Smarter JF-Expert Member Nov 10, 2008 527 110 Dec 1, 2021 #1 Ndio hivyo tena, December imeshaingia. Unamipango gani? wenda ika match na ya wadau humu. Mimi bado nawaza sijajua nipange nini, kwasababu hayapangiki. Ila nasikia WAVE nyingine inakuja/Imefika. Sasa December itakuwaje? Poa. Fresh Basi.
Ndio hivyo tena, December imeshaingia. Unamipango gani? wenda ika match na ya wadau humu. Mimi bado nawaza sijajua nipange nini, kwasababu hayapangiki. Ila nasikia WAVE nyingine inakuja/Imefika. Sasa December itakuwaje? Poa. Fresh Basi.