movie

Movie Movie is a 1978 American double bill directed by Stanley Donen. It consists of two films, Dynamite Hands, a boxing ring morality play, and Baxter's Beauties of 1933, a musical comedy, both starring the husband-and-wife team of George C. Scott and Trish Van Devere. A fake trailer for a flying-ace movie set in World War I entitled Zero Hour (also starring Scott) is shown between the double feature.
Barry Bostwick, Red Buttons, Art Carney and Eli Wallach also appear in both segments, with Harry Hamlin, Barbara Harris and Ann Reinking featured in one each. The script was written by Larry Gelbart and Sheldon Keller.

View More On Wikipedia.org
  1. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Sitazami movie za kibongo ila natamani kuona hii movie mpya trailer yake imenivutia sijui kisa imechezea nje

    Hii ni trailer ya nothing else ya movie toka timamu, imenivutia natamani nione hii movie huenda wamefanya kitu kikubwa
  2. Nafaka

    JamiiForums Tanzania List Ya Movie Sound track Kali ambacho zinaishi

    Kwa wale waliowahi kutazama series ya Jumong hii ni sound track number 7, ni moja ya soundtrack kali wabongo wameicopy na kuitumia kwenye movie nyingi sana Kwa waliotazama series ya Spartacus nadhani mtakuwa mnaikumbuka hii theme nadhani inaiwa Sura theme ni bonge la theme. Hii utaikuta kwenye...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Tamthilia kali kuliko zote bongo. Hii ndiyo kiboko ya bongo movie, lazima uipende

    TAMTHILIA: CERTIFIED PERSON OF MY LIFE (CPL) (MTU ALIYETHIBITISHWA KWA MAISHA YANGU) MWANDISHI/MTUNZI: MANSHYNE Email address: manshinef@gmail.com instagram: @manshynee Sehemu ya 01. DARASANI: Ilikua ni muda wa kipindi cha ujasiriamali kwa Wanafunzi wanaosomea kozi ya biashara. Lecturer...
  4. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Sammo Hong: Kibonge mtaalamu wa movie toka enzi hizo

    Najua wachache wanamjua mtaalmu huyu hasa kwenye filamu za mapigano na ule unene wake lakini anapiga kung fu shida, kacheza na mastaa wengi nao movie tofauti kama Jacky Chan, Bluce Lee, Donny Yen, Jet Lee, na wengine wengi.
  5. SteveMollel

    JamiiForums Tanzania Movies kali za weekend hii (Session 06)

    Ni matumaini yangu mko poa. Ni ‘weekend’ sasa, muda ambao tunapata mapumziko, hivyo basi si vibaya kama tukipata wasaa wa kupakua na kutazama filamus kadhaa kwa ajili ya burudani na pia kujifunza. Bila kupoteza muda, tuzame kwenye hizi hapa ambazo naamini hautajutia ukizipatia muda na bundle...
  6. anonymousafrica

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa kucheka, Pseudobulbar Affect, / PBA kwa walioitazama na wasioitazama movie ya Joker tujuzane hili

    Joker au jokeri, wacheza karata wanampenda na wanamwogopa, akikulalia huyu unahesabiwa una 50, kwenye adhabu unamlambisha mtu 5. Tuachane na huyu Joker anayejulikana kwa jina la Arthur Fleck (jina halisi Joaquin Phoenix) kupitia movie ya JOKER 2019 na movie zingine nyingi zinazomuonyesha kuwa...
  7. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa Unajua hili kuhusu Movie za Eddie Murphy. Twende pamoja

    Wakuuu habari za mida Okey ni hivi Najua unamjua na unampata sana black America (Eddie Murphy) basi leo nakwambia jamaa ana uwezo wa kucheza Character Zaidi ya Tano, ipo hivi leo nakwambia kama umeshaiyona movie ya Coming to America basi mule kacheza mtu tofauti tofauti. Kama umeona yote kuna...
  8. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Kwa Wapenzi wa Movie: Mfululizo Wa Movie za Maze Runner 1, 2 & 3

    Habari za Mida hii Wapendwa Katika Bwana, Natumaini Hamjambo Wakuu Naomba kujua hizo Movie pendwa nilizozitaja hapo juu, Zina uzuri kiasi gani? Kama mmoja wapo ama wewe ushaziona uniambie kama zinapendeza kwa kuziangalia au ni hazieleweki niachane nazo, Maana kwenye Stoo yangu ya kupakua Movie...
  9. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Kuna mastar Hollywood black Americans movie ambazo atacheza lazima ziwe nzuri mfano hawa hapa

    1.Will Smith 2. Samuel Jackson Nk. Ebu taja unaowakubali
  10. Wakujilipua

    JamiiForums Tanzania Je, ni movie gani ulizowahi kuziona na ukatamani ziendelee?

    Kama mpenzi wa movie najua utakua umeangalia movie nying sana na kwa bahati mbaya nyingine ziliishia hapo hapo na nyingine zilipata mwendelezo sasa je tueleze ni movie gani iliyo kufurahisha sana mpaka ukatamani iendelee. Kwangu mimi ifuatayo ni list ya...
  11. Mosan

    JamiiForums Tanzania Movie ya Green Book

    Kutokana na tukio lilotokea USA la mmarekani mweusi Floyd. Ebu fanya kupakua au kutafuta movie iitwayo GREEN BOOK ilitoka mwaka 2018 ni drama flani nzuri sana. Kama kuna ingine unaijua unaweza kushare. Link iyo Movie: Green Book (2018)
  12. P

    JamiiForums Tanzania Wasanii Wa Bongo Movie Wakiongozwa na Steve "rais wao" Walimchongea Idris

    Rais wa Wasanii akishirikiana na baadhi ya wasanii ndio waliomchongea Idris Sultani kwa madai kuwa anajifanya mjanja kila mara anaandaa vichekesho vya kuwasema viongozi , mpango mzima wa kuhakikisha anakamatwa walifanya waao wakishirikiana na RC ili tu kumkomoa Pia wanatumia staili hiyo ili...
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Movies: Nimeamua kukesha leo nipakue movie, wakuu naomba movie zile latest kali nianze nazo kwa usiku wa leo

    Wakuu habarini .. Kwa wapenzi wa movie naombeni mnitajie movie kali latest zinazohit kwa kipindi hiki ,,ili usiku nianze nazo maana sina info. Juu ya movie yoyote kali zilizo be released.. Msaada wakuu.. Category za movie ziwe ; 1. Action 2. Romance 3. Thriller 4. War 5. Crime Kuhusu...
  14. kidadari

    JamiiForums Tanzania Hii Movie kali sana !! Ntapata wapi mwendelezo wake?

    Hii movie imenifurahisha sana... Natamani kuona mwendelezo wake... Plz plz mwenyenayo jamani
  15. H

    JamiiForums Tanzania Naomba movie yenye storyline nzuri

    Kama ulivyosoma kwenye head lakini hiyo movie isiwe na genre ya animation tu
  16. H

    JamiiForums Tanzania Naomba movie ya action yenye story nzuri

    Nipe list ya movie za action zenye story nzuri za kuvutia. Nafikiri mmenielewa maana Kuna wengine wana vichwa vigumu ya kuelewa mada.
  17. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Horror movie!

    Uzi huu kwa ajili ya kutaja character wa movie yoyote ile aliekuwa anafanya mauaji! Bila kosa lolote, yani yeye anamvizia mmoja mmoja anaua! Mimi naanza kuna Jason yeye movie zake ni za Friday 13! Harafu kuna Michael Myers mzee wa kisu anaua huyo balaaa! Ebu tiririka tuone character wako...
  18. Martin Kemosabe

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kudownload Movie na Series za Kifilipino

    Kuna series nazitafuta mfano kama Asintado Pusong Ligaw na nyingine nyingine nyingi tu za kifilipino. Nimezunguka huko kutafuta jinsi ya kuzidownload naona chenga tu sielewi kitu naomba mwenye uzoefu na kujua namna ya kufanya ili niweze fanikisha hili USER=403420]Numbisa[/USER] naomba upite...
  19. Johnny Sins

    JamiiForums Tanzania Filamu ya John Wick

    Mkongwe kwenye kazi za kimafia na muuaji wa kukodiwa asie na mipaka john wick,anastaafu hiyo kazi baada ya kuoa na kutulia na mkewe. Baada ya mkewe kuugua ghafla na kufa, John anabaki kwenye huzuni kubwa na maisha yakaendelea akiwa na zawadi ya mbwa alioachiwa na mkewe kama kumbukumbu. Mtoto...
  20. Johnny Sins

    JamiiForums Tanzania Movie ya Terminator

    Aliletwa kutoka sayari ya mbali akiwa kwenye mwili wa binadamu kwa nje,ila kwa ndani ni cyborg muuaji..katengenezwa na vyuma maalumu vinavyomuwezesha kufanya anachojisikia hapa duniani.. Lengo ni kumuua sarah connor,kwa sababu hao waliomleta arnord kutoka mwaka 2029 mpaka mwaka 1984 kwa kazi...
Back
Top Bottom