Je, ni movie gani ulizowahi kuziona na ukatamani ziendelee?

Wakujilipua

JF-Expert Member
May 5, 2018
1,590
1,391
Kama mpenzi wa movie najua utakua umeangalia movie nying sana na kwa bahati mbaya nyingine ziliishia hapo hapo na nyingine zilipata mwendelezo sasa je tueleze ni movie gani iliyo kufurahisha sana mpaka ukatamani iendelee.

Kwangu mimi ifuatayo ni list ya ya movie ninazotamani zipate kuendeleaa au kama zina mwendelezo usisite kushare nasi hapa.
[1]Extraction
[2]The great wall
[3]Bad genius
[4]In the name of the king
[5]Maze runner
[6]The euronauts

Hizi nazo niliishia hapo sijapata kuona zikiendelea [1]Resdental Evil kuanzia 1,2,3,4,5,6,7........
[2]Pirate of the caribbean kuanzia 1,2,3,4,5,6,7,8
 
kama mpenzi wa movie najua utakua umeangalia movie nying sana na kwa bahati mbaya nyingine ziliishia hapo hapo na nyingine zilipata mwendelezo sasa je tueleze ni movie gani iliyo kufurahisha sana mpaka ukatamani iendelee. kwangu mimi ifua tayo ni list ya ya movie ninazotamani zipate kuendeleaa au kama zina mwendelezo usisite kushare nasi hapa. [1]EXTRACTIION [2]THE GREAT WALL [3]BAD GENIUS [4]IN THE NAME OF THE KING [5]MAZE RUNNER [6]THE EURONAUTS HIZI NAZO NILIISHIA HAPO SIJAPATA KUONA ZIKIENDELEA [1]RESDENTAL EVIL KUANZIA 1,2,3,4,5,6,7........ [2]PIRATE OF the CARIBBEAN KUANZIA 1,2,3,4,5,6,7,8
Van Helsing
Kingsman
The Shawshank Redemption
John Carter
Don't Breathe
3 Idiots
300: Rise of Empire


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Van Helsing
Kingsman
The Shawshank Redemption
John Carter
Don't Breathe
3 Idiots
300: Rise of Empire


Sent using Jamii Forums mobile app
300 bc RISE OF EMPIRE sijui walikwama wapi kuendelea wakati naona walitoa mbili tu na bado sijaona nyingine na VAN helsing [mzee wa X MEN] nae haikupaswa kuishia pale ingeendelea naona ingelikua fresh
 
Jamaa anapewa dili ya kumuokoa mtoto wa gaidi flani aliyetekwa nyara wakati baba yake amefungwa gerezani. Process nzima ya kumuokoa huyo mtoto hadi anafanikiwa iko very interesting japo mwisho starring anafariki hapo ndio sijaelewa.
hapo mwisho wa movie ndipo wengi inatupatia utata #iendelee#
 
300 bc RISE OF EMPIRE sijui walikwama wapi kuendelea wakati naona walitoa mbili tu na bado sijaona nyingine na VAN helsing [mzee wa X MEN] nae haikupaswa kuishia pale ingeendelea naona ingelikua fresh
Angeendelea kuingia nchi nyingine kupambana na Vampire wa huko.

Ila mkuu lile MONSTER lilikuwa linaenda wapi pale mwishoni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom