Je, ungependelea kupokea Personalized Movies recommendations ndani ya Email Inbox yako 📨?

Je, ungependa kupokea personalized weekend Movies list kwenye email inbox yako?

  • Yes, Nahitaji

    Votes: 2 100.0%
  • Hapana

    Votes: 0 0.0%
  • Sina uhakika

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    2

Jorge WIP

JF-Expert Member
Jul 12, 2018
3,567
5,288
Weekend ikiwa inakaribia,

Kwa sisi wapenzi wa Movies ambao tunafanya shughuli zetu nyingine mbali mbali huwa inakuwa ngumu kupata Movies sahihi za Kuangalia kwa sababu hatuna vyanzo wala muda wa kuzunguka internet kupata Movies tunazozitaka.

Kutatua hilo kuna hii Movie Newsletter by Cinemalitics inaitwa The “Weekend Watchlist” Hapa utapata list ya movies Mpya moja kwa Moja kwenye email inbox yako.

Email inakuwa na List ya Movies zenye simple descriptive plotline, Trailer link & Downloading links ili udownload moja kwa moja kwa wale ambao hawafanyi streaming.

Majukumu na umri visikutenganishe na mapenzi yako ya Movie. Vyote hivyo vilivyotajwa utapata inbox kwako baada ya ku subscribe.
Kwa kusema hayo kama umevutiwa please! naomba unipatie mtazamo wako kwenye hii “Poll” kwa Kupiga kura.

Machaguo ni haya!

a) Yes, Nahitaji
b) Hapana
C) Sina uhakika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom