Waziri Mkuu wa India, Modi, ameukubali mpango wa Trump wa kumaliza vita Gaza, na kusema kuwa mpango huo umegusa mambo yote kwa kina, na hivyo wahusika wote wanatakiwa kuuunga mkono kwani mpango huo unalenga kuleta amani, usalama na maendeleo kwa wapalestina, waisrael na Asia Magharibi yote...