List Ya Movie Sound track Kali ambacho zinaishi

Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
12,156
31,028

Kwa wale waliowahi kutazama series ya Jumong hii ni sound track number 7, ni moja ya soundtrack kali wabongo wameicopy na kuitumia kwenye movie nyingi sana

Kwa waliotazama series ya Spartacus nadhani mtakuwa mnaikumbuka hii theme nadhani inaiwa Sura theme ni bonge la theme.

Hii utaikuta kwenye movie ya Gladiator hii inajulikana kama Now we are free, Kaiandika na kuiproduce Hans Zimmer ila kaimba Richard Gerrad. Lugha iliyomo humu ni ya kubuni kama ambavyo Anya aliimba lugha ya kubuni kwenye May it be ya Lord of the ring kwa kutumia lugha ya kubuni

Hii utaipata kwenye Mini series ya THe Lord of the rings, kaimba mwanamama Anya yule ambaye nyimbo zake zinasikika kwenye kipindi cha Bango. Huyu mwanamama anaimba balaa japo inasemekana ni muabudu shetani na nyimbo zake zinadaka balaa.

Hii utaipata kwenye Game of thrones season ya 8 epsode nadhani ya 9 wakati wakisubiri kupambana na the Night King. Ni one of the best soundtracks za GOT na hiyo ilikuwa among the best epsode ya wapenzi wa GOT maana hakuna aliyejua kama atapona kwenye battle na the night walkers.

Hii ni soundtrack yenyewe ya GOT wakati show inafunguliwa na kufungwa.

Hii emotion theme inajulikana kama Latika theme, iko kwenye slam dog millionare ni humming theme

James Hormer ndiye mtengenezaji mkuu wa themes nyingi za Titanic na katisha.
Katika utengenezaji wa movie, themes zinacost sana yani mtengeneza theme za movie naye anashiriki kama director wa movie inabidi wakae na direct watazame movie waamue nini la kuweka siyo kama bongo wanachukua theme yoyote wanatupia hata kama ya movie nyingine, au wanaweka kinanda hakiedani na moment. Unakuta theme ni ya mapenzi inapigwa theme over movie la kivita.
 
Kuna compositions ukizisikia unaweza baki mdomo wazi. Kama hiyo ya JUMONG ni hatari sana na ilikuwa inatumika kwenye matukio yanayogusa. Iko kipeke yake sana, na ina mahadhi ya kimashariki ya mbali. Binafsi nazikubali sana soundtracks zifuatazo:

The Good, The Bad and The Ugly

Dance of the Nights (Hii ni classic ambayo niliifahamia nyumbani, ikaja kutumika kwenye Batman na Watchmen)

O Fortuna ile ya Carl Off (Hii nayo ni classic, Imetumika kwenye movie kibao sana kama G-Force)

I'm alive (Ilitumika kwenye Stuart little)
 
Nimekuja mbio kuorodhesha soundtrack za Game Of Thrones.
Ramin Djwad huyu mtu ni hatari sana kwa kutengeneza soundtracks.
Ukitaka ujue sikiliza nyimbo za Game of thrones..ndio maana muvie industries zinamtumia sana
kwenye GOT nakubali sana hizi
  • The Last of stark
  • Mhysa
  • The Children
Lakini pia kuna muvi zenye soundtrack nzuri kama
  • Blackpanther All the star
  • Deadpool 2 We belong
  • Tere Nam
  • Midnight Sun etc
  • Moana ndio baba lao
 
Kwa wale waliowahi kutazama series ya Jumong hii ni sound track number 7, ni moja ya soundtrack kali wabongo wameicopy na kuitumia kwenye movie nyingi sana

Kwa waliotazama series ya Spartacus nadhani mtakuwa mnaikumbuka hii theme nadhani inaiwa Sura theme ni bonge la theme.

Hii utaikuta kwenye movie ya Gladiator hii inajulikana kama Now we are free, Kaiandika na kuiproduce Hans Zimmer ila kaimba Richard Gerrad. Lugha iliyomo humu ni ya kubuni kama ambavyo Anya aliimba lugha ya kubuni kwenye May it be ya Lord of the ring kwa kutumia lugha ya kubuni

Hii utaipata kwenye Mini series ya THe Lord of the rings, kaimba mwanamama Anya yule ambaye nyimbo zake zinasikika kwenye kipindi cha Bango. Huyu mwanamama anaimba balaa japo inasemekana ni muabudu shetani na nyimbo zake zinadaka balaa.

Hii utaipata kwenye Game of thrones season ya 8 epsode nadhani ya 9 wakati wakisubiri kupambana na the Night King. Ni one of the best soundtracks za GOT na hiyo ilikuwa among the best epsode ya wapenzi wa GOT maana hakuna aliyejua kama atapona kwenye battle na the night walkers.

Hii ni soundtrack yenyewe ya GOT wakati show inafunguliwa na kufungwa.

Hii emotion theme inajulikana kama Latika theme, iko kwenye slam dog millionare ni humming theme

James Hormer ndiye mtengenezaji mkuu wa themes nyingi za Titanic na katisha.
Katika utengenezaji wa movie, themes zinacost sana yani mtengeneza theme za movie naye anashiriki kama director wa movie inabidi wakae na direct watazame movie waamue nini la kuweka siyo kama bongo wanachukua theme yoyote wanatupia hata kama ya movie nyingine, au wanaweka kinanda hakiedani na moment. Unakuta theme ni ya mapenzi inapigwa theme over movie la kivita.
Tuje ktk sauti na matamu, mazito ya kibabe...ambazo unazikubali.
 
Soundtrack ya The Delta Forces toka kwa mjomba wangu wa ubatizo Chuck Norris itabaki kuwa bora zaidi kwangu
 
Tuje ktk sauti na matamu, mazito ya kibabe...ambazo unazikubali.
Mimi napenda movie zenye maadhi ya kizamani zaidi ndiyo maana hata nilizo orodhesha hapo zina taste ya zamani.
Series zangu pendwa ni
Game of thrones
spartacus
Jumong
Chuno
Movies ni
300 spartan
300 rise of empires
gladiator
troy
Series ambazo ziko modernized ni
Power
American Odessy
Queen of the south
Gang related
Homeland
Movies modernized ni nyingi ila baadhi ni
Franchise yote ya Jasson Borne'
frontier
Hitman
nimetazama movies kibao kiasi kwamba nimezisahau ila siku hizi ni mara chache kutazama movie nikaipenda
 
Soundtrack ya The Delta Forces toka kwa mjomba wangu wa ubatizo Chuck Norris itabaki kuwa bora zaidi kwangu
Ile ni hatari sana jamaa alikuwa katisha sana enzi hizo nimemmiss movie za msituni
 
Soundtrack ya The Delta Forces toka kwa mjomba wangu wa ubatizo Chuck Norris itabaki kuwa bora zaidi kwangu
Ile ya delta force ni nomaa..haswa pale anapofanya maajabu na pikipiki ilee kile kisound track kinasindikiza vizuri sana
 
Kupitia The Great Gatsby chini ya Baz Luhrmann x Gotye - “Heart's A Mess”

Pia Florence kwa ushirika na The Machine kupitia The Great Gatsby ikapatikana - “Over The Love”

The Bryan Ferry Orchestra wakitayarisha muziki na Emeli Sande akitia sauti katika - “Crazy In Love” ndani ya The Great Gatsby.

Baz Luhrmann akitayarisha kwa ushirika na Jack White - “Love Is Blindness” moja ya mapigo ya rock x country ndani ya The Great Gatsby.

Bryan Ferry x The Bryan Ferry Orchestra ndani ya The Great Gatsby wakateremsha - “Love Is The Drug”

Luhrmann akaendeleza mtiririko wa mapigo ya kukata na shoka kwa ushirika na The XX wakaweka - “Together”, hii Soundtrack imechukua tuzo katika mataifa ya Uswissi, Uswidi, Brasil, Japan, Australia, Uingereza, Denmark, Ujerumani kwa uchache

Nero chini ya OST ndani ya The Great Gatsby ikapatikana - “Into The Past” moja ya muziki wa kielektroniki uliochukua DJ Mag Awards

Katika filamu ya Shurbi Pencere mwanadada Hande Yener akaweka “Pencere” yenye maana ya Dirisha kwa Kituruki ikitayarishwa vyema na Umit Küzer na Altan Çetin

Altan Çetin na Umit Küzer wakitayarishwa “Kus” sauti yake Hande Yener ikasimamia filamu ya Otrugu Yambas

De La Ghetto, Daddy Yankee, Ozuna na Chris Jeday kupitia Fast 7 (Fast & Furious) wakaweka - “La Formula” iliyotayarishwa na Chris Jeday, Gaby Music, Dimelo V na De La Ghetto

Pitbull x J Balvin na Camila Cabello - “Hey Ma!” Kupitia Fast & Furious ikitayarishwa na Pharrell Williams na Sky Rompiendo

Kupitia filamu ya Downtown, mwanadada Anitta na J Balvin - “Downtown” ikitayarishwa na Sky Rompiendo na Pharrell Williams.

Hey! Nafaka Hans Zimmer ananifollow 😊
 
Avengers - Theme Song, Dear Mr. Fantasy, Supersonic Rocketship.

Guardians Of The Galaxy - Come And Get Your Love.

Black Panther - All The Stars, Wololo, Berebere.

Star Trek - Theme Song.

Pirates Of The Carribean - 2 Cellos.

Vampire Diaries - A Drop In The Ocean.

Avatar - I See You.

Titanic - My Heart Will Go On.

Empire - All Songs.

Frozen - All Songs.

Tangled- When Will My Life Begin, I See The Light, Mother Knows Best, I’ve Got A Dream.

Moana - All Songs
 
Avengers - Theme Song, Dear Mr. Fantasy, Supersonic Rocketship.

Guardians Of The Galaxy - Come And Get Your Love.

Black Panther - All The Stars, Wololo, Berebere.

Star Trek - Theme Song.

Pirates Of The Carribean - 2 Cellos.

Vampire Diaries - A Drop In The Ocean.

Avatar - I See You.

Titanic - My Heart Will Go On.

Tangled- When Will My Life Begin, And At Last I See The Light.

Moana - All Songs
Hii Wololo ni ya Babes Wodumo na Mampintsha?
 
Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom