mpango

  1. R

    Orodha ya watumishi wa sekta ya afya waliopata ufadhili kupitia mpango wa “Samia health super specialisation scholarship program 2023/24”

    1. Hongera waliopata 2. Je, ni kweli wanalipa maana kumekuwa na tabia, tangu huko nyuma, ya kulipa kwa mbinde mpaka walio nje kufedheheka kwa kukosa huduma za kishule AU ni uchaguzi UNAKARIBIA. Short of that napongeza hatua hii.
  2. Mwizukulu mgikuru

    Polisi kumng'ang'ania mtuhumiwa na hali ya kuwa walalamikaji hawana mpango na kesi tatizo ni nini?

    Wakuu kuna jamaa yangu alipatwa na tatizo wakawa wamempeleka polisi, kule polisi akapata dhamana kwa sababu kosa lake lilikuwa lina dhamana, akaenda kuzungumza na wale waliokuwa wanamshitaki na wakawa wameelewana kuwa mambo yasiendelee mbele zaidi yaani kufika mahakamani. Sasa changamoto...
  3. Trainee

    Tumia njia hii ya asili ya uzazi wa mpango achana na njia zenye kukuletea saratani

    Wengi wanatamani kuwa na mpango wa uzazi lakini kinachowachosha na kuwatatiza ni njia gani hasa watumie katika kupanga huo uzazi Usipate tabu tena, chukua (mbegu ya) mbarika yaani nyonyo kisha ondoa ganda lake lile gumu ibaki ile punje ya ndani. Meza punje moja kila mwezi! Imeisha hiyo
  4. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Nabii Clear Malisa ana mpango wa kuinunua Ubungo Kibangu yote, kuivunja na kujenga mji wake wa kisasa.

    Nabii kijana Clear Malisa amedhamiria kuinunua Ubungo Kibangu yote akianzia Riverside hadi kwenye mpaka wa kambi ya Jeshi la Wananchi. Tayari ameahidiwa fungu kubwa la pesa na Baba wake wa Kiroho aliyeko Marekani. Pia michango inawndelea kuchangwa na kupokelewa hapo kanisani kwake Kingdom...
  5. chiembe

    Makamu wa Rais Philip Mpango kwanini Ofisi yako inashindwa kuifanya Dodoma ya kijani kwa kupanda miti msimu huu wa mvua?

    Nashikwa na mshangao sana Mzee Philip Mpango, anakaa dodoma, Ofisi yake iko Dodoma, inashighulika na mazingira, lakini hakuna kampeni yoyote Ile ya kuifanya Dodoma ya kijani kwa kupanda miti. Rais Samia anajenga majengo ya serikali, yeye nini kinamshinda kupanda miti kwa wingi Dodoma yote?
  6. A

    Mpango wa kujenga canal kupitia Israel kuunganisha Nagari ya Hindi na Mediterranean

    https://indianexpress.com/article/explained/explained-global/ben-gurion-canal-suez-israel-9021520/
  7. Stephano Mgendanyi

    Prof. Sospeter Muhongo: Mapendekezo ya Mpango wa Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025

    LEO BUNGENI: MAPENDEKEZO YA MPANGO WA TAIFA KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 - Mchango wa Prof Muhongo Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo ameshauri yafuatayo: *Mipango yetu ya maendeleo ilenge kupunguza umaskini kwa kasi kubwa *Uwekezaji wetu ulenge kupunguza umaskini kwa...
  8. Alwaz

    Marekani na Israel wana mpango wa kujenga Ben Gurion canal eneo la Gaza kuipiku Suez Canal

    Mpango wa kujengwa kwa Ben Gurion canal eneo ilipo Gaza ni mpango wa muda mrefu ulioshindwa kuanza mpaka sasa. Kufanikiwa kwa mpango huo kutaipa Israel na Marekani udhibiti wa njia muhimu ya meli za kibiashara.Mbali ya kuwa mtaji mkubwa wa kiuchumi itakuwa ni kujihakikishia usalama wao kutokana...
  9. K

    Mpango wa Maendeleo 2024/26 unaojadiliwa bungeni sikubaliani nao

    Mhe. Waziri wa Mipango anatamba kuwa kutokana na mpango huu wananchi watawezeshwa na umaskini utaenda kupungua binafsi ninasema HAPANA. Kama umeme ndio huu, bei ya mafuta ndiyo hiyo, bei ya pembejeo ndiyo hiyo, Viwanda havifanyi kazi kwa asilimia 100 na umaskini ndiyo unaongezeka huo msemo wa...
  10. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Saashisha Mafuwe akichangia Bungeni Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa ya mwaka 2024-2025

    "Katika taarifa ya Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa ya mwaka 2024-2025, Matarajio yangu ni kuona sasa kuwa na Mipango ya Nchi yetu ambayo inatekelezeka kwa muda mfupi na muda mrefu. Mipango ambayo itajibu matarajio ya wananchi" - Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai "Ili...
  11. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Aloyce Kwezi: Mpango wa Maendeleo ya Taifa 2024 - 2025 Serikali Ijenge Barabara ya Mpanda - Kaliua - Kahama

    MBUNGE ALOYCE KWEZI: MPANGO WA MAENDELEO YA TAIFA 2024-2025 SERIKALI IJENGE BARABARA YA MPANDA - KALIUA - KAHAMA "Nampongeza Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya ya kujenga Taifa letu. Nawapongeza Mawaziri, Komredi Mwigulu Lameck Nchemba na Professor Kitila...
  12. Roving Journalist

    Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) Lafikia Makubaliano ya Ngazi ya Wafanyakazi na Serikali Kuhusu Mapitio ya Pili ya Mpango wa Ukopeshaji wa ECF

    Washington, DC - Novemba 3, 2023: Wafanyakazi wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) wakiongozwa na Charalambos Tsangarides, ambaye ni mkuu wa ujumbe wa IMF kwa Tanzania, walifanya mikutano Dodoma na Dar es Salaam kuanzia Oktoba 23 hadi Novemba 3, 2023, ili kujadili maendeleo ya mageuzi na...
  13. chiembe

    Hadhi ya Makonda kwa Sasa ni sawa na Makamu wa Rais au Kaimu Rais, ana haki ya kumpa maelekezo mtu yeyote yule, hata Philip Mpango

    Hiyo ndio hadhi ya Makonda kwa Sasa. Ameanza kazi rasmi, na ameanza kwa kumpangia kazi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, moto ni uleule kwa Makamu wa Rais, Sasa akifika kule wilayani na mikoani, wakuu wa huko wajipange. OCD na RPC, msiache kutembea na pingu, amri yoyote inaweza kutolewa...
  14. BARD AI

    Marekani yatangaza kuzifuta Uganda, Afrika ya Kati, Gabon na Niger kwenye Mpango wa Biashara na Afrika (AGOA)

    Rais Joe Biden amesema Nchi hizo zitaondolewa katika Mpango wa Ukuaji na Fursa Afrika (AGOA) ulioanzishwa mwaka 2000 kutokana na ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binadamu pamoja na Kutopiga Hatua za kuelekea katika Utawala wa Kidemokrasia. Biden amesema "Licha ya majadiliano makubwa kati ya Marekani...
  15. Excel

    Nina mpango wa kuuza mali zangu baadhi nijikite kwenye Biashara

    Habari za majukumu Ladies and Gents. Baada ya Purukushani za mjini naona ajira zimekuwa ngumu sana nataka kuuza mali zangu baadhi nijite kwenye Biashara ya Nafaka (karanga n.k) Nina Kiwanja ambacho Jirani yangu ameahidi kunipa 1,300,000 Tshs. Nina Sea Piano SP 1002 naweza kuiuza 120,000 ina...
  16. Roving Journalist

    Baada ya malalamiko mengi Mkandarasi wa Reli ya SGR atangaza kufuta mpango wa kupunguza Wafanyakazi

    KUFUTWA KWA ZOEZI LA UPUNGUZAJI WAFANYAKAZI TAREHE 23/10/2023 KWA: YAPI MERKEZI INSAAT VE SANAVIAS TABORA MAKUTOPORA Rejea kichwa cha habari hapo juu Kufuatia malalamiko mengi kuhusa zoezi hili hasa namna ya uchaguzi wa waathirika wa zoezi hili, Uongozi umefuta zoezi hili hadi pale utaratibu...
  17. matunduizi

    Kwanini Israel haina mpango wa kuifuta Hesbullah kama Hamas?

    KIMSINGI Hesbullah ndio tishio kubwa. Hamas ni kama genge flani ambalo wakiamua kulifuta hata kwa gharama ya maisha ya raia wasiohusika wanaweza. Ila hawa Hesbullah naona ni watat zaidi. Ni jeshi la kisasa na ndio hatarishi kwa usalama wao kuliko Hamas. Na leo nimemsoma kamanda wa IDF...
  18. GENTAMYCINE

    Kumbe Rais Samia analazimishwa kuitwa sasa Mama wa Taifa kwakuwa kuna huu Mpango Mkakati kabambe nyuma ya Pazia?

    Haya akina Hussein Mwinyi uliyekuwa Unaota kuja Bara 2025, akina January Makamba, Mwigulu Nchemba, Ridhiwani Kikwete na Dotto Biteko mnaohangaika Kujipanga kwa 2030 nawaombeni kuanzia sasa Sahauni huo Mpango. Za uhakika ni kwamba Aliyeko sasa ( Boss Wenu ) anamalizia hii Minne ya Deiwaka (...
  19. K

    Msikilize Rais Joe Biden kuhusu mpango wa Israel 1986

    Wengi tunatazama mgogoro wa Palestine na Israel katika sura ya kidini,ila ukweli ni kua kinavhogombaniwa hapo ni ardhi na pia maslahi ya nchi kama Marekani na wabia wake kwenye kulinda maslahi yao mashariki ya Kati. Ukienda kidini, wakrsito wengi wanasapoti Israel wakifikiri ndio mzizi na...
  20. B

    Makamu wa Rais Dkt. Mpango afungua Mkutano wa Kimataifa wa Korosho Dar

    12 October 2023 https://m.youtube.com/watch?v=2Fv1zCpiHmU Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Wizara ya Kilimo hapa nchini kufanikisha lengo na Wizara hiyo la kuacha kuuza Korosho ghafi nje ya nchi ifikapo mwaka 2026. Makamu wa Rais amesema...
Back
Top Bottom