Miji muhimu ya Kifedha Tanzania, nje ya Dar: Mwanza, Arusha, Moshi

Kuna taasisi 48 za kifedha zilizosajiliwa Tanzania ambazo zina matawi zaidi ya 950. Ukiondoa Dar, kituo kikuu cha kifedha nchini, hapo chini ni vituo vingine muhimu kwa kuangalia idadi ya matawi ya benki kwenye mkoa uliopo kituo husika. Vituo vyote vina takriban 50% ya matawi yote nchini; hii kwa mujibu wa ripoti ya sekta ya fedha ya mwaka 2020 kutoka Benki Kuu ya Tanzania.

1. Dar es Salaam (284)
2. Mwanza (67)
3. Arusha (65)
4. Moshi (48)

Chanzo: Benki Kuu ya Tanzania

#JamboLetuLipo
Dodoma iko api
 
Mbona hutumii akili kama kichas kaangalie pato benki za nn 🤣🤣🤣sema mikoa yenye bank nying
 
Back
Top Bottom