Ulikuwa Unajua hili kuhusu Movie za Eddie Murphy. Twende pamoja

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
May 3, 2020
2,416
3,911
Wakuuu habari za mida

Okey ni hivi Najua unamjua na unampata sana black America (Eddie Murphy) basi leo nakwambia jamaa ana uwezo wa kucheza Character Zaidi ya Tano, ipo hivi leo nakwambia kama umeshaiyona movie ya Coming to America basi mule kacheza mtu tofauti tofauti.

Kama umeona yote kuna sehemu waliingia saloon sasa mule wote ukimtoa yule rafiki ake walitoka nae kwenye ufalme wa babake, waliobaki wale wazee ni yeye hizo ndo kacheza nafasi hizo

Kuanzia Yule mzee kinyozi, babu mpenda kula, mzee wa kusoma kitabu, hizo ni nafasi pia kacheza, ukitoa hapo kuna sehemu kama kanisani hivi kuna mchungaji anaongea sana basi hiyo pia ni nafasi yake.

Kwa kumalizia tu nikwambie tena Movie yake nyingine ya The Nut Professor mule kacheza pia nafasi kama tatu hivi kuanzia professor nut mwenyewe na mama yake, na nafasi ya kwake peke

Na jamaa ana kawaida ya kucheza movie zake tofauti kwa Style hiyo jaribu kuchunguza.
 
Coming_to_America_2_758_426_81_s_c1.jpg

maxresdefault.jpg
b0f512908408ec8df53b5ca2ea016ef7.jpg
MV5BMTc5MDcxNTcwNF5BMl5BanBnXkFtZTcwNDgyMDExNA@@._V1_.jpg
 
Back
Top Bottom