mpango

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mkandarasi barabara ya Itoni- Lusitu (Njombe) adaiwa kuwa na mpango kutahatarisha mito na maisha ya wananchi

    Kwa habari nilizozipata nikuwa ili kupunguza ghrama za ujenzi mkandarasi anayejenga barabara ya ITONI- LUSITU kwenye eneo la Kitulila anafanya MPANGO wa Kuchepusha Barabara ambako ni karibu sana na vyanzo vya maji na kuacha barabara kuu ambayo Haina shina kwa kigezo cha kupunguza ghrama za...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mpango na Mwinyi wanashuhudia nini hapa?

    Je Majaliwa ni muda wa kuanza kutoa kijiti au ni msaada wa ufuatiliaji wa miradi🤔.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kama una mpango wa kufungua duka la nguo Dar - duka linauzwa

    Kutokana na kuelemewa na majukumu yanayohitaji kusafiri mara kwa mara na kushindwa kuwa na usimamizi wa karibu tumeamua kuuza biashara yetu ya duka la nguo. Kama unataka kuingia kwenye biashara hiyo kwa mtaji wa angalau sh milioni nne njoo chukua duka lililo tayari uanze mara moja. Kwa...
  4. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Je, Viongozi hao kuhudhuria hafla za makanisani ni mpango wa kuwagawa wakristo kwa sababu ule upande wako pamoja kuhusu DP World?

    Wasalaam JF, Nichukue fursa hii kuhoji uwepo wa JKM kwenye hafla ya wasabato je yeye mwanasiasa alienda kufanya nini kwenye hafla ya dini ya wengine? Je, Huyo Rais wenu alienda makanisani kufanya nini? Hii mbinu ya kudhani mtawagawa wakristo wakati nyie mmekula kiapo cha pamoja cha kuunga...
  5. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Maaskofu Katoliki kuhusu uwekezaji Bandarini wasomwa kanisani

    Chanzo cha habari kilichiripoti tukio hilo sikuu hii ya leo kabisa tena siku tukufu ni gazeti la mwananchi, watu wamesikiliza kwa makini waraka huo na kuelewa nini kinaendelea nchini[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mpango wa Bayern Munich kumsajili David de Gea wafutika

    Inadaiwa kuwa uamuzi huo umetokana na maamuzi ya Kocha wa Bayern Munich, Thomas Tuchel kuamua kutomsajili kipa huyo wa zamani wa Manchester United. Bayern ilikuwa katika mazungumzo ya kumsajili raia huyo wa Hispania mwenye umri wa miaka 32 ambaye ni mchezaji huru kwa sasa, sababu kubwa ikitajwa...
  7. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Amnesty International: Mamlaka ya Tanzania iwaachie mara moja bila Masharti Wakosoaji wa Mkataba wa DP World inaowashikilia

    Mamlaka ya Tanzania inapaswa kuwaachilia mara moja na bila masharti Willibrod Slaa, aliyekuwa mbunge na Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Boniface Mwabukusi, mwanasheria na mwanaharakati, na Mdude Nyagali, mwanaharakati wa kisiasa, ambao wote walikamatwa kati ya 12 na 13 Agosti kwa kosa la...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kamatakamata siku ya Mechi ya Simba na Yanga, ni coincidence au ni mpango mkakati?

    Hili ndio swali ninalojiuliza kuwa kamatakamata hii kwenye siku hii ,ya leo yenye attention kubwa ya mpira wa Yanga na Simba imetokea kama coincidence au ni mpango mkakati? Labda niulize kwanini weekend ndio wahakikishe wote wamekamatwa ili hali kosa uhaini halina dhamana? Je, lengo ni...
  9. Heparin

    JamiiForums Tanzania SI KWELI NHIF yarejesha utaratibu wa kusajili watoto kupitia Mpango wa Toto Afya Kadi

    Kumekuwepo na taarifa inayosambaa mtandaoni ikionesha kuwa mfuko wa Taifa wa bima ya Afya (NHIF) umerejesha mpango wa kusajili watoto kupitia kifurushi cha Toto Afya Kadi. Taarifa hii ina ukweli kiasi gani maana naona kuna mvutano mkubwa, baadhi wanadai ni kweli na wengine wanasema si kweli.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Vitambulisho vya Taifa (NIDA) vipatikane kwa watoto wote wanaozaliwa

    Makamu rais Dr Mpango ameshauri kuwa ni vyema sasa watoto wote wanaozaliwa wawe wanapatiwa Vitambulisho vya Taifa (NIDA) papo hapo. Anasema hii itasaidia watoto kutatua changamoto mbalimbali za huduma za kifedha km kufungua account bank na kuomba mikopo ya elimu ya juu (HESLB). Nini maoni yako...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Vijana changamkieni fursa zinazotolewa na Rais Samia

    Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amewataka vijana kuchangamkia fursa zinazotolewa na Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan ili kujipatia kipato pamoja na kukuza pato la nchi. Ameyasema hayo wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya Kitaifa ya Kilimo ya Nanenane leo Agosti 01, 2023 yanayofanyika katika...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Wanaotumia lugha za ovyo dhidi ya Kiongozi Mkuu wa Nchi nawasihi kiungwana waache. Yanayoendelea nchi jirani watu wanayaona

    Fuatilia kinachojiri kwenye ufunguzi wa maneno ya nanenane Mkoani Mbeya, leo Agosti 1, 2023 ambapo Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ni mgeni Rasmi. === Tulia Ackson Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson amesema Bunge litaendelea kufanya kazi na Serikali katika...
  13. W

    JamiiForums Tanzania SoC03 Afya, uzazi wa mpango

    Mwandishi MZT company limited, kazi za jamii. Yanachochea mabadiliko katika utawala bora. UZAZI WA MPANGO NI NINI? Uzazi wa mpango ni uamuzi wa hiari unaofanywa na mtu binafsi, mwenzi au wote wawili, ili kuamua ni lini watapata watoto, baada ya muda gani na kuufuata. Huu ni uzazi unaofutata...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Marekani: Jay-Z atajwa kwenye mpango wa kuinunua Tottenham

    Rapa na mfanyabiashara huyo wa Marekani inadaiwa kuwa anaweza kuinunua klabu hiyo ya England kwa Pauni Bilioni 2.2 (Tsh. Trilioni 6.9) ikiwa mmiliki wa sasa Joe Lewis atataka kuiuza. Lewis (86) anakabiliwa na masuala ya kisheria kuhusu biashara zake na alifikishwa Mahakamani Julai 26, 2023...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mpango wa DP World: Kosa lisilo na ulazima na serikali ya Rais Samia

    Rais Samia Suluhu Hassan alipokuwa anaadhimisha miaka miwili madarakani, niliandika makala nikihitimisha kwamba yeye ni "mtu mzuri". Hata hivyo, tathmini yangu ilikosolewa kwa kiasi kikubwa na baadhi ya watu. Jinsi gani niliweza kudai, wakosoaji walijiuliza, kuwa Rais ni mtu mzuri? Nakumbuka...
  16. Vedasto Prosper

    JamiiForums Tanzania Kwanini, Simiyu, Kigoma, Mara, Geita na Pemba hawatumii Uzazi wa Mpango Kama Mbeya na Iringa?

    Katika ripoti ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria wa Mwaka 2022 ya Wizara ya Afya Dodoma kushirikiana na Wizara ya Afya Zanzibar, Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dodoma, Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar, iliyotoka Januari 2023, INaonesha Kuna Mikoa kabisa haina...
  17. Replica

    JamiiForums Tanzania Asilimia 28 ya wanaokaribia kustaafu hawana mpango mkakati baada ya kustaafu

    Wachambuzi wameitisha mjadala wa mawazo kutoka kwa wadau ili kufanyia kazi tatizo la kutokuwa na mipango baada ya kustaafu kwa zaidi ya robo ya watu waliofikisha umri wa miaka 55 na zaidi. Baada ya kustaafu wahusika hukumbwa na kuongezeka kwa gharama za matibabu na kujitunza kutokana na umri...
  18. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Bad news to PM Majaliwa and VP Mpango; The Tanzania-Dubai Treaty is covertly open-ended for facilitating ‘Arab settler colonialism’ in Tanzania

    1. Introduction Dear Phillip Mpango, The Vice President of the United Republic of Tanzania: Dear Kassim Majaliwa, The Prime Minister of the United Republic of Tanzania: On 15 July 2023 the Minister of Works, Transport and Communications, Professor Makame Mnyaa Mbarawa, and his technical team...
  19. Mtemi Eno

    JamiiForums Tanzania Mpango wa kumuaga Mkude kwa heshima siku ya Simba Day bado upo?

    Kuongezea maumivu zaidi kuna tetesi kwamba Chama anaweza kwenda Yanga. Huo mpango wa kumuaga bado upo?
  20. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kama kila kitu kinachotokea kwenye maisha ya binadamu ni mpango wa Mungu then kwanini Wakristo na Waislamu hufanya jambo hili?

    Waislamu na Wakristu uhubiri kwamba kila jambo analolifanya mwanadamu na kila jambo analo fanyiwa mwanadamu ni mipango ya Mungu. Kama hoja hii ndio msimamo wa mafundisho ya kikristo na kiislamu then kwanini wakristu na waislamu HUTUBU DHAMBI ZAO kwa Mungu pindi watendapo dhambi? Kwa sababu...
Back
Top Bottom