Pudental
Member
- Jan 18, 2016
- 17
- 64
Tarehe 25-05-2026 Viongozi waandamizi(wakuu) wa chama cha walimu Tanzania yaan kuanzia Raisi wa chama,katibu mkuu pamoja na muweka hazina Taifa ikiwa ni sambamba na viongozi waliopita (Rais na katibu mkuu wake) walifikishwa mahakaman na kusomewa mashtaka ya uhujumu uchumu na matumizi mabaya ya madaraka , Lakini wakati huo huo wasaidizi wa viongozi hao yaan wale ma kaimu amebaki wanajipa vyeo wao kwa wao ili kuunda ka genge kao ambapo inasemekana pia ni wao hao hao ndio waliotengeneza hilo sakata ili wabaki na madaraka kwa ajili ya kumnufaisha mtu anae chora huo mpango. waalimu amkeni ,chama kinachezewa