea Watanzania ni kupoteza muda

    Watanzania ni washenzi, nianze kwa kusema hivyo. Tumekabidhi hii nchi mikononi mwa CCM na tumeacha itupeleke kama inavyotaka na hatutaki kuhoji. Wakati wa uchafuzi mkuu wa 2020 mzee wangu alikuwa anashangilia kwamba wameshinda majimbo yote. Mimi nilimsikiliza tu nikaishia kumsikitikia. Mzee...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tyson Fury hataki tena kupigana na Joshua, adai mpinzani wake ni muoga

    Bondia Tyson Fury ametamka kuwa amefuta mpango wa kupigana na Anthony Joshua huku akimtaja mpinzani wake huyo kuwa ni muoga kutokana na kutokuwa na msimamo wa kutoa majibu kuhusu kusaini mkataba wa pambano lao. Fury alimpa muda Joshua kusaini mkataba huo hadi kufikia Septemba 26, 2022 ili...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii, Mmarekani hana mpinzani wadau: jiandaeni tu kuolewa!

    Yanayoendelea huko Ukraine na Russia nilifikiri ni mihemko na ujuaji mwingi tu wa wabongo.......kumbe ni kweli mzee mzima putin anakutana na wakati mgumu; Vyombo vyote ninavyoangalia sasa, hata vile visivyo rafiki wa marekani, vinatangaza tu sasa kuyumba kwa urusi. Nikikumbuka jinsi dunia...
  13. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Mdude Nyangali ni mpinzani anayechafua taswira ya upinzani

    Watu wa aina ya Mdude Nyangali wa CHADEMA wapo sana kwenye jamii na tabia zao mara nyingi huwa zinakereketa na kujenga mtizamo hasi. Siasa za Mdude Nyangali sio za kiuanaharakati, sio za kistaarabu, sio za kushindana kwa hoja. Siasa za huyo jamaa wa CHADEMA ni za kishari, mihemko na kutukana...
  14. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Anayetuhumiwa kwa mauaji ya msaidizi wa mpinzani ashinda Ubunge Kenya

    Didmus Barasa amechaguliwa tena kuwa Mbunge wa Kimilili baada ya kupata kura 26,000 akimshinda mpinzani wake wa DAP-K Brian Khaemba aliyepata kura 9,000. Barasa aliyegombea kupitia UDA, anadaiwa kumpiga risasi na kumuua msaidizi wa Olunga baada ya kukutana eneo la Shule ya Msingi ya Chebukwabi...
  15. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Shusha BEI ya bidhaa zako kabla hujalazimishwa kushusha na Mpinzani wako

    Katika biashara kila mfanyabiashara anafanya biashara yake kwa namna alivyowekeza pesa zake,muda na akili yake eneo hilo. Baada ya kujua pesa aliyowekeza,muda aliotumia,gharama zote mpaka bidhaa inamfikia mteja ndipo mfanyabiashara hupanga bei ya bidhaa zake. Wafanyabiashara wengi 80% sio...
  16. funaku

    JamiiForums Tanzania MY HUMBLE OBSERVATION: Pamoja na kupewa uhuru waliotaka bado hakuna mpinzani anayeongelea maendeleo

    Serikali ya awamu ya Sita chini ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan iliwasikiliza wapinzani,asasi za kiraia na mataifa ya Magharibi kwa kurekebisha baadhi ya misimamo na sera zake ili kutoa fursa iliyosemwa kuwa haikuwepo kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita. Uhuru wa kusema na kufanya siasa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Mtu aliesema hata mpinzani akishinda uchaguzi asitangazwe, ni lazima aenziwe hata kwa unafiki kwani kawabeba wengi

    Msitarajie watu walioshinda uchaguzi na wengine kupata vyeo serikalini kwa msaada wa mtu ambae alikuwa adui wa demokrasia, watu hao waache kumtukuza mtu wa aina hiyo, na inawezekana pia wanafanya yote haya ili na huyu aliepo sasa nae awabebe. Waacheni wahangaike kwani wengine saa hizi wangekuwa...
  18. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kama bado tuna ushirikiano thabiti wa kidiplomasia na China na Urusi Basi kuwa mpinzani ni uhaini na upinzani hautakuwa huru kamwe

    Demokrasia ya kupokezana madaraka kwa wajamaa ni kitu kisichoeleweka kabisa. Ingawa kwa shinikizo za kimataifa angalau China mwaka 1980 waliweka ukomo wa urais kuwa vipindi viwili. Na Russia 1992 vilevile. Lakini anayeyapokea lazima atokee chama tawala na mtiifu kwa Rais aliyepita. Angalau...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Putin asema makombora yake ya hypersonic yasiyo na mpinzani yapo tayari kutumika vitani sasa

    Rais Putin leo ameonya kuwa makombora yake ya hypersonic (hypersonic missiles) yapo tayari kuvurumishwa. Ktk video ameonya kuwa makombora hayo ya hypersonic yasiyo na mlingano (nadhani akusudia kuwa hakuna makombora mfano wake toka kwa US na NATO) diniani tayari yameingizwa kwenye mapambano...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania Bunge: CCM pekee ndiyo imewasilisha jina la Mgombea wa nafasi ya Naibu Spika

    Bunge limesema zoezi la uteuzi limekamilika, na hadi kufikia muda huo Chama kimoja (CCM) ndicho kimewasilisha jina la Mgombea nafasi ya Naibu Spika iliyo wazi baada ya Dkt. Tulia Ackson kujiuzulu na kuchaguliwa kuwa Spika wa Bunge. Jina la Mgombea litawasilishwa mbele wa Wapiga Kura kesho...
Back
Top Bottom