Mpango wenu kumtoa Mafwere kafara na wenzake wanne hatuukubali

October 2pm

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2023
Posts
1,148
Reaction score
2,032
Hehehe! Mwafikiri siye hatujui. Memtuma nyie. Mafweye ni askari mwadilifu. Twamjua tangu enzi na enzi. Leo mwataka kumwagushia jumba bovu. Hapana walahi. Hatutakubali.

Mwaanza poyepoye mwafikiri hatujui mnachofanya. Mafwere na wenzako wanne mnajijua. Kaeni radar. Ama kweli shetani Hana kiapo. Na bado.
 
Mwadilifu kwa nani . Labda kwa wahuni maana mwadilifu hawezi kuteka na kuua raia wa nchi yake kinyama namna hiyo
 
Hehehe! Mwafikiri siye hatujui. Memtuma nyie. Mafweye ni askari mwadilifu. Twamjua tangu enzi na enzi. Leo mwataka kumwagushia jumba bovu. Hapana walahi. Hatutakubali.

Mwaanza poyepoye mwafikiri hatujui mnachofanya. Mafwere na wenzako wanne mnajijua. Kaeni radar. Ama kweli shetani Hana kiapo. Na bado.
Angekuwa mwadilifu angekataa kushiriki huu uovu, lakinsababu alikubali. Achwa atupiwe container
 
Hehehe! Mwafikiri siye hatujui. Memtuma nyie. Mafweye ni askari mwadilifu. Twamjua tangu enzi na enzi. Leo mwataka kumwagushia jumba bovu. Hapana walahi. Hatutakubali.

Mwaanza poyepoye mwafikiri hatujui mnachofanya. Mafwere na wenzako wanne mnajijua. Kaeni radar. Ama kweli shetani Hana kiapo. Na bado.
"...askari mwadilifu..."? HAPANA.
Ni lazima tuwe na mipaka ya kutumia haya maneno mazuri ya lugha yetu.

Sasa ni hivi: kwa kuwa unaukaribu wa hata kudiriki kumpa "uadilifu" mtu kama huyo anayetumika tu kama kipande cha karatasi nyororo ya chooni; kwa nini usimwendee na kumsihi yeye na wenzake hao wamalize hii kazi kwa kufuta hiyo takataka inayowaharibia uadilifu wao?

Mbona wakitimiza hilo dakika hiyo hiyo watakuwa mashujaa wa kudumu ndani ya taifa hili.

Nenda haraka uwape mpango huo utakaofuta lawama kwao kwa sehemu kubwa.

Kwani shida ni nini, vifaa si wanavyo kila siku?
 
We jamaa waga unanifurahisha sana, uandishi wako, ilipotea sana nikahisi ulikila shaba oktoba 29 bro
 
Hehehe! Mwafikiri siye hatujui. Memtuma nyie. Mafweye ni askari mwadilifu. Twamjua tangu enzi na enzi. Leo mwataka kumwagushia jumba bovu. Hapana walahi. Hatutakubali.

Mwaanza poyepoye mwafikiri hatujui mnachofanya. Mafwere na wenzako wanne mnajijua. Kaeni radar. Ama kweli shetani Hana kiapo. Na bado.

Recently nilikuwa nakunywa maziwa ya box. Nikajiuliza experiary date yake lini? Hakuna kinachodumu milele.

kama toilet paper inavyotumiwa...akili mukichwa
 
Hehehe! Mwafikiri siye hatujui. Memtuma nyie. Mafweye ni askari mwadilifu. Twamjua tangu enzi na enzi. Leo mwataka kumwagushia jumba bovu. Hapana walahi. Hatutakubali.

Mwaanza poyepoye mwafikiri hatujui mnachofanya. Mafwere na wenzako wanne mnajijua. Kaeni radar. Ama kweli shetani Hana kiapo. Na bado.
Serikali kama ingekuwa Ina haja nae, tayari wangekuwa wameshapita nae...mwamba daily yupo kazini anapiga mzigo
 
Anywee Kikombe Chake
Wakati Anatumwa Anakubali Kama Zuzu
Muda Utaongea Ila Atolewe Kafara Tu
 
Back
Top Bottom