Movie ya 22 Mile

Johnny Sins

JF-Expert Member
Nov 4, 2019
2,538
3,832
Image may contain: 3 people, text that says 'LAUREN COHAN MARK WAHL BERG IKO UWAIS OPTION DIPLOMACY OPTION2: MILITARY MEET OPTION 3 FROM THE DIRECTOR OF 'LONE SURVIVOR' MILE 22 IN CINEMAS 23AUGUST SU6SC HBR fGSCMOVIES STX'

Meli iliyobeba cesium..kemikali zenye sumu zinazoweza kutengeneza silaha za hatari na kuua mamia ya raia wasio na hatia..

..Ilikuwa inahitajika kuwasili..na ilihitajika kuzuiwa isiwasili..

..Nani wa kuzuia!!..

...Ni complete American Black Operations agent..Binadam mwenye hasira za kwenda na muda kwa kila alilolitaka..

..Hakumbuki mara ya mwisho kushindwa vita ni lini..Kila mahali palipohitajika amani kwa mtutu wa bunduki..ye ndo alijiona anafaa kwenda..

..James Silva..akaongoza timu yake aliyoiita Overwatch..wakafanya walichozoea kufanya na mission ikakamilika kiume..

..Walishasahau kuhusu hili..wakajua wameshamaliza..

..Miezi 16 baadae...Li noor..askari wa ki indonesia alijisalimisha kwenye geti la ubalozi..

..Jeshi halikuchukua muda kumfikisha sehemu husika..na alipoulizwa sababu ya kuwa pale ubalozini..

..Alijibu anahitaji kuwapa maelezo ya siri..na ili atoe maelezo hayo..alitaka kubadilishana na uhuru wake..

..What a nonsense!!..

..Hawakumuelewa anachotaka..na yeye hakutaka kupoteza muda wa kuwaelewesha...aliomba kuonana na special agent anaehusika na nyaraka za siri kwenye kitengo cha upelelezi..

..Akaletewa..James Silva..

..Noor akawapa parcel box yenye maelezo ya siri kuhusu meli ya mwisho kutua..yenye secium ndani yake..

..Yaani kesi ya sumu waliyoamini wameitatua mwaka mmoja na nusu nyuma..ilikuwa imekuja mezani kwao kama kesi mpya..

...Na noor ndo mwenye password kichwani za jinsi ya kuifungua box hiyo..shida yake ni moja tu..

..Awafungulie box..ila wampandishe ndege na ulinzi wa kutosha mpaka kwao...anahitaji hilo tu..

..James silver akaita team yake..akamfunga pingu noor..akapewa na muda wa kuumfikisha alipotakiwa kwenda..

...Wakampa jina kuwa ye ni mzigo kama mizigo mingine inayotakiwa kufika kwa wenyewe mapema...

..James silver anajiamini kupita kiasi..akawa amesahau kuwa mzigo huu sio kama mizigo mingine..

...Kikundi cha waasi kilikuwa kinahiitaji kichwa cha noor kwa gharama yoyote..hakutakiwa kufika anapoenda alitakiwa kufia njiani..na wote wanaomsindikiza..

..Ni maili 22 kutoka mwanzo wa safari mpaka mwisho walipotakiwa kwenda..

..Ni katikati ya barabara walipotoka mbali na wanapokwenda hawajafika..

...James silva alishuhudia sehemu ya vipande vya miili ya marafiki zake zikibadilishwa jina..simu haikupatikana kwenda makao makuu kuomba msaada..

..Waliwekwa katikati..na kila njia ilichafuka risasi..

..Ni kufa kwa kukubali..au kupambana mpaka damu ya dhahabu..

..James silva kama kiongozi..kama mwanajeshi asiependa kushindwa..aliuhitaji msaada kwa hali na mali..

..Na msaada haukuja..njia pekee ilyobaki ni moja tu..

...Ni kufa kishujaa..

..Noor kama mateka aliefungwa mikono..aliona wanaomsindikiza wanahitaji msaada..na alijua alihitajika kufanya jambo..

..Akawaomba wamfungue pingu awasaidie..wakahisi anataka kuwatoroka,maana yeye ni mzigo waliokabidhiwa wao..

..Akawaambia najua mi ni mzigo wenu..ila sipaswi kufa nikiwa nimefungwa mikono..

..Wakamfungua..

..Ni Iko uwais..fundi wa ki indonesia mwenye mapigo ya Penchak Silat..kickboxing ya ki thailand ilikuwa imelala kwenye mikono yake..

..James silver akampa bunduki..noor akakataa..akamwambia wote tutaua sawa tu..we tumia bunduki mi ntatumia mikono..

..Ikapigwa vita ya mchanganyiko wa martial arts na mashine gun..

..Huku wakisoma muda na kukabidhiana majukumu..noor akawa sio mzigo tena..akawa ni sehemu ya kikundi cha overwatch..

...#22 MILE
 
Image may contain: 3 people, text that says 'LAUREN COHAN MARK WAHL BERG IKO UWAIS OPTION DIPLOMACY OPTION2: MILITARY MEET OPTION 3 FROM THE DIRECTOR OF 'LONE SURVIVOR' MILE 22 IN CINEMAS 23AUGUST SU6SC HBR fGSCMOVIES STX''LAUREN COHAN MARK WAHL BERG IKO UWAIS OPTION DIPLOMACY OPTION2: MILITARY MEET OPTION 3 FROM THE DIRECTOR OF 'LONE SURVIVOR' MILE 22 IN CINEMAS 23AUGUST SU6SC HBR fGSCMOVIES STX'
Meli iliyobeba cesium..kemikali zenye sumu zinazoweza kutengeneza silaha za hatari na kuua mamia ya raia wasio na hatia..

..Ilikuwa inahitajika kuwasili..na ilihitajika kuzuiwa isiwasili..

..Nani wa kuzuia!!..

...Ni complete American Black Operations agent..Binadam mwenye hasira za kwenda na muda kwa kila alilolitaka..

..Hakumbuki mara ya mwisho kushindwa vita ni lini..Kila mahali palipohitajika amani kwa mtutu wa bunduki..ye ndo alijiona anafaa kwenda..

..James Silva..akaongoza timu yake aliyoiita Overwatch..wakafanya walichozoea kufanya na mission ikakamilika kiume..

..Walishasahau kuhusu hili..wakajua wameshamaliza..

..Miezi 16 baadae...Li noor..askari wa ki indonesia alijisalimisha kwenye geti la ubalozi..

..Jeshi halikuchukua muda kumfikisha sehemu husika..na alipoulizwa sababu ya kuwa pale ubalozini..

..Alijibu anahitaji kuwapa maelezo ya siri..na ili atoe maelezo hayo..alitaka kubadilishana na uhuru wake..

..What a nonsense!!..

..Hawakumuelewa anachotaka..na yeye hakutaka kupoteza muda wa kuwaelewesha...aliomba kuonana na special agent anaehusika na nyaraka za siri kwenye kitengo cha upelelezi..

..Akaletewa..James Silva..

..Noor akawapa parcel box yenye maelezo ya siri kuhusu meli ya mwisho kutua..yenye secium ndani yake..

..Yaani kesi ya sumu waliyoamini wameitatua mwaka mmoja na nusu nyuma..ilikuwa imekuja mezani kwao kama kesi mpya..

...Na noor ndo mwenye password kichwani za jinsi ya kuifungua box hiyo..shida yake ni moja tu..

..Awafungulie box..ila wampandishe ndege na ulinzi wa kutosha mpaka kwao...anahitaji hilo tu..

..James silver akaita team yake..akamfunga pingu noor..akapewa na muda wa kuumfikisha alipotakiwa kwenda..

...Wakampa jina kuwa ye ni mzigo kama mizigo mingine inayotakiwa kufika kwa wenyewe mapema...

..James silver anajiamini kupita kiasi..akawa amesahau kuwa mzigo huu sio kama mizigo mingine..

...Kikundi cha waasi kilikuwa kinahiitaji kichwa cha noor kwa gharama yoyote..hakutakiwa kufika anapoenda alitakiwa kufia njiani..na wote wanaomsindikiza..

..Ni maili 22 kutoka mwanzo wa safari mpaka mwisho walipotakiwa kwenda..

..Ni katikati ya barabara walipotoka mbali na wanapokwenda hawajafika..

...James silva alishuhudia sehemu ya vipande vya miili ya marafiki zake zikibadilishwa jina..simu haikupatikana kwenda makao makuu kuomba msaada..

..Waliwekwa katikati..na kila njia ilichafuka risasi..

..Ni kufa kwa kukubali..au kupambana mpaka damu ya dhahabu..

..James silva kama kiongozi..kama mwanajeshi asiependa kushindwa..aliuhitaji msaada kwa hali na mali..

..Na msaada haukuja..njia pekee ilyobaki ni moja tu..

...Ni kufa kishujaa..

..Noor kama mateka aliefungwa mikono..aliona wanaomsindikiza wanahitaji msaada..na alijua alihitajika kufanya jambo..

..Akawaomba wamfungue pingu awasaidie..wakahisi anataka kuwatoroka,maana yeye ni mzigo waliokabidhiwa wao..

..Akawaambia najua mi ni mzigo wenu..ila sipaswi kufa nikiwa nimefungwa mikono..

..Wakamfungua..

..Ni Iko uwais..fundi wa ki indonesia mwenye mapigo ya Penchak Silat..kickboxing ya ki thailand ilikuwa imelala kwenye mikono yake..

..James silver akampa bunduki..noor akakataa..akamwambia wote tutaua sawa tu..we tumia bunduki mi ntatumia mikono..

..Ikapigwa vita ya mchanganyiko wa martial arts na mashine gun..

..Huku wakisoma muda na kukabidhiana majukumu..noor akawa sio mzigo tena..akawa ni sehemu ya kikundi cha overwatch..

...#22 MILE
Mbona wale warussi hujawaelezea..?
 
Sema Wazungu wanawachzesha kiboya Sana Hawa waasia tofauti na alivyokuwa kule kwao.

Angalia hata Tony Jaa anaelekea kuwa mchekeshaji Sasa.
 
Ikowas ni moja ya Actors wanaotpa movie kalii sanaaa...!!!

Kuna movie inatwa

NIGHT COME FOR USE

TRIPLE THREAT

zitafutee utaelewa maana ya ngumi mkononii dadekiii.. Na kama unataka movie ya chumaa chuma tafuta

OPERATION RED SEA...utajua kuna wahuni wanajua kupiga chuma
 
RAID REDEMPTION
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom