Wengi wetu ni wapenzi wa Movies na Series. Streaming services zililetwa kupambana na hali ya watu kutotaka kulipia cable services na pia watu kutumia piracy.
Mwanzoni ilikuwa idea nzuri, lakini baada ya streaming companies kuongezeka na bei zao kupanda, inakuwa ngumu sana (haswa kwa sisi wa 3rd...
It is just series from the book of Regime(Government) kwa vyovyote ni propaganda za kuondoa watu attention zao.
Watu wanapika Movies then we pay to watch it.
Ni salon ya kiume, tayarii nina computer imebaki tu kununua storage bas, Lakin kuna mawazo yamenijia Leo usiku kua kwanini nisiongeze saloon ya pili ambayo kwa eneo naloishi kwa wiki napata 75000-85000.
lengo nisogeze kama mita 200 hivi kutoka hii salon ya hapa iliyopo, nikaona nije kwanza...
Kusambaa kwa internet kunabadilisha namna tunavyoishi na kufanya mambo, kwangu mimi imeondoa matumizi ya ving'amuzi(tv decoders) sasa natumia apps kuwatch kila kitu Tv channels, movies, michezo mbalimbali kwa gharama nafuu.
Hizi ni list ya Apps ninazotumia kwenye Android TV na Android phone...
Unamlinda mtoto nyumbani kwa kutoangalia mamiziki na movies za kipuuzi lakini unakutana nayo kwenye mabus siku ya kusafiri na mtoto. Mamiziki mengi Kwenye mabus ni ya kipuuzi yenye kutikisa makalio, kuvuta sigara.Pia unakuta wanaweka movies zenye sehemu wakifanya ngono.
Kuna siku kwenye bus...
Kwanza, ijulikane lengo siyo kumsagia mtu kunguni ila ni kuonesha madhaifu ili kama itawezekana basi aweze kujirekebisha
Pili, ieleweke kwamba kutafsiri movies ni kazi inayowaingizia watu kipato kwahiyo ile kauli ya kuwaita wezi siyo vizuri
Tatu, siyo watu wote wanaweza kuangalia movie huku...
Hii Ndio Inaitwa hakuna jiwe litaachwa limesimama, kilichobaki labda Trailers Tu !
Ukiomba ushauri wa movies za genre unayoipenda unakuta kila movie ulishaivamia kitambo
Hadi upate muvi mpya ni shughuli pevu
📌 Burudani bila kulipia? Ndiyo, inawezekana!
Kwa mashabiki wa movies na series — kama wewe ni mpenda burudani lakini huwezi (au hutaki) kulipia Netflix, Showmax n.k., basi uzi huu ni kwa ajili yako.
Mimi binafsi natumia zaidi OnStream na HDToday hizi sio lazima VPN — apps kali ambazo...
Hawa jamaa wanaweza kukuwekea movie ya aina moja wakawa wanairudia rudia kwenye chaneli zao feki za movies.
Kila ukifungua chaneli yao ya movie unakutana na movie ulio iona jana
Wajanja sana hawa jamaa😂
Nahitaji kuifanya Tv yangu iwe kama youtube au Netflix lakini niweze kustream video kutoka kwenye laptop yangu bila bando. Laptop nitakuwa naiacha chumbani, niweze kuchagua video moja kwa moja kwenye TV bila kugusa laptop.
Nimechoka kudownload videos kwenye pc kisha niiingieze kwenye flash...
Wanasema msanii ni kioo cha jamii na kama unavyojua kioo hakibuni na kutengeneza taswira kutoka kusikojulikana bali huonesha taswira ya kitu kilekile kilicho mbele yake. Kwa lugha nyepesi ni kwamba kama msanii ni kioo cha jamii basi watuoneshayo kwenye muvi zao ni yale yale yaliyopo kwenye jamii...
Wakuu habari. Naomba mnisaidie hii kitu, kuna movies flani zipo kwenye website flani flani ambazo huwezi kudownload, yani ni kuwatch online tu.
Sasa ningependa kujua naweza kupata website ambayo taweza kupaste url tu ya movie husika then nidownload ? please help me njia yoyote nayoweza kutumia...
Well,
Habari wakuu,
Nina kijiwe changu cha kuuza movies zilizotafsiriwa kiswahili na ma DJ wa bongo.
Sasa na struggle sana kupata movies aisee. Kuna mwamba ananiuziaga ila ananiuzia ghali sana.
Natamani nipate chimbo zuri iwe group au hata Dj mwenyewe directly awe ananiuzia jumla. Huwa...
Nimeona kwenye movie nyingi za kileo wengi sana wamejichora miili yao. Nilidhani labda ni maigizo tu wameamua kutokeza kwa staili hiyo lakini nashangaa hata matukio mbalimbali ambayo ni halisi bado nawaona hawa watu wakiwa wamejichora chora miili
Hivi hili jambo lina maana gani kwa wenzetu...
Anayedaiwa kumiliki na kuendesha tovuti haramu ya kusambaza filamu maarufu ‘FMovies’ mapema mwezi uliopita alitambulishwa baada ya kukamatwa na Polisi wa Mji wa Hanoi nchini Vietnam kufuatia uchunguzi wa muda mrefu.
Phan Thanh Cong, 34, raia wa Vietnam aliyekamatwa na mshirika wake, Nguyen Tuan...
Habari wana JF?
Mwaka 2024 ndo tunaumaliza hivyo. Basi nikaona ni vyema kama tukijikumbushia movies na nyimbo ambazo tumezizingatia sana mwaka huu.
Binafasi, movies nimecheki nyingi ila hizi tano ndo nimeziangalia sana. Sina budi kusema ndo movie zangu pendwa:
Good One
Civil War
Sometimes I...
Labda mimi tu ila kusema kweli 2024 sijakutana na movie kali kabisa ata ya kusema hii naenda Cinemax.
Deadpool & Wolverine? Venom? Joker? Smile 2? Ghostbusters?
Yaani naona kama huu mwaka umetudhurumu.
Mwaka 2025 utatutibu maumivu:
Mad Max: The Wasteland
Mission Impossible
Avatar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.