mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    John Heche Inatakiwa Akamatwe Haraka na Kuwekwa Ndani Bila Kupewa dhamana Kwa Uchochezi na Uchonganishi Mpaka Athibitishe kwa vielelezo Kauli zake

    Ndugu zangu Watanzania, Ni lazma kama Taifa Tujijengee Heshima ,utaratibu ,nidhamu ,adabu ya maneno na kauli za kuzungumza Hadharani. Siyo mtu anajitokea zake huko anaanza kuropoka ropoka Bila Breki vitu Hovyo hovyo bila ushahidi wala vielelezo vya aina yoyote ile ilimradi tu Ameona kamera...
  2. Kalaga Baho Nongwa

    Mikopo kwa vijana alaumiwe nani? Nani anawajibike? Ina mana mpaka ile kweli watu waaply fungu la 10? Nanauka upo?

    Wana jf hamjambo?, hapa katikat iliibuka dini mpya ya wakrislam, nipendekeze mjumbe wake awe IPM Nanauka hujambo? Nliwah kutaman uwe na uwezo flani hiv na maono ngazinya wizara kama waziri sio ngaz ya misemo kama motiveshen spika-mvizia hela za semina. Nilitaman kuona vision na ajenda zenye...
  3. Kipenzi Changu

    Angella Kizigha ana uwezo wa kuwa Waziri wa Wizara mbili mpaka tatu kwa mpigo

    Huyu mtu ni mashine Anao uwezo wa kuwa waziri wa wizara hata tatu. Napendekeza apewe wizara ya madini, apewe mali asili na wizara ya fedha azichakate fedha vizuri. Kwa uwezo wake mkubwa kabisa wa hali ya juu anaweza hata kuwa Waziri na Katibu Mkuu kwa wakati mmoja. #Chapa watanganyika fimbo...
  4. Meneja Wa Makampuni

    Unahisi Hii Hali ya Bei za Mafuta Kupanda Inaweza Kudumu Mpaka Lini? Na nini Kifanyike Ili Kujinasua na Kupanda Kwa Bei Za Mafuta?

    Unahisi Hii Hali ya Bei za Mafuta Kupanda Inaweza Kudumu Mpaka Lini? Na nini Kifanyike Ili Kujinasua na Kupanda Kwa Bei Za Mafuta? Kupanda kwa bei za mafuta kunaathiri maisha ya kila siku na uchumi kwa ujumla. Ili kujinasua na hali hii, yafuatayo yanaweza kufanyika: 1. Kujenga viwanda vya...
  5. Mshana Jr

    Tuwasimange mpaka waone aibu

    Hakuna haja ya kuwachukulia sheria mkononi au hakuna haja ya kuwapeleka mbele ya sheria Hawa wanafaa kusimangwa Hawa wanafaa kusemwa Hawa wanafaa kusutwa Kule kwetu ukiikosea hatukupeleki kwa balozi wala kwa sungusungu Tunaalika kigoma Tunaalika tarumbeta Tunashona sare ya vijora Tunakufuata...
  6. ndege JOHN

    Reuters na AFP wanafanyaje kazi mpaka kinakuwa chanzo cha kuaminika kwa breaking news?

    Mashirika ya habari makubwa yapo mengi ukitoa BBC na aljazeera Kuna hawa AP na Reuters ila inawezekanaje mpaka wakati mwingine hawa kina BBC na kina aljazeera wananukuu kutoka kwa kina Reuters zile habari za motomoto kabisa ambazo zimetokea hivi punde mfano habari za ndani ya ikulu ya Washington...
  7. adriz

    Nimepiga Ban hawa members mpaka tarehe 11 /5 /2026

    Moja kwa moja. Zamani nilikuwa na mtazamo kuwa kitufe Cha ignore hakina maana na kuweka mtu katika ignored list ni udhaifu ila sasa nimebadili msimamo baada ya kupata kero ya members hao chini na kujaza notifications zisizo na maana kwenye upuuzi , ilikuwa naweza kukuta notification takribani...
  8. A

    KERO Mpaka leo Shirika la hifadhi za taifa TANAPA limeshindwa kulipa Madai ya Watumishi toka mwezi wa 12 mwaka

    Mwezi March mwaka huu, watumishi wanaishi maisha magumu sana. Shirika limeshindwa kulipa madi hayo ya watumishi, mfano fedha ya likizo baadhi ya hifadhi za mwaka juzi hawajalipwa Pia limeshindwa kulipa stahiki nyingine ambazo baadhi ya taasisi ambazo ziko katika Jeshi la Uhifadhi zinalipa...
  9. Insidious

    Usafiri KIA mpaka Moshi/Arusha

    Habari wana forum; Naomba kufahamu kama kuna shuttle/ usafiri wa kushare kutoka KIA kwenda Moshi/Arusha pindi unapotua kiwanja hiki. (Sio airport Taxi) na pia ni bei gani Kuna haja ya kwenda mpaka kule kituoni nje ya kiwanja au humohumo ndani yapo
  10. A

    DOKEZO Tenda za Zabuni za Taka, Kata ya Miburani hazijafunguliwa toka Mwezi Oktoba 2025. Mkandarasi apewa mkataba kinyume na taratibu za vikao

    Mkandarasi mwenyewe wa TAKA Kata ya Miburani ameshindwa kufanya kazi na kuna Hatari ya Magonjwa ya Mlipuko. Mchakato wa tenda umeingiliwa na wanasiasa
  11. comrade_kipepe

    Mpaka siku muafrika aachane na mambo ya dini, ndio siku atakayoendelea

    Wanaosema dini ni nusu ya uchizi hawajakosea. Fikiria, kabla dini haijaletwa mtu mweusi ulikua na maisha yako na namna ya kuomba Mungu kwa dini zako za asili. Baada ya kuletewa dini leo hii wewe ndio unajikuta unaijua zaidi ile dini kuliko walioileta, Kwamba wewe ulie Maneromango ndio unamjua...
  12. Bird Watcher

    KERO Barabara ya maili Moja mpaka Chalinze ni Kero kubwa

    Wakuu hi barabara tunasubiri Nini Kuitanua? Niliona kafulila kamfurusha Mbia ambaye alitaka Kufanya huu mradi na Serikali Kwa mode PPI ajenge halafu a impose Toll fee, Baada ya Kuongea vile hajarudi Tena kutoa way forward Barabara imekuwa kero Kubwa sana Kwa wasafiri Yani Foleni ya Kufa mtu...
  13. Yoda

    Bado mpaka sasa hakuna biashara iliyopewa jina la mfereji wa Hormuz?

    Wabongo wanapenda sana kuzipa biashara zao majina ya vitu maarufu, tutegemee siku za hivi karibuni kuona Hormuz Cafe, Hormuz Barbershop, Hormuz general store, Mgahawa wa Hormuz, Hormuz Bar n.k Nigeria tayari wameshatembea na upepo
  14. M

    Tegemea huu mwaka kuvunja rekodi ya vifo vya wabunge na mawaziri wa CCM wanaweza fika mpaka 30

    Mimi siyo mtabili ila ukweli mtauona hasa tunapoikalibia 2030, kama wewe waziri au mbunge anza kujichimbia kaburi kabisa
  15. Red black

    Old Milwaukwee Beer hii bia ni balaa nimeinywa juzi ila bado nimelewa siku ya tatu hii

    kama ni kichwa panzi utalewa week Moja Old Milwaukee beer ni tamu sana ikipita kwenye koo😂
  16. Tundusami

    Kama kuna mdada ajapata abaya mpaka sasa kuna elfu 30 apa aje achukue.

    Nipo magomeni kagera aje achukue elfu 30 ya abaya. Vigezo na masharti kuzingatiwa 0767903037
  17. R

    Hivi ni wimbo gani ukikuta na stress unaweza ukalia mpaka ukalia tena

    Wimbo unaonifanya kuwaza na kulia tena juu ya matatizo yangu, nikifikiria namna jamii mtazamo wa jamii, ndugu na familia kuwa chanzo cha mimi kusita kufanya maamuzi fulani au chuki yao kwangu kuniumiza The last great american dynasty- Huu wimbo kaimba Tyler Swift na kutolewa 2020, Ni wimbo...
  18. Scared

    Hivi inakuaje mpaka dume Zima linalilia mwanamke aisee hii kitu hainiingii akilini

    Kuna jamaa hapa mtaani ni likubwa miaka 31 Kuna kademu kake kana miaka 18 Sasa sijui imekuaje kamesema waachane Sasa Kuna mshikaji mwingine ndio anatoka nako haka kademu hapa mtaani Sasa huyu jamaa akaanza kukaa nastress na kulia Yaani tupo nae hapa kijiweni anawaza mpaka kuoga haogi ananuka...
  19. M

    Wazee wa Masafa, Dar mpaka Mwanza unaondoka na ipi kati ya hizi ?

    LC 300 LC 300 HILUX NISSAN Y62 PRADO J250 Lx FORTUNER LAND ROVER DEFENDER FORD RANGER LEXUS
Back
Top Bottom