movie

Movie Movie is a 1978 American double bill directed by Stanley Donen. It consists of two films, Dynamite Hands, a boxing ring morality play, and Baxter's Beauties of 1933, a musical comedy, both starring the husband-and-wife team of George C. Scott and Trish Van Devere. A fake trailer for a flying-ace movie set in World War I entitled Zero Hour (also starring Scott) is shown between the double feature.
Barry Bostwick, Red Buttons, Art Carney and Eli Wallach also appear in both segments, with Harry Hamlin, Barbara Harris and Ann Reinking featured in one each. The script was written by Larry Gelbart and Sheldon Keller.

View More On Wikipedia.org
  1. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Movie Zone: katika sub-movies au movies ni actor/ actress/ Director gani ukigundua kahusika humo ndani lazima uitafute??

    Kwa ukweli mimi kama mdau wa movies nikiri kuwa kuna waigizaji au waongoza movies ni magenious, ni talented haswa na hii hufanya nifuatilie sana kazi zao kwa sababu wanajua nn wanafanya. Kati ya actors ninaowakubali sana ni Henry Cavill, Ryan Raynold hawa jamaa kama vipaji wanavyo sana.
  2. He Is Him

    JamiiForums Tanzania Nahitaji list ya Movie za Magenious

    JMT Wakuu nimetokea kuzipenda movie za magenious( i mean sterling ndo genious mwenyewe.) ni nzuri saana Baadhi ya movie/series nilizoziangalia ni 1.SCORPION 2. YOUNG SHIELDON nimetokea kuzikubali hizi movie Sasa naombeni mnipe list ya movie za maGENIOUS kama hizo. Nawasilisha
  3. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Hakuna movie imewahi nihuzunisha kama hii

    Grave of the fireflies. Animation ya kijapan ya mwaka 1988. Kijana mdogo akiwa na mdogo wake anapambana kusurvive wakati wa WWII. Da'Vinci Paula Paul mmewahi icheki hii.
  4. Richmoto Kushmoto

    JamiiForums Tanzania Without Remorse: Hii movie ni hatari iliyojaa balaa zito

    Without Rumorse Kikosi cha wanajeshi kikiongozwa Liutenat commander wa kike wakiwa kwenye mission Huko Alleppo - Syria wakishirikiana na kwaajili kwa kumuokoa agent wa CIA anayedaiwa kushikiriwa na serikali ya syria baada ya mission kumalizika na kumpata mtu wao Lakini Mwanajeshi senior...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania muda umefika tuwasamehe Bongo Movie

    Nawasalimu kwa jina LA JMT, moja kwa moja kwenye mada Tangu kuondoka kwa Kanumba ni kama aliondoka na Bongo Movie pamoja na hayo hata kipindi cha Kanumba uongo ulikithiri mno kwenye filamu, ikawa msichana mzuri yeyote anavalishwa kaguo kafupi ndio main character vijana na hereni zao kina Hemedi...
  6. Richmoto Kushmoto

    JamiiForums Tanzania Maliza Weekend ya na movie hizi...

    Enter the fat dragon (donnie yen) Mortal kombat 2021 rate 7/10 The little thing (David Washingtong) 8/10 The marksman (liam nelson huyu mzee kiboko alohoo ) rate 9/10. Black widow rare 7/10 Out the wire :rate 7/10 Without rumorse (Tom clancy) rate 8/10 Nobody rate 8/10 Undisputed 2.3.4 2.22...
  7. Tea Party

    JamiiForums Tanzania Umeicheki IRIS? Hizi ni facts 10 usizozijua kuhusu series hiyo

    Nakumbuka mara ya kwanza kuona tamthiliya ya Iris ilikuwa ni ITV pale mwaka 2013 kama sio 2014 kipindi hicho hata smartphone sina. Nilivyoiona tu mara ya kwanza sijui ilikuwaje lakini tangu hapo sikuacha kuifatilia mpaka episodes zote 20 zilivyoisha.Nakumbuka nilikuwa nachelewa kulala siku...
  8. He Is Him

    JamiiForums Tanzania Movie gani ya kibongo hata uirudie mara nyingi huwezi ikinai.

    Kuna wakati bongo movie wanatengeneza movie nzuri saana mpaka unataman uiangalie mara kwa mara Kwa mfano mimi huwa napenda movie za tiny white&ringo(kamanda mstaafu,n.k) huwa siwachoki kuwaangalia. Je movie gani ya kibongo kwako ilikuwa ni best hata ukiirudia huwezi ikinai.
  9. Castr

    JamiiForums Tanzania Movies in Pictures

  10. He Is Him

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu movie ya TENET

    WAKUU MPO POA Leo nilikuwa na watch movie inaitwa TENET. Kusema la ukweli hii movie sijaielewa. Ningependa kwa mkuu aliyebahatika kuiangalia just anipe hata kasummary kidogo kuhusu hii movie.
  11. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Bora Matumizi ya Projector badala ya TV kuangalizia movie

    Wadau kutokana na kuwahi ibiwa Tv zangu za Samsung mara 3 nyakati tofauti tofaut sasa nmeamua kuachana na kununua TV. Sasa nawaza kununua Projector. Naomba ushauri kwa projector ya kufaa kwa ajili ya kuangalizia movie. Nahitaji Full HD, iwe 4K, 3D ,High Resolution. But katika hayo yote naomba...
  12. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Movie: Nobody

    Nimeipenda hii movie. Humu jamaa anaonekana kama mtu wa kawaida tu, familia na marafiki wanamchukulia poa. Kumbe alikuwa ni mbad na kaamua kutulia. Russian mafia walipoingilia familia yake waliuona mtiti.
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Msanii gani hauchoki kutazama movie zake

  14. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Majina ya movie kali

    Habari za weekend wakuu. Bila kupoteza mda naomba kujulishwa majina ya movie kali hasa zinazoelezea historia ya kweli either ya mapinduzi au historia tu ya kitu fulani.Pia naomba kujulishwa movie gani kali za kivita au ngumi. ASANTENI SANA. NB: MOVIE ZA KIJASUSI NAPENDA ZAIDI.
  15. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Hii movie ya kichina naitafuta sana

    Kuna jamaa mmoja anasafiri safiri. Akikuta shule ya Kungfu anapiga wote hadi master. Akiulizwa ametoka wapi anajibu kuzimu na amekuja kuwafundisha kungfu. Alienda shule moja alipiga master na wanafunzi wake. Master akawa amepoteana anaishi pagalani na wanafunzi wake watatu wakatawanyika kwenda...
  16. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Dune: Naisubiria hii movie kwa hamu kubwa

    Hii movie inatokana na kitabu kinachoitwa Dune kilichoandikwa na Frank Albert mwaka 1965. Kitabu kimebase kwenye sayari moja inayoitwa Arakis ambapo kiungo adimu na ghali kiitwacho melange kinapatikana. Lakini sayari hiyo ni jangwa na kuna minyoo wakubwa sana na hatari wanaoishi chini ya...
  17. Quavohucho

    JamiiForums Tanzania Tafuta jina la movie hapa

    Kama title inavojieleza ningependa hii thread iweze kutusaidia kupata majina ya movie mbali mbali ambazo tumewai kuangalia, kusikia au kusimuliwa afu ukasahau au kushindwa kujua jina movie husika na ambao watakuwa wanaijua watatupa jina la movie hisika kulingana na scene zitakavo elezewa...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Bongo Movies wengi ni vilaza, si ajabu wameilaza sanaa ya uigizaji. Wasomi ingieni huko

    BONGO MOVIE WENGI NI VILAZA, SIO AJABU WAMEILAZA SANAA YA UIGIZAJI Anaandika, Robert Heriel Hapana shaka sanaa ya Uigizaji kwa sasa imelala Usingizi wa Pono, imelala fofofo na waigizaji wake wanakoroma. Wapo kwenye ndoto za majinamizi wabaya wanaowakimbiza kwenye mitaro huko usingizini. Tangu...
  19. BRN

    JamiiForums Tanzania Huu ndio Mzigo wangu wa Movie

    Wapendwa habari ya mapumziko ya Ijumaa Kuu. Napenda kuwashirikisha mzigo wa Movies za ukweli nilizo nazo ili ukipata muda hasa kipindi hiki cha mapumziko marefu uzitazame(sema ndio hivyo bando ziko juu) Hizi ziko kwenye simu yangu hivyo nazitazama popote pale.(uwezo wa simu..internal Gb 256 na...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Movie ya oldguard yaweza kuwa ni true Story

    Habar wadau !!! Jana usiku nilipata wasaha kuchek hii movie old guard aisee km ni swala la movie nasema sema wazungu wametuacha mbali sn kuanzia story ilivyotungwa camera actions na hata maongez ktk movie. Nimechek kwa mqkin hii movie iko poa na ina story moja nzur sn japo nilikasirika...
Back
Top Bottom