Semina ya Mwalimu Christopher na Diana Mwakasege - huduma ya Mana - Moshi, Kilimanjaro tarehe 16 mpaka tarehe 20 Februari 2022

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,895
940
MWALIMU CHRISTOPHER & DIANA MWAKASEGE - HUDUMA YA MANA - SEMINA, MOSHI, KILIMANJARO TAREHE 16 MPAKA TAREHE 20 FEBRUARI 2022.

Bwana Yesu Asifiwe!

HUDUMA YA MANA - MANA MINISTRY - Mwalimu Christopher & Diana Mwakasege

Karibu sana watu wa Moshi na Mitaa ya Karibu, kwa walio mbali unaweza kufuatilia kupitia YouTube Channel ya Christopher & Diana Mwakasege, UPENDO TV na Radio mbalimbali Nchini

"NJOO ULE UKUE KIROHO"

Tunawakaribisha kwenye semina ya neno la Mungu, Moshi Mjini katika uwanja wa Mashujaa. Semina inaanza tarehe 16 Februari hadi 20 Februari 2022, kwanzia saa 9 alasiri hadi saa 12 jioni. Semina itakuwa LIVE kupitia channel yetu ya Youtube, Upendo TV na redio mbali mbali. Mjulishe na Mwingine na Mungu awabariki.

Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako kwetu:-

M-PESA 0754 211 633
TIGO-PESA 0715 511 633
AIRTEL MONEY 0682 657 080
HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI DIANA MWAKASEGE

PIA UNAWEZA KUTUMA SADAKA KUPITIA
CRDB BANK
ACC: 01J2032214400
JINA: CHRISTOPHER & DIANA MWAKASEGE

photo_2022-02-13_13-19-39.jpg

Kuna siku idadi ya waumini wa KKKT kwa uwingi itakuja kulingana na wale wa RC
 
Nawafatilia vizuri sana kupitia upendo Tv .hasa somo la leo limenibariki sana moyoni nasikia kuchoka sana,mwakasege anafundisha kweli pasipo kualika mtu
Katika dhehebu lake , anachofanya nikumuonyesha mtu njia ya mafanikio ya kiroho
sent from HUAWEI
 
🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom