Kwa Wapenzi wa Movie: Mfululizo Wa Movie za Maze Runner 1, 2 & 3

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
May 3, 2020
2,416
3,911
Habari za Mida hii Wapendwa Katika Bwana, Natumaini Hamjambo

Wakuu Naomba kujua hizo Movie pendwa nilizozitaja hapo juu, Zina uzuri kiasi gani?

Kama mmoja wapo ama wewe ushaziona uniambie kama zinapendeza kwa kuziangalia au ni hazieleweki niachane nazo, Maana kwenye Stoo yangu ya kupakua Movie huwa nazipita tu. Mkiniambia zinahusu nini itakuwa Vema🙏
 
Maze runner ni mtiririko wa Movie nzuri sana.
Ni Science Fiction movie ,Kwahiyo kama wewe ni mpenzi wa movie za Sci -Fi ni chaguo safi.
-pia kama ni mpenzi wa movie za kushtua akili basi maze runner inakufaa.
-mambo ya kukimbia kimbia maana mda wote wao wanatafutwa

Ni movie inayowahusu vijana ambao wamewekwa kwenye hio Maze ambayo imetengenezwa na secret society inaitwa (WICKED) baada ya Dunia kukumbwa na kirusi ambacho kinasababisha unakua Mtu wa ajabu ajabu kama zombie (Wenyewe wanaita Crank) ambacho kimeshaathiri dunia nzima kasoro mji mmoja tu ambao hao wicked wameutengeneza (Safe zone) humo kwenye huo mji ndipo wanafanyia experiments zao za kujua dawa ya Kutibu hicho kirusi kuokoa dunia.
Hao vijana wa kazi gani/na wamekubwa na mabalaa gani utajionea humo humo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom