movie

Movie Movie is a 1978 American double bill directed by Stanley Donen. It consists of two films, Dynamite Hands, a boxing ring morality play, and Baxter's Beauties of 1933, a musical comedy, both starring the husband-and-wife team of George C. Scott and Trish Van Devere. A fake trailer for a flying-ace movie set in World War I entitled Zero Hour (also starring Scott) is shown between the double feature.
Barry Bostwick, Red Buttons, Art Carney and Eli Wallach also appear in both segments, with Harry Hamlin, Barbara Harris and Ann Reinking featured in one each. The script was written by Larry Gelbart and Sheldon Keller.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    Ipi ni best thriller movie kwako?

    Kama tittle inavyosema na ni kwanini Hiyo thriller movie kwako ni best?
  2. H

    Naombeni movie ya aina hii

    Nduguzanguni naombeni horror movie (movie yakutisha) ya kizungu yenye maudhui kama Final Destination. Sitaki iwe na maudhui ya zombie, vampire au kishetani.
  3. Ihoma

    Nina mpango wa kuacha kwenda kuangalia filamu Century Cinemax

    Habari zenu, Mapema mwanzo mwa mwezi January Century Cinemax waliweka bango kwenye page yao ya Instagram kuwa tarehe 31 mwezi huo huo wataonyesha movie ya IP MAN 4, kama mdau wa cinema nilisubiria kwa hamu kubwa. Imekuwa kinyume chake movie hiyo hakuna na hata maelezo kwanini haionyeshwi...
  4. Mwl.RCT

    Video: Je “Bongo Movie” zinamchango gani katika kukuza lugha ya Kiswahili na utamaduni?

    Chanzo: BBC
  5. KITAULO

    Enzi zile za kuangali movie kwenye mabanda ya video (1990s)

    Miaka ya tisini (1990s) swala la kumiliki television a.k.a video ilikuwa ni tatizo ni familia chache sana ambazo zilizokuwa na uwezo wa kumiliki, hivyo kuifanya ni bidhaa hadimu kwenye mitaa ya uswahilini.Nakumbuka miaka hiyo tukiwa tumepangisha maeneo ya Kinondoni mtaa wa togo karibu na kipindi...
  6. olele

    Tupia makosa ya kiufundi ya kwenye movie

    Mimi ni mpenzi sana wa movie, hasa za action na animation, siku za hivi karibuni nimejikuta nikipenda kuangalia makosa yanayofanywa na kuachwa bila kuondolewa wakati wa kufanya editing, sasa sijui ni makusudi au ni bahati mbaya hayo makosa yanaachwa hadi tunayaona kwenye movie (Maana najua hadi...
  7. Invisible

    Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

    Bitsoup Bitsoup is a growing favorite amongst P2P downloaders. As the trend towards private torrent sharing continues, you will need to signup and join as a member to participate in the Bitsoup swarm. Snarf It! (born from previous Suprnova influences) BiteNova (formerly known as Bi-Torrents...
  8. Super Villain

    Who is the greatest villain of all time ( Yupi ni Adui yako pendwa wa muda wote katika movie zote ulizowahi kuziona)

    Hii ni kwa wale wapenda movie huwa tumezoe kuona wengi huwapenda sana mahero/starring kwenye movie kushinda maadui mm ni mmoja kati ya watu ambao wanaopenda sana maadui kushinda mahero/starring katika movie huwa nafurahi sana kuwaona hawa mastarring/mahero wakiteseka.Yupi kwako ni adui au maadui...
  9. FRANC THE GREAT

    Ni movie gani ulishawahi kuiona ambayo Starring anakufa?

    Salamu! Kama Kichwa Cha Habari Kinavyouliza, Je Ni Movie Au Filamu Gani Ulishawahi Kuitazama Ambayo Star Wake Alikufa Ikiwa Ni Sehemu Ya Story Ya Filamu Hiyo?
Back
Top Bottom