mpango

  1. SI KWELI NHIF yarejesha utaratibu wa kusajili watoto kupitia Mpango wa Toto Afya Kadi

    Kumekuwepo na taarifa inayosambaa mtandaoni ikionesha kuwa mfuko wa Taifa wa bima ya Afya (NHIF) umerejesha mpango wa kusajili watoto kupitia kifurushi cha Toto Afya Kadi. Taarifa hii ina ukweli kiasi gani maana naona kuna mvutano mkubwa, baadhi wanadai ni kweli na wengine wanasema si kweli.
  2. B

    Dkt. Mpango: Vitambulisho vya Taifa (NIDA) vipatikane kwa watoto wote wanaozaliwa

    Makamu rais Dr Mpango ameshauri kuwa ni vyema sasa watoto wote wanaozaliwa wawe wanapatiwa Vitambulisho vya Taifa (NIDA) papo hapo. Anasema hii itasaidia watoto kutatua changamoto mbalimbali za huduma za kifedha km kufungua account bank na kuomba mikopo ya elimu ya juu (HESLB). Nini maoni yako...
  3. J

    Dkt. Mpango: Vijana changamkieni fursa zinazotolewa na Rais Samia

    Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amewataka vijana kuchangamkia fursa zinazotolewa na Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan ili kujipatia kipato pamoja na kukuza pato la nchi. Ameyasema hayo wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya Kitaifa ya Kilimo ya Nanenane leo Agosti 01, 2023 yanayofanyika katika...
  4. Dkt. Mpango: Wanaotumia lugha za ovyo dhidi ya Kiongozi Mkuu wa Nchi nawasihi kiungwana waache. Yanayoendelea nchi jirani watu wanayaona

    Fuatilia kinachojiri kwenye ufunguzi wa maneno ya nanenane Mkoani Mbeya, leo Agosti 1, 2023 ambapo Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ni mgeni Rasmi. === Tulia Ackson Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson amesema Bunge litaendelea kufanya kazi na Serikali katika...
  5. W

    SoC03 Afya, uzazi wa mpango

    Mwandishi MZT company limited, kazi za jamii. Yanachochea mabadiliko katika utawala bora. UZAZI WA MPANGO NI NINI? Uzazi wa mpango ni uamuzi wa hiari unaofanywa na mtu binafsi, mwenzi au wote wawili, ili kuamua ni lini watapata watoto, baada ya muda gani na kuufuata. Huu ni uzazi unaofutata...
  6. Marekani: Jay-Z atajwa kwenye mpango wa kuinunua Tottenham

    Rapa na mfanyabiashara huyo wa Marekani inadaiwa kuwa anaweza kuinunua klabu hiyo ya England kwa Pauni Bilioni 2.2 (Tsh. Trilioni 6.9) ikiwa mmiliki wa sasa Joe Lewis atataka kuiuza. Lewis (86) anakabiliwa na masuala ya kisheria kuhusu biashara zake na alifikishwa Mahakamani Julai 26, 2023...
  7. Mpango wa DP World: Kosa lisilo na ulazima na serikali ya Rais Samia

    Rais Samia Suluhu Hassan alipokuwa anaadhimisha miaka miwili madarakani, niliandika makala nikihitimisha kwamba yeye ni "mtu mzuri". Hata hivyo, tathmini yangu ilikosolewa kwa kiasi kikubwa na baadhi ya watu. Jinsi gani niliweza kudai, wakosoaji walijiuliza, kuwa Rais ni mtu mzuri? Nakumbuka...
  8. Kwanini, Simiyu, Kigoma, Mara, Geita na Pemba hawatumii Uzazi wa Mpango Kama Mbeya na Iringa?

    Katika ripoti ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria wa Mwaka 2022 ya Wizara ya Afya Dodoma kushirikiana na Wizara ya Afya Zanzibar, Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dodoma, Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar, iliyotoka Januari 2023, INaonesha Kuna Mikoa kabisa haina...
  9. Asilimia 28 ya wanaokaribia kustaafu hawana mpango mkakati baada ya kustaafu

    Wachambuzi wameitisha mjadala wa mawazo kutoka kwa wadau ili kufanyia kazi tatizo la kutokuwa na mipango baada ya kustaafu kwa zaidi ya robo ya watu waliofikisha umri wa miaka 55 na zaidi. Baada ya kustaafu wahusika hukumbwa na kuongezeka kwa gharama za matibabu na kujitunza kutokana na umri...
  10. Bad news to PM Majaliwa and VP Mpango; The Tanzania-Dubai Treaty is covertly open-ended for facilitating ‘Arab settler colonialism’ in Tanzania

    1. Introduction Dear Phillip Mpango, The Vice President of the United Republic of Tanzania: Dear Kassim Majaliwa, The Prime Minister of the United Republic of Tanzania: On 15 July 2023 the Minister of Works, Transport and Communications, Professor Makame Mnyaa Mbarawa, and his technical team...
  11. Mpango wa kumuaga Mkude kwa heshima siku ya Simba Day bado upo?

    Kuongezea maumivu zaidi kuna tetesi kwamba Chama anaweza kwenda Yanga. Huo mpango wa kumuaga bado upo?
  12. Kama kila kitu kinachotokea kwenye maisha ya binadamu ni mpango wa Mungu then kwanini Wakristo na Waislamu hufanya jambo hili?

    Waislamu na Wakristu uhubiri kwamba kila jambo analolifanya mwanadamu na kila jambo analo fanyiwa mwanadamu ni mipango ya Mungu. Kama hoja hii ndio msimamo wa mafundisho ya kikristo na kiislamu then kwanini wakristu na waislamu HUTUBU DHAMBI ZAO kwa Mungu pindi watendapo dhambi? Kwa sababu...
  13. Dkt. Mpango akerwa na Utaratibu wa Kuhamisha Watumishi Wabovu badala ya kuwaondoa kabisa

    Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ameonesha kukerwa na utaratibu wa Kuhamisha Watumishi wanaonekana kushindwa kumudu Majukumu yao au kutuhumiwa kufanya vitendo vinavyoenda kinyume na sheria na kisa kupelekwa kwenye maeneo mengine ya utumishi. Mpango ametoa kauli hiyo akiwa Kigoma ambapo ametaka...
  14. Mbunge Mnzava Asisitiza Kuwa na Mpango wa Matumizi Bora ya Ardhi ili Kumaliza Migogoro ya Ardhi Nchini

    MHE TIMOTHEO MNZAVA ASISITIZA KUWA NA MPANGO WA MATUMIZI BORA YA ARDHI ILI KUMALIZA MIGOGORO YA ARDHI NCHINI "Nampongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya ya kujali maisha ya wananchi wa nchi hii. Maazimio haya ni ushahidi wa namna...
  15. S

    World Economic Forum(WEF) na mpango wao wa kupunguza watu duniani kuanzia 2023

    Mnamo wa mwezi wa kwanza, tarehe 19, wanajamii wa WEF walikutana na kujadiliana mambo mengi kuhusu Dunia kiujumla. Ila wakati mmoja, kuna mmojawao akatoa pendekezo la kupunguza watu duniani kuanzia mwaka 2023 angalau kwa asilimia 50. Bill Gates tena amezua gumzo baada ya kuandika katika...
  16. Kwa msimu wa 2022/23 Yanga imepata hasara ya zaidi ya Tsh. Bilioni 4

    Kama mnavyojua weekend iliyopita klabu ya Yanga ilifanya mkutano mkuu wa wanachama wake na moja ya ajenda ya mkutano ilikuwa kutoa ripoti ya mapato na matumizi ya mwaka 2022-2023. Kumezuka mjadala mkubwa ambao nadhani na mimi nimechangia sana kuuleta wa kuhoji taarifa zilizokuwa zinasambaa kuwa...
  17. Dkt. Mpango: Mimi ni mzalendo wa kweli

    ' Vice President watamwonea tu maskini wa Mungu na yule baba ni mcha Mungu mno kamwe hawezi kuhongeka.' ' Nakumbuka hata siku lile anakutana nao wasaidizi wake wote aliwaasa kuwa makini kwenye makubaliano ya aina yeyote.' ' Wakati wote alionyesha tai yake kwa watu wake wa karibu na...
  18. Ukimya wa Philip Mpango na Mwigulu kwenye ishu ya DP World unashangaza

    Hawa watu wawili Philip Mpango na Mwigulu Nchemba....mbona wao wako kiimya sana? Au na wao "wanaamini" nchi imeuzwa Kwa "waarabu"? Mbona hatusikii wakitetea serikali hata mara moja? Au hao ndo kuna mmoja wao "kaagizwa" ..akae mbali asichafuke na wale "wazee" wanaosimamia "project" ya "Chafua...
  19. H

    Mkataba wa Bandari: Ni kweli Rais wa hajui alichosaini au ni mpango mkakati uliojificha?

    UTANGULIZI: Kwa taaluma yangu kama mwanasheria nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kweli kuwa ule ndio ushauri wa kisheria (legal opinion, or legal memorandum) uliotolewa na watalaamu wetu wa kisheria kumshauri Rais wa JMT kuridhia kuingia kwenye mkataba wa kipuuzi na kipumbavu namna ile. Ni...
  20. Lema anakubali mpango wa Rais Samia kuleta wawekezaji bandarini

    Jana Lema alikuwa Serena Hoteli kwenye mjadala uliohusu uwekezaji kwenye maeneo mbalimbali ya nchi yetu ikiwemo bandari. Alikuwa pale na kina Mzee Ulimwengu, Rostam Aziz, Wasira na watu wengu wengine. Kwenye meza yake, Lema alikaa na Zito Kabwe na watu wengine mashuhuri. Lema alipochangia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…